timeline
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 458
- 2,410
Wanaoishi hivi wanapitia changamoto kubwa mno.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani si watakua wanafunua tu hilo pazia mkuu! 😀😀 labda liwe la chuma.Nunua godoro la watoto, tenganisha chumba kwa pazia, kila inapofika usiku.
Watoto watalala upande wa pili na wazazi upande mwingine.
Karipia watoto wasije upande wa pili bila kusema hodiiiiiiiii.
Kizazi cha mafirauni huanzia apoWadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku. Wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.
Jamaa umeongea kwa hisiaMzazi upo kazini unabangaiza watoto wapo shuleni, wote mnarudi jioni na mnaondoka alfajiri. Kitanda hicho kibaya wakisikia kina tingishika wanachungulia chini.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kuna jamaa alikuwa na mapacha 2 hivi, na amepanga room moja.
Walipoanza kula tunda mwendo uliopokolea walimpush dogo mmoja akadondoka na wao wakatulia kusikilizia kama yuko macho huyo aliyedondoka.
Dogo alipodondoka alitulia tuli kama kalala vile.
Wazazi wakanong'onezana..kalala tuendelee.
Walipolianzisha tena..dogo alipiga kelele akimwambia mwenzake...jishike jishike wameanza tena watakusukuma uanguke kama mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikawa mwisho wa mechi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu, umenikumbusha nyingine, jamaa alikua na watoto watano then ana single room, sasa yeye na mkewe walikuwa wanapeana signal kwa kuwasha kiberiti, kwamba jamaa anavizia watoto walale ndio anawasha kiberiti wife anasogea wanaanza kudambuana.
Sasa bwana siku hiyo wife alikua kachoka sana si unajua tena kazi za nyumbani haziishagi!!!! Walipojilaza kitandani pale kusikilizia madogo walale wife akapitiwa na usingizi.
Jamaa kavuta muda akajua sahivi hawa watoto washalala ngoja niwashe kiberiti nimuite wife aje, jamaa washa washa na wewe, wife haji.
Akawasha karibu nusu kiberiti wife ndo kwanza anaota, Dogo mkubwa akamwambia mdogo wake "Oya muamshe Bi'mkubwa ampe mzee anachotaka asije kuchoma nyumba moto bure."
Naona kwa hili ni kubakwa kwa demokrasia ya wala tunda watoto tuwafanyie maarifa tutafute pesa wazaziWadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku. Wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.
😅😅😅Yamefiti mno kama vile una practice daily [emoji28][emoji28][emoji28]
La kitambaa hilo, unawaambia kabla hamjafunua huku, semeni hodiiiiiiiii, mkiona kimya msiingie, mkiingia ntawatandika vibaya mno.Kwani si watakua wanafunua tu hilo pazia mkuu! 😀😀 labda liwe la chuma.
Pwahaahahaha aisee [emoji23][emoji23]Mkuu, umenikumbusha nyingine, jamaa alikua na watoto watano then ana single room, sasa yeye na mkewe walikuwa wanapeana signal kwa kuwasha kiberiti, kwamba jamaa anavizia watoto walale ndio anawasha kiberiti wife anasogea wanaanza kudambuana.
Sasa bwana siku hiyo wife alikua kachoka sana si unajua tena kazi za nyumbani haziishagi!!!! Walipojilaza kitandani pale kusikilizia madogo walale wife akapitiwa na usingizi.
Jamaa kavuta muda akajua sahivi hawa watoto washalala ngoja niwashe kiberiti nimuite wife aje, jamaa washa washa na wewe, wife haji.
Akawasha karibu nusu kiberiti wife ndo kwanza anaota, Dogo mkubwa akamwambia mdogo wake "Oya muamshe Bi'mkubwa ampe mzee anachotaka asije kuchoma nyumba moto bure."
ndio ukweli huoJamaa umeongea kwa hisia
Labda kama siyo wapiga chabo mkuu! Pazia linafunuliwa kwa ustadi kabisa bila kugundua😀😀 vitoto vya siku hizi hivi🙌La kitambaa hilo, unawaambia kabla hamjafunua huku, semeni hodiiiiiiiii, mkiona kimya msiingie, mkiingia ntawatandika vibaya mno.
Mchana na hili joto la bongo mnagongana vipi?Hiyo ni changamoto aisee! Ila mara nyingi ni rahisi wakati wa usiku unangojea wauchape usingizi then na nyie mnaliamsha dude! Kwa upande wa mchana unaweza fanya mbinu flani ya kumpeleka dogo kwa ndugu au rafiki yako wa mitaa ya jirani, then unamwambia asiondoke umkute hapo utampitia,(usimwambie kama waenda nyumbani anaweza kurudi na kutibua dili) Kisha unarudi home kinyumenyume, mkimaliza kurusha roho unaenda mchukua!
Huu ni uongo..Hapana, sikubaliani na wewe, niliwahi kugombana na mama mtoto wangu, kipindi mtoto Ana miaka mitatu, kwa kuwa alikua na ada limdomo lichafu alinitukana Sana, kwa kuwa alikua kwao sikufanya kitu nikimcheki tu na mtoto alikuwepo, mwaka huu yule mtoto wangu ametimiza umri wa miaka kumi na ni wa kike, likizo ya Disemba mwaka Jana tukiwa tunaongea nae, alinikumbusha, baba Sasa mama siku Ile alikua anatukana hivyo kwa Nini pale kwa bibi?
Sikumjibu, nilimpotezea, Ila alikumbuka tukio la miaka minane iliyopita.
Wewe ndo upo ivo mimi ni shahidi nakumbuka tukio langu la miaka 3 na 4Huu ni uongo..
Kumbukumbu inaanza kujijenga kwa mtoto akiwa na miaka 5.
Soma vizuri tena nilichoandika... Kuna tofauti kubwa sana kati ya maneno haya "mara nyingi" na "mara zote".....
Yote kwa yote haiondoi ukweli kwamba kumbukumbu nyingi za mtoto wa miaka 3 zitafutika kadri anavyozidi kukua (growth).
Kama mwanao anakumbuka matukio yake mengi ya wakati akiwa na miaka 3. Basi itakuwa mwanao kapitia matukio makubwa sana ambayo ni negative, yalioacha alama akilini mwake.
Au kama siyo hivyo, basi itakuwa mwanao ni gifted/genius. Ni vyema umpeleke special schools za kuendeleza hiyo gift yake.