Mnaoishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenu kuanzia miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kutimiza haja zenu?

Mnaoishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenu kuanzia miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kutimiza haja zenu?

Mnaweza mkasema ooh sijui maisha magumu, niwamabie tu kama hujajipanga kuzaaa usizae! Watoto miaka 2 ama 1 na kuendelea wanajua mambo mengi sana!

Acheni kuzaa kama mnajua mna chumba kimoja, mnawaonesha watoto mambo mazito sana
 
Wadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku. Wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.
Kizazi cha mafirauni huanzia apo
 
Kuna wenza jirani walikua na mtoto ndo anaanza kujifunza kutembea.wa kiume.
Huyu mtoto kila nkicheza nae kibarazani huwa anajilaza kisha anakopiketi vile babake anavyopump huko chumbani.

Yani analala chali kisha anapeleka makalio juu chinikwa muda..hata kumkemea nakosa nguvu.na yeye mwenyewe hajui ni nini.

Hata uzime taa hawa viumbe wana macho makali wanaona kila kitu.nyie mmefumba macho huko mnasikilizia raha mwenzenu kaamka kakaa anawaangalia.
 
Kuna jamaa alikuwa na mapacha 2 hivi, na amepanga room moja.

Walipoanza kula tunda mwendo uliopokolea walimpush dogo mmoja akadondoka na wao wakatulia kusikilizia kama yuko macho huyo aliyedondoka.

Dogo alipodondoka alitulia tuli kama kalala vile.

Wazazi wakanong'onezana..kalala tuendelee.

Walipolianzisha tena..dogo alipiga kelele akimwambia mwenzake...jishike jishike wameanza tena watakusukuma uanguke kama mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikawa mwisho wa mechi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mkuu, umenikumbusha nyingine, jamaa alikua na watoto watano then ana single room, sasa yeye na mkewe walikuwa wanapeana signal kwa kuwasha kiberiti, kwamba jamaa anavizia watoto walale ndio anawasha kiberiti wife anasogea wanaanza kudambuana.

Sasa bwana siku hiyo wife alikua kachoka sana si unajua tena kazi za nyumbani haziishagi!!!! Walipojilaza kitandani pale kusikilizia madogo walale wife akapitiwa na usingizi.

Jamaa kavuta muda akajua sahivi hawa watoto washalala ngoja niwashe kiberiti nimuite wife aje, jamaa washa washa na wewe, wife haji.

Akawasha karibu nusu kiberiti wife ndo kwanza anaota, Dogo mkubwa akamwambia mdogo wake "Oya muamshe Bi'mkubwa ampe mzee anachotaka asije kuchoma nyumba moto bure."
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku. Wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.
Naona kwa hili ni kubakwa kwa demokrasia ya wala tunda watoto tuwafanyie maarifa tutafute pesa wazazi
 
Mkuu, umenikumbusha nyingine, jamaa alikua na watoto watano then ana single room, sasa yeye na mkewe walikuwa wanapeana signal kwa kuwasha kiberiti, kwamba jamaa anavizia watoto walale ndio anawasha kiberiti wife anasogea wanaanza kudambuana.

Sasa bwana siku hiyo wife alikua kachoka sana si unajua tena kazi za nyumbani haziishagi!!!! Walipojilaza kitandani pale kusikilizia madogo walale wife akapitiwa na usingizi.

Jamaa kavuta muda akajua sahivi hawa watoto washalala ngoja niwashe kiberiti nimuite wife aje, jamaa washa washa na wewe, wife haji.

Akawasha karibu nusu kiberiti wife ndo kwanza anaota, Dogo mkubwa akamwambia mdogo wake "Oya muamshe Bi'mkubwa ampe mzee anachotaka asije kuchoma nyumba moto bure."
Pwahaahahaha aisee [emoji23][emoji23]
 
Hiyo ni changamoto aisee! Ila mara nyingi ni rahisi wakati wa usiku unangojea wauchape usingizi then na nyie mnaliamsha dude! Kwa upande wa mchana unaweza fanya mbinu flani ya kumpeleka dogo kwa ndugu au rafiki yako wa mitaa ya jirani, then unamwambia asiondoke umkute hapo utampitia,(usimwambie kama waenda nyumbani anaweza kurudi na kutibua dili) Kisha unarudi home kinyumenyume, mkimaliza kurusha roho unaenda mchukua!
Mchana na hili joto la bongo mnagongana vipi?
 
Aisee me naona tuwe makini mimi binafsi nlishamnyandua kaschana kamoja vidudu na wala sikumbuki yale maujuzi niliyaona wapi before
 
Hapana, sikubaliani na wewe, niliwahi kugombana na mama mtoto wangu, kipindi mtoto Ana miaka mitatu, kwa kuwa alikua na ada limdomo lichafu alinitukana Sana, kwa kuwa alikua kwao sikufanya kitu nikimcheki tu na mtoto alikuwepo, mwaka huu yule mtoto wangu ametimiza umri wa miaka kumi na ni wa kike, likizo ya Disemba mwaka Jana tukiwa tunaongea nae, alinikumbusha, baba Sasa mama siku Ile alikua anatukana hivyo kwa Nini pale kwa bibi?

Sikumjibu, nilimpotezea, Ila alikumbuka tukio la miaka minane iliyopita.
Huu ni uongo..
Kumbukumbu inaanza kujijenga kwa mtoto akiwa na miaka 5.
 
Anakubishia bure,kama watoto wanakumbuka yeye atwambie ya utotoni wazazi wake walivyokuwa wanafanya
Soma vizuri tena nilichoandika... Kuna tofauti kubwa sana kati ya maneno haya "mara nyingi" na "mara zote".....
Yote kwa yote haiondoi ukweli kwamba kumbukumbu nyingi za mtoto wa miaka 3 zitafutika kadri anavyozidi kukua (growth).

Kama mwanao anakumbuka matukio yake mengi ya wakati akiwa na miaka 3. Basi itakuwa mwanao kapitia matukio makubwa sana ambayo ni negative, yalioacha alama akilini mwake.

Au kama siyo hivyo, basi itakuwa mwanao ni gifted/genius. Ni vyema umpeleke special schools za kuendeleza hiyo gift yake.
 
Back
Top Bottom