Mnaojenga nyumba, kuweni makini na watu mnaowaomba wawalindie nyumba zenu

Hivi hii ndo ile wanasema kupeperushwa? Yaani kama ni mke unapeperushwa na mpango wa kando wa mume , unaamua kuondoka mwenyewe pasipojulikana bila kuaga kabisa. Kurudi ndo hadi uzinduliwe kama huyu bwana.

Mke anawaacha mume na mpango wa kando wanajinafasi kwa raha zao kama Mke na mume.
 
Hujapata shida ya pesa wewe unatuzingua tu
 
Nenda kwa Mwamposa case closed
 
Atakua na nyumba nyingi huyo jamaa.

Masikini/choka mbovu mwenye kuishi kwny ka-banda ka-mbwa ka kupanga huko uswazi hawezi kusahau nyumba yake anayoijenga kamwe.
Kama jina lako lilivyo huwezi kuelewa
 
Sio siku nyingi tuliona Lukuvi akimkabidhi Ghorofa mtu aliyekuwa ameisahau, haya mambo ni mazito. Hasa Wamakonde ukiwaweka umesahau
 
watu watabishi tu ila mambo hayo yapo anzia nyumba, mashamba aseeh siyo ya kumpa mtu/kumwazima

kuna mbunge mmoja namfahamu alimpa jamaa kulinda miaka 6 ni majuzi wamefikishana mahakamani baada ya jamaa kutaka kuiuza nyumba
.
 
Wakati mwingine ni uvivu tu wa kutingwa na majukumu ya kila siku......na kwa bahati mbaya siku unayotaka kwenda ndio siku ya kupumzika na mwili umechoka........
 
Doooh!!!

Kipapai cha kusahau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Angeenda tu kukopa bank halafu anawapiga hiyo kitu aisee.

Uchawi upo.
 
Kuamini kwenye nguvu za giza lazima kwanza nawe uwe Mshirikina.

Pili kuamini kwamba binaadamu mwenzako mnayefanana kwa kila kitu kwamba ana uwezo wa kuhusika na hisia au nafsi yako ni kumtukuza kulikopitiliza...
Hayajakukuta mkuu. Iko siku.
 
Alierogwa hajitambui wewe unakuja jf kuleta stori humu!
 
Mh sasa si ukubali tu kupangisha, hujalogwa wala nini ni wewe mwenyewe bwana. Halafu unashida kama hivyo yaan
 
Mmenifumbua macho.nyumba yangu nikishaipaua nilipanga nimuweke mtu ila nitamuweka kwa kuandikiana
 
Vijana masuala ya Ujenzi ukikosea step kamwe hiyo nyumba hutokuja kuimaliza na ukifanikiwa kuimaliza kamwe unaweza usilale pia.
Shika neno sana, shirikisha watu wazima sana hutooona shida.
Pona pona yako ujenge nyumba iishe mwanzo mwisho, lakn nyumba umejenga boma umepiga na bati ukaiacha???? Hapo umechuma janga.
 


Naomba fafanua tuweze kupata yale yaliyomo hasa maana kama umeongea mambo ya maana sana!
Tafadhali funguka zaidi.
 


Na Je kama imejengwa kwaajili ya kupanga nini kinapaswa kufanyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…