Mnaojiita Vyama Pinzani Tanzania msipokubali kuacha ubinafsi na kuwatumikia Wananchi kwa Elimu ya Siasa Ikulu mtapasikiga tuu

Dada muongo mpaka unaboa

Jisichana likiwa ongo yaani linaboa mpaka mwisho

Yaani kwenye your same post umesema "KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI" halafu unakuja hapa unapanua **** eti mimi siijui CCM?

Hivi uongo wanawake mnajifunzia wapi?

Wewe ni mwanaCCM,tangu lini umependa Upinzani eti unataka upinzani wenye afya

Yaani wewe adui yetu eti unatuelekeza how to be upinzani wenye afya kutokana na maono yako wewe adui yetu?

Una kichaa aisee?

Kwani wewe una umri?? Maskini ya Mungu unajua kusoma na kuandika tuu ila hujui kuelewa😂😂😂
Kwani kuiongelea CCM lazima niwe mwanachama wao!? Ninapoiongelea chadema kwani nina kadi yao!?

Jongezage buana acha kujiaibisha
 
Mwanachama au shabiki wa CCM ni lazima uwe na kadi ya CCM?

Are you using your brain kweli?

Shabiki wa chama ahitaji kadi kutoka popote

Wewe ni mnazi na shabiki kubwa la CCM....mambo ya kadi na blah blah ni kutaka kutugeuza sisi mashavu ya nyuuchi zenu,no,we are not!

Anaejiaibisha ni wewe mwanamke mzima unaekojoa kwa kuchuchumaa upo hapa "unadanganya" wazi wazi wakati post yako originally inakuumbua waziwazi

Punguza uongo,wanawake hawanaga tabia ya uongo wa wazi namna hii

Women who are professional liers kama wewe hua uchi zenu mashimo marefu sana,I wonder why!

I know coz I have laid down couple of hundreds of yall myself....I'm a super dicky and pussy crusher!

Yaani wewe unachojua ni sehemu zako za siri tuu na za kule ulikopitia

Wewe ni wa kupuuzwa sababu ni mpuuzi
 
mama D wape connection ya ccm ili nao wawe wanufaika wa ccm kama wewe ulivyo mnufaika wa ccm na upinzani wataacha. Vinginevyo, unatwangia maji kwenye kinu na kupigia mbuzi gitaa.
CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani wakati umefika sasa mkae chini na kujitafakari!

Tena mjitafakari na kuwa wakweli nafsini mwenu kwamba siasa mnazofanya ni kwa maslahi ya familia zenu huku vyama vyenu vikiwa havina hata misingi imara kwa jamii

Hakuna mtanzania anayekataa au asiyejua umuhimu wa upinzani katika taifa lakini hakuna mtanzania anayeweza kukubali upinzani usio na dira wala maslahi kwa wananchi walio wengi.

Vyama pinzani Tanzania vimekua vyama vya watu wachache ambao ni viongozi wa vyatma hivyo. Vyama pinzani havina msingi imara sababu nguvu yao kubwa iko kwa viongozi huku wananchi wakiwa hajui wala kuona maslahi yoyote toka kwa vyama hivyo zaidi ya wao kutafutwa tuu wakati wa kupiga kura.

CCM wanaielewa jamii ya watanzania kwa uzuri sana ndio maana upinzani mnaishia kupumilia mashine kila uchaguzi.

Na kinachozidi kuwapoteza ni kwamba viongozi wote wa vyama vya upinzani sio wakweli kwa vyama vyenu wala kwenu wenyewe. Mmeshindwa kuwa wakweli sababu hamuangalii nyie na vyama vyenu vinawafanyia nini watanzania na nchi yetu kwa ujumla Ila mnaangalia tuu vyama vinawawezeshaje nyie binafsi na familia zenu kuishi maisha mazuri.
Watanzania wameshawaelewa na wanawapuuza sababu ubinafsi wenu umewafanya mjifikirie wenyewe na kusahau kwamba wananchi ndio mtaji wenu

Upinzani unapogeuka kuwa sehemu ya kujipatia rizki lazima malengo ya chama yasahaulike ili kufanikisha kwanza maslahi ya wachache.

Watanzania sio wajinga mnavyofikiria, ushirikiano wapinzani mliofanya na ccm hadi kufanikisha kumuondoa Lowasa kwenye nafasi ya uwaziri mkuu uliwajengea heshma kubwa na imani kwa jamii, na maana halisi ya upinzani ilidhihirika! Ila sasa, usaliti mlioufanya kwa wananchi kumpa huyohuyo jamaa nafasi ya kugombea urais haujasahaulika, hautosahaulika na hamjasamehewa
Wananchi wanajiuliza, kama Lowasa aliweza kuwanunua chadema wakageuka wasaliti kwao si taifa lolote lenye fedha linaweza kuitumia chadema kuwanunua watanzania?

Mkiweza kupata wataalamu wa siasa na uongozi nje ya vyama (wasiokua na maslahi binafsi) watakaoweza kufanya utafiti wa kueleweka jinsi ya kuimarisha chama na kujenga imani kwa wananchi. Mkamwacha huyo mtaalamu awatengenezee mfumo na mbinu za kujenga vyama
Mkamwacha awasimamie nyie viongozi ili kuhakikisha mnatimiza kile anachowaambia kwa muda uliopangwa mtainuka tena na kuwatumikia wananchi

Vinginevyo CCM itaendelea kuwa chama pekee chenye nguvu Tanzania na wapinzani mtaendelea kulalamika kwa tatizo lilelile miaka30

Na sisi kina mama D tutaendelea kusema KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan🙏
 
CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani wakati umefika sasa mkae chini na kujitafakari!

Tena mjitafakari na kuwa wakweli nafsini mwenu kwamba siasa mnazofanya ni kwa maslahi ya familia zenu huku vyama vyenu vikiwa havina hata misingi imara kwa jamii

Hakuna mtanzania anayekataa au asiyejua umuhimu wa upinzani katika taifa lakini hakuna mtanzania anayeweza kukubali upinzani usio na dira wala maslahi kwa wananchi walio wengi.

Vyama pinzani Tanzania vimekua vyama vya watu wachache ambao ni viongozi wa vyama hivyo. Vyama pinzani havina msingi imara sababu nguvu yao kubwa iko kwa viongozi huku wananchi wakiwa hajui wala kuona maslahi yoyote toka kwa vyama hivyo zaidi ya wao kutafutwa tuu wakati wa kupiga kura.

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan[emoji120]
Hongera dada yangu. Umesema yale yasiyosemwa ingawa wengi wanataka kuyasema. Baadhi ya wanasiasa wanadhani watanzania ni wajinga na hawaoni yanayaondelea ndani ya vyama vyetu vya upinzani., kitu ambacho sio kweli.
 
Hawataki ukweli hawa watu
 
Vinginevyo CCM itaendelea kuwa chama pekee chenye nguvu Tanzania na wapinzani mtaendelea kulalamika kwa tatizo lilelile miaka30

Na sisi kina mama D tutaendelea kusema KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Ha ha ha haaa.
Ungeandika hii tu wangekuelewa. Hizi sentensi zimepoteza maana yote ya ujumbe wako
 
CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani wakati umefika sasa mkae chini na kujitafakari!

Tena mjitafakari na kuwa wakweli nafsini mwenu kwamba siasa mnazofanya ni kwa maslahi ya familia zenu huku vyama vyenu vikiwa havina hata misingi imara kwa jamii

Hakuna mtanzania anayekataa au asiyejua umuhimu wa upinzani katika taifa lakini hakuna mtanzania anayeweza kukubali upinzani usio na dira wala maslahi kwa wananchi walio wengi.

Vyama pinzani Tanzania vimekua vyama vya watu wachache ambao ni viongozi wa vyama hivyo. Vyama pinzani havina msingi imara sababu nguvu yao kubwa iko kwa viongozi huku wananchi wakiwa hajui wala kuona maslahi yoyote toka kwa vyama hivyo zaidi ya wao kutafutwa tuu wakati wa kupiga kura.

CCM wanaielewa jamii ya watanzania kwa uzuri sana ndio maana upinzani mnaishia kupumilia mashine kila uchaguzi.

Na kinachozidi kuwapoteza ni kwamba viongozi wote wa vyama vya upinzani sio wakweli kwa vyama vyenu wala kwenu wenyewe. Mmeshindwa kuwa wakweli sababu hamuangalii nyie na vyama vyenu vinawafanyia nini watanzania na nchi yetu kwa ujumla Ila mnaangalia tuu vyama vinawawezeshaje nyie binafsi na familia zenu kuishi maisha mazuri.
Watanzania wameshawaelewa na wanawapuuza sababu ubinafsi wenu umewafanya mjifikirie wenyewe na kusahau kwamba wananchi ndio mtaji wenu

Upinzani unapogeuka kuwa sehemu ya kujipatia rizki lazima malengo ya chama yasahaulike ili kufanikisha kwanza maslahi ya wachache.

Watanzania sio wajinga mnavyofikiria, ushirikiano wapinzani mliofanya na ccm hadi kufanikisha kumuondoa Lowasa kwenye nafasi ya uwaziri mkuu uliwajengea heshma kubwa na imani kwa jamii, na maana halisi ya upinzani ilidhihirika! Ila sasa, usaliti mlioufanya kwa wananchi kumpa huyohuyo jamaa nafasi ya kugombea urais haujasahaulika, hautosahaulika na hamjasamehewa
Wananchi wanajiuliza, kama Lowasa aliweza kuwanunua chadema wakageuka wasaliti kwao si taifa lolote lenye fedha linaweza kuitumia chadema kuwanunua watanzania?

Mkiweza kupata wataalamu wa siasa na uongozi nje ya vyama (wasiokua na maslahi binafsi) watakaoweza kufanya utafiti wa kueleweka jinsi ya kuimarisha chama na kujenga imani kwa wananchi. Mkamwacha huyo mtaalamu awatengenezee mfumo na mbinu za kujenga vyama
Mkamwacha awasimamie nyie viongozi ili kuhakikisha mnatimiza kile anachowaambia kwa muda uliopangwa mtainuka tena na kuwatumikia wananchi

Vinginevyo CCM itaendelea kuwa chama pekee chenye nguvu Tanzania na wapinzani mtaendelea kulalamika kwa tatizo lilelile miaka30

Na sisi kina mama D tutaendelea kusema KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan[emoji120]

Ninakuona kama mwanaCCM ambaye anajikita kuusema upinzani! Unasahau hayo unayoyasema kwa Chadema na wapinzani ndio hayo hayo yametokea CCM kwa zaidi ya miaka 40!! Hauko objective!

Nakukumbusha - walio CCM wengine wamewahi kuwa vyama vya upinzani na kinyume chake pia ni hivo! Kwanini - kwa sababu sheria za uanzishwaji vya vyama vingi ni zile zilizokuwa na baraka za CCM (zingatia wana CCM walikataa mfumo wa vyama vingi). Ninasema ni CCM coz miaka hiyo kila mtumishi wa umma, tajiri, na watu wa mashirika ya umma walipaswa kuwa CCM!!!

Pasipo na usawa wa kufanya siasa, asiye na serikali ndiye atashindwa! Shughuli za siasa mmezipiga marufuku halafu unataka wapinzani wafanye nini? Wafanye siasa na kisha washtakiwe kwa sedition, uhujumu uchumi na makosa mengine???

Endelea kufurahia CCM kuwa madarakani. Usitake upinzani ubadilike kwa sababu kufanya hivo unafanya fitna. Kama vyama vya upinzani ni dhaifa na kusema ndivyo vinavochelewesha maendeleo - furahia vikiwa nje!! Wengine tunataka maendeleo tu, bila kujali nani anayaleta. Yaleteni sasa mlio katika mamlaka!!
 
Sa umeandikaje?
 
Back
Top Bottom