Mnaoishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenu kuanzia miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kutimiza haja zenu?

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Wadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku.

Wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.
 
Kuna jamaa alikuwa na mapacha 2 hivi, na amepanga room moja.

Walipoanza kula tunda mwendo uliopokolea walimpush dogo mmoja akadondoka na wao wakatulia kusikilizia kama yuko macho huyo aliyedondoka.

Dogo alipodondoka alitulia tuli kama kalala vile.

Wazazi wakanong'onezana..kalala tuendelee.

Walipolianzisha tena..dogo alipiga kelele akimwambia mwenzake...jishike jishike wameanza tena watakusukuma uanguke kama mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikawa mwisho wa mechi
 
Mh, ngoja waje wataalam!..
Wadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku, wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.
 
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji23]
 
Wadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku, wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.

Uswahilini mtoto akose wa kucheza nae, unazungumzia nchi gani?
 
Kuna jamaa alikuwa na mapacha 2 hivi, na amepanga room moja.
Walipoanza kula tunda mwendo uliopokolea walimpush dogo mmoja akadondoka na wao wakatulia kusikilizia kama yuko macho huyo aliyedondoka.
Dogo alipodondoka alitulia tuli kama kalala vile.
Wazazi wakanong'onezana..kalala tuendelee.

Walipolianzisha tena..dogo alipiga kelele akimwambia mwenzake...jishike jishike wameanza tena watakusukuma uanguke kama mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikawa mwisho wa mechi

Hahaha, nimecheka kifala
 
1611747761055.jpeg

Solution ya kuishi chumba kimoja na watoto. Lakini mengine yafanyike wakiwa shuleni.
 
Kuna jamaa alikuwa na mapacha 2 hivi, na amepanga room moja.
Walipoanza kula tunda mwendo uliopokolea walimpush dogo mmoja akadondoka na wao wakatulia kusikilizia kama yuko macho huyo aliyedondoka.
Dogo alipodondoka alitulia tuli kama kalala vile.
Wazazi wakanong'onezana..kalala tuendelee.

Walipolianzisha tena..dogo alipiga kelele akimwambia mwenzake...jishike jishike wameanza tena watakusukuma uanguke kama mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikawa mwisho wa mechi
[emoji3][emoji3][emoji3] kazi kweli kweli , ndo maana wengine huwapeleka tu watoto kijijin wakakae na wazee wao
 
Wadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku, wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.
Huwa mnadhani kuwa hao watoto hawajui mnalolifanya lakini ukweli ni kwamba wanaelewa kila kitu.

Na ubaya ni kwamba, mtoto wa miaka kuanzia mitatu huwa hapotezi kumbukumbu za matukio ya utotoni mpaka anakuwa mtu mzima.

Madhara yake sio mazuri kwa afya ya akili ya mtoto anapoona mama ameinamishwa na baba huku anamwaga vilio vya "uchungu".

Anaweza kupata hata PTSD — a psychological disease!

Matokeo yake akikua anaweza kuwa na tabia za ajabu za kingono (sexual pervert or deviant).
 
Hao watoto huwa mnadhani hawajui mnalolifanya lakini ukweli ni kwamba wanaelewa kila kitu.

Na ubaya ni kwamba mtoto wa miaka kuanzia mitatu huwa hapotezi kumbukumbu za matukio ya utotoni mpaka anakuwa mtu mzima.

Na madhara yake ni sio mazuri kwa afya ya akili ya mtoto anapoona mama ameinamishwa na baba huku anamwaga vilio vya "uchungu".

Anaweza kupata hata PTSD — a psychological disease!

Hiyo PSTD anaipata akiwa na umri gani, kwa maana naye akikua kiasi cha kutafsiri picha hiyo... atakuwa tayari ashaanza kufaidi uumbaji.
 
Kuna jamaa alikuwa na mapacha 2 hivi, na amepanga room moja.
Walipoanza kula tunda mwendo uliopokolea walimpush dogo mmoja akadondoka na wao wakatulia kusikilizia kama yuko macho huyo aliyedondoka.
Dogo alipodondoka alitulia tuli kama kalala vile.
Wazazi wakanong'onezana..kalala tuendelee.

Walipolianzisha tena..dogo alipiga kelele akimwambia mwenzake...jishike jishike wameanza tena watakusukuma uanguke kama mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikawa mwisho wa mechi
Mkuu, umenikumbusha nyingine, jamaa alikua na watoto watano then ana single room, sasa yeye na mkewe walikuwa wanapeana signal kwa kuwasha kiberiti, kwamba jamaa anavizia watoto walale ndio anawasha kiberiti wife anasogea wanaanza kudambuana.

Sasa bwana siku hiyo wife alikua kachoka sana si unajua tena kazi za nyumbani haziishagi!!!! Walipojilaza kitandani pale kusikilizia madogo walale wife akapitiwa na usingizi.

Jamaa kavuta muda akajua sahivi hawa watoto washalala ngoja niwashe kiberiti nimuite wife aje, jamaa washa washa na wewe, wife haji.

Akawasha karibu nusu kiberiti wife ndo kwanza anaota, Dogo mkubwa akamwambia mdogo wake "Oya muamshe Bi'mkubwa ampe mzee anachotaka asije kuchoma nyumba moto bure."
 
Kwa nini sasa isumbue kula tunda?
Kwa wewe hujui kanuni za kula matunda?

Tunda unalibinya binya kwanza kucheki kama limeiva, Ukiona limeiva sana, unaliosha unalinyonya kama embe tu.

Ukiona limeiva wastani, unaliosha unalimenya unalikata kata unakula.

Rahisi hivyo! Usipende kucomplicate mambo... Tunda zingine unakula na maganda yake.
 
Mkuu, umenikumbusha nyingine, jamaa alikua na watoto watano then ana single room, sasa yeye na mkewe walikuawanapeana signal kwa kuwasha kiberiti, kwamba jamaa anavizia watoto walale ndio anawasha kiberiti wife anasogea wanaanza kudambuana.

Sasa bwana sikuhiyo wife alikua kachoka sana si unajua tena kazi za nyumbani haziishagi!!!! Walipojilaza kitandani pale kusikilizia madogo walale wife akapitiwa na usingizi. Jamaa kavuta muda akajua saivi hawa watoto washalala ngoja niwashe kiberiti nimuite wife aje, jamaa washa washa na wewe, wife haji. Akawasha karibu nusu kiberiti wife ndo kwanza anaota, Dogo mkubwa akamwambia mdogo wake "Oya muamshe Bi'mkubwa ampe mzee anachotaka asije kuchoma nyumba moto bure."
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom