Mmeanza tabia zenu za kutisha watu bila sababu za msingi....Una hatari
Watu wamechoka maisha Sasa wanamchamba muumba wao jamaniHahaaaa
Wapi nimekutisha?Mmeanza tabia zenu za kutisha watu bila sababu za msingi....
Sijaona hatari yeyote hapo
Wapi nimekutisha?
Tabia zetu Mimi na Nani?
Watu wamechoka maisha Sasa wanamchamba muumba wao jamani
Sijui bwana.bora wewe unaeMiss natafuta!!!mungu anisamehe kwa mada!ila kiukweli npo na mtu hapa lakini tangu mwanzo hata hisia hazikuwepo bahati mbaya mtoto!!ningefanyaje?wanangu wateseke!!!!
Kufuru unayofanya hapo.Hatari niliyo nayo niipi sasa nimeshika nyaya za umeme..nina miyonzi ya nuclear..au nimevaa bomu...?? Mkuu
Umejaribiwa kwa tamaa zako mkuu kwani alikutuma ufanye hayo?? Je ulimshirikisha kabla ya kuamua chochote?? Au pameharibika ndio unamuhusisha?? Ulifuata amri zake mkuu??Miss natafuta!!!mungu anisamehe kwa mada!ila kiukweli npo na mtu hapa lakini tangu mwanzo hata hisia hazikuwepo bahati mbaya mtoto!!ningefanyaje?wanangu wateseke!!!!
Yes baby
1. Mungu hajibu hisia za mtu wala kukupatia unaempenda sana, bali anakupa mtu anaemtaka yeye na utakoma kwa sonona la miaka mingi.
2. Picha ulizo nazo kichwani tupa kule, Mungu ana picha zake akikupa moja utahangaika nayo hadi uzee wako na hutopona kisukari na presha.
Kama upo kwenye mkesha wa maombi kuhusu mapenzi, unapoteza muda. Mungu ni katili sana kwenye hisia za mapenzi, asikuambie mtu.
POLENI SANA MNAOTEGEMEA MUNGU KWENYE MAPENZI, YEYE WALA HASIKII HISIA ZENU!