Mnaojiweza au mliowahi kujiweza kiuchumi mkiwa chini ya miaka 30, nje ya ajira, utajiri wa familia, n.k mliwezaje?

Mimi naona katika 20-30 ni umri wa kujitegemea Ila sio umri wa kusema unamiliki dolali za kutosha Kwa mtu aliyetoka broke family .

Maana kikaiwaida kutoboa Africa sio jambo rahisi Kama ambavyo Wanasiasa wanasema Akili inabidi kuwa juu Sana.
 
Hata hiyo miaka 30 umejitajidi sana mkuu ingawa hakuna umri sahihi wa kutoboa lakini pia kutoboa kwenye ni swala ambalo liko very subjective kwa maana Kila mtu ako na test yake ya mafanikio.... Ili mtu aonekane amebotoa anapaswa kuwa na nini na nini kwani?😅😅😅
 
Bahati iliyoje
 
Imauma sana kama ukiwa mlokole yaani pombe hunywi, sigara wala bangi huvuti, mbususu unapata kwa mpangilio maalum (kifo cha mende kwenye ndoa) na kila jumamosi upo kanisani ila inafika 30 maisha Yako hayana tofauti na dereva wa bajaji hapo mtaani
Naam kumtumikia mungu si lelemama,mazingatio ni akhera zaidi kuliko duniani,ndivyo itakiwavyo katika imani karibu zote.
 
Kuanzia kesho naingia 😂studio Japo am 35🤣kumbe ni kirahisi kupata pesa kupitia muziki
Talent kwenye sanaa ama michezo are the ways.. na kidogo politics ukipata luck ya kushinda ubunge ukiwa early 20s kama kina Silinde, Nassari, Zito kabwe enzi zao

Under 30 kupata utajiri sio rahisi bila kuwa msanii ama mwanamichezo
 
Tanzania ili uonekane umefanikiwa
1.umiliki nyumba yenye thamani ya kuanzia 50M
2.umiliki usafiri
3.uende Dubai or china
4.umiliki mwanamke mwenye mshimbombo aka mzigidi
 
Usiogope kuiba

Uwe na time limit ya kufanya kazi HATA kama unapiga kila siku

KUNA siku itagona utalipwa kisadooo

2.maombi
 
Kuna mdau mmoja kachangia hapo juu kuhusu swala la upepo wa pesa, kwenye kijibiashara changu mzee wangu baba mzazi huwa akikanyaga anauza kishenzi 🤔Ila mimi mwenye biashara nikikaa mara nyingi napelea mpaka najiuliza Huyu mzee ana kitu gani Asee?
 
Wewe unafaa sana kuwa raisi wetu wa majobless pro max maana hustling umeanza kitambo, yaani bila mshahara mwezi na ukaotesha nyumba.
Dah nime cheka Sana, but I say sio rahisi it costed me sometimes.

Kuto kupata usingizi, over work, emotion damage uki haribu au kuzingua. Kwenye maamuzi au hustle ziki stuck.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…