Mnaojitunza mkimuomba Mungu awape wenzi, mulishawahi kujiuliza haya?

Mnaojitunza mkimuomba Mungu awape wenzi, mulishawahi kujiuliza haya?

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2019
Posts
10,004
Reaction score
21,312
1. Mungu hajibu hisia za mtu wala kukupatia unaempenda sana, bali anakupa mtu anaemtaka yeye na utakoma kwa sonona la miaka mingi.

2. Picha ulizo nazo kichwani tupa kule, Mungu ana picha zake akikupa moja utahangaika nayo hadi uzee wako na hutopona kisukari na presha.

Kama upo kwenye mkesha wa maombi kuhusu mapenzi, unapoteza muda. Mungu ni katili sana kwenye hisia za mapenzi, asikuambie mtu.

POLENI SANA MNAOTEGEMEA MUNGU KWENYE MAPENZI, YEYE WALA HASIKII HISIA ZENU!
 
Hata hivyo atabaki kuwa Mungu, akupe au asikupe.

Ukikosa wewe anapata jirani yako. Mungu haendewi kama unavyokwenda kwa mganga, ndugu.

Mpende na umtafute YEYE kwanza, hayo mengine ni ziada tu.
Hujaona wenzako wanavyomshuhudia kwa mafanikio?
 
Back
Top Bottom