mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Tapeli huyo anawajaza wenzake upepoLeo nimekumata wazi wazi makutupora Monetary doctor dosho12 oya mchizi sio jobless mwenzetu anatusnich tu
Sasa kama wewe kichwa maji itakula kwako
Nyumbu period
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tapeli huyo anawajaza wenzake upepoLeo nimekumata wazi wazi makutupora Monetary doctor dosho12 oya mchizi sio jobless mwenzetu anatusnich tu
Hahahaha huyo wa kisure kitambooo Mzee 😂 basi anapenda harakati za kuwajali joblessLeo nimekumata wazi wazi makutupora Monetary doctor dosho12 oya mchizi sio jobless mwenzetu anatusnich tu
Leo nimekumata wazi wazi makutupora Monetary doctor dosho12 oya mchizi sio jobless mwenzetu anatusnich tu
Tuliweza hiviWenzetu mliwezaje wezaje
Uzi ufungwe.Shida vijana wengi wakiwa kwenye 20's wanachanganya mambo mengi yaani badala mtu afocus kwenye hela anawaza starehe, wanawake na show off.
Bahati iliyojeKusema ukwel kuna watu wanaupepo wa hela,kuna mjinga mmoja huyo biashara yake ya kwanza kufanya ni uwakala wa mitandao ya simu tu,pia alikuwa na zile line kubwa za uwakala
Lakin kwenye hyo miaka 30 kaweza kujenga kamjengo kamaana sana ambako watumishi wengi hawawez kukajenga,kwanza kana finishing ya kinyama sana,yaan ni kwamba pesa za ujenzi zilikiwepo za kutosha na ikabak chenji
Anajikuta Mwanaharakati mara kataa Ndoa na bla blah nyingine kumbe Watabe tuna Mzoom tu .Hahahaha huyo wa kisure kitambooo Mzee 😂 basi anapenda harakati za kuwajali jobless
Chai 😹Kuzungukwa na kutafuta watu na taarifa sahihi, ndio mtaji wangu wa kwanza.
sija jua mafanikio ume yaweka kwenye vitu au nini?, ila I had my first house before I was 21.
Naam kumtumikia mungu si lelemama,mazingatio ni akhera zaidi kuliko duniani,ndivyo itakiwavyo katika imani karibu zote.Imauma sana kama ukiwa mlokole yaani pombe hunywi, sigara wala bangi huvuti, mbususu unapata kwa mpangilio maalum (kifo cha mende kwenye ndoa) na kila jumamosi upo kanisani ila inafika 30 maisha Yako hayana tofauti na dereva wa bajaji hapo mtaani
Talent kwenye sanaa ama michezo are the ways.. na kidogo politics ukipata luck ya kushinda ubunge ukiwa early 20s kama kina Silinde, Nassari, Zito kabwe enzi zao
Under 30 kupata utajiri sio rahisi bila kuwa msanii ama mwanamichezo
Tanzania ili uonekane umefanikiwaHata hiyo miaka 30 umejitajidi sana mkuu ingawa hakuna umri sahihi wa kutoboa lakini pia kutoboa kwenye ni swala ambalo liko very subjective kwa maana Kila mtu ako na test yake ya mafanikio.... Ili mtu aonekane amebotoa anapaswa kuwa na nini na nini kwani?😅😅😅
Usijali brother kama una afya nzuri unapiga bao zako tatu, hujawahi kulazwa hospital na haujawahi kwenda jela Mungu kwa Kila jamboDah wakuu mtaniua kwa pressure nipo 30 kamili, na sina hata kijiko. Sinahakika kama mwakani nitaiona.
Dah nime cheka Sana, but I say sio rahisi it costed me sometimes.Wewe unafaa sana kuwa raisi wetu wa majobless pro max maana hustling umeanza kitambo, yaani bila mshahara mwezi na ukaotesha nyumba.