Mnaojitunza mkimuomba Mungu awape wenzi, mulishawahi kujiuliza haya?

Mnaojitunza mkimuomba Mungu awape wenzi, mulishawahi kujiuliza haya?

Mungu ana shindwa kuwasaidia watu wanaumwa mpaka wana kufa ...... kama anauwezo wa kusaidia watu kwanini asiwa wasaidie hao watu waache kupigana vita ili dunia ipate kuwa mahali salama pakuishi" / kwanini asiwasaidie watu wasipate magonjwa kabisa katika maisha Yao"............

Kukaa na kuamini kuwa Mungu ata kusaidia binafsi kwangu huo ni Ujinga
 
Unamwomba Mungu akupe Mke mwenye msambwanda na anayeweza kufinyia kwa ndani!

Unamwomba Mungu akupe mume asiwe na kibamia bali mkashari! kweli kabisa!.
 
Mungu anakupa unachostahili hakupi unachotaka

cc @harmonize
 
Miss natafuta!!!mungu anisamehe kwa mada!ila kiukweli npo na mtu hapa lakini tangu mwanzo hata hisia hazikuwepo bahati mbaya mtoto!!ningefanyaje?wanangu wateseke!!!!
 
mungu nimwema sana, nivile tu akili zako zimekaa kishetani shetani
 
Katika kitu nakiogopa ni kuweka bifu na Mungu mimi mara nyingi mada zinazomtaja Mungu kwa mambo mambo ambayo siyaelewi uwaga naogopa ata kucomment Mimi binafsi Kwangu Mungu ndo msaada na Kimbilio langu Nyakati zote.
 
Miss natafuta!!!mungu anisamehe kwa mada!ila kiukweli npo na mtu hapa lakini tangu mwanzo hata hisia hazikuwepo bahati mbaya mtoto!!ningefanyaje?wanangu wateseke!!!!
Umejaribiwa kwa tamaa zako mkuu kwani alikutuma ufanye hayo?? Je ulimshirikisha kabla ya kuamua chochote?? Au pameharibika ndio unamuhusisha?? Ulifuata amri zake mkuu??
 
Acha upotoshaji.Huyo Mungu unayemuongelea ni Mungu yupi?.Unachotaka kudanganya hapa ni kwamba ukimwomba Mungu mkate anakupa jiwe.Ukimwomba samaki anakupa nyoka.Mungu nimjuaye ambaye ndiye muumba wa vyote,kabla hajaumba hamu ya kula aliumba kwanza "chakula". Yuko smart sana kwenye mipango yake.Ukitenga muda kumjua ndipo utakapomstaajabia.Lakini kwa sasa we endelea kujimwambafy na huyo " mungu" wa kubuni kichwani mwako.
1. Mungu hajibu hisia za mtu wala kukupatia unaempenda sana, bali anakupa mtu anaemtaka yeye na utakoma kwa sonona la miaka mingi.

2. Picha ulizo nazo kichwani tupa kule, Mungu ana picha zake akikupa moja utahangaika nayo hadi uzee wako na hutopona kisukari na presha.

Kama upo kwenye mkesha wa maombi kuhusu mapenzi, unapoteza muda. Mungu ni katili sana kwenye hisia za mapenzi, asikuambie mtu.

POLENI SANA MNAOTEGEMEA MUNGU KWENYE MAPENZI, YEYE WALA HASIKII HISIA ZENU!
 
Write your reply...tena hao wakwenda kwenye mikesha wasikutane tu njiani na Mimi bazazi maana ..
 
Back
Top Bottom