Mnaojiita Vyama Pinzani Tanzania msipokubali kuacha ubinafsi na kuwatumikia Wananchi kwa Elimu ya Siasa Ikulu mtapasikiga tuu


Kwani wewe una umri?? Maskini ya Mungu unajua kusoma na kuandika tuu ila hujui kuelewa😂😂😂
Kwani kuiongelea CCM lazima niwe mwanachama wao!? Ninapoiongelea chadema kwani nina kadi yao!?

Jongezage buana acha kujiaibisha
 

Yaani wewe unachojua ni sehemu zako za siri tuu na za kule ulikopitia

Wewe ni wa kupuuzwa sababu ni mpuuzi
 
mama D wape connection ya ccm ili nao wawe wanufaika wa ccm kama wewe ulivyo mnufaika wa ccm na upinzani wataacha. Vinginevyo, unatwangia maji kwenye kinu na kupigia mbuzi gitaa.
 
Hongera dada yangu. Umesema yale yasiyosemwa ingawa wengi wanataka kuyasema. Baadhi ya wanasiasa wanadhani watanzania ni wajinga na hawaoni yanayaondelea ndani ya vyama vyetu vya upinzani., kitu ambacho sio kweli.
 
Hongera dada yangu. Umesema yale yasiyosemwa ingawa wengi wanataka kuyasema. Baadhi ya wanasiasa wanadhani watanzania ni wajinga na hawaoni yanayaondelea ndani ya vyama vyetu vya upinzani., kitu ambacho sio kweli.
Hawataki ukweli hawa watu
 
Vinginevyo CCM itaendelea kuwa chama pekee chenye nguvu Tanzania na wapinzani mtaendelea kulalamika kwa tatizo lilelile miaka30

Na sisi kina mama D tutaendelea kusema KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Ha ha ha haaa.
Ungeandika hii tu wangekuelewa. Hizi sentensi zimepoteza maana yote ya ujumbe wako
 

Ninakuona kama mwanaCCM ambaye anajikita kuusema upinzani! Unasahau hayo unayoyasema kwa Chadema na wapinzani ndio hayo hayo yametokea CCM kwa zaidi ya miaka 40!! Hauko objective!

Nakukumbusha - walio CCM wengine wamewahi kuwa vyama vya upinzani na kinyume chake pia ni hivo! Kwanini - kwa sababu sheria za uanzishwaji vya vyama vingi ni zile zilizokuwa na baraka za CCM (zingatia wana CCM walikataa mfumo wa vyama vingi). Ninasema ni CCM coz miaka hiyo kila mtumishi wa umma, tajiri, na watu wa mashirika ya umma walipaswa kuwa CCM!!!

Pasipo na usawa wa kufanya siasa, asiye na serikali ndiye atashindwa! Shughuli za siasa mmezipiga marufuku halafu unataka wapinzani wafanye nini? Wafanye siasa na kisha washtakiwe kwa sedition, uhujumu uchumi na makosa mengine???

Endelea kufurahia CCM kuwa madarakani. Usitake upinzani ubadilike kwa sababu kufanya hivo unafanya fitna. Kama vyama vya upinzani ni dhaifa na kusema ndivyo vinavochelewesha maendeleo - furahia vikiwa nje!! Wengine tunataka maendeleo tu, bila kujali nani anayaleta. Yaleteni sasa mlio katika mamlaka!!
 

Sa umeandikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…