Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mkuu mbona hapo sija taja hata hizo nyumba za urithi mzee, japo za urithi tunazo mkuu.Chai......mkuu,nyumba za familia/urithi unasema ni zako
Kingine mkuu life style yangu Mi ni unique ndo kilicho nisaidia, sielewi, Sina madem, siendi club.Chai......mkuu,nyumba za familia/urithi unasema ni zako
Mkuu mbona mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max, utapeli wangu wa wapi?.Tapeli huyo anawajaza wenzake upepo
Sasa kama wewe kichwa maji itakula kwako
Nyumbu period
Punguza bangi, kaka nime wahi kukosa kula zaidi ya siku 3 mzee.Hahahaha huyo wa kisure kitambooo Mzee 😂 basi anapenda harakati za kuwajali jobless
The Mongolian Savage ona hii nyau de adrizAnajikuta Mwanaharakati mara kataa Ndoa na bla blah nyingine kumbe Watabe tuna Mzoom tu .
Nayo ni nyumba pia, infact nime ona watu pia Wana ishi na familia zao so sioni tatizo.Labda nyumba ya matope 🤣
Sijawahi kuvuta bangi ila Pombe nimekunywaPunguza bangi, kaka nime wahi kukosa kula zaidi ya siku 3 mzee.
🤣🤣🤣🤣Hatari sana, hadi namba nne nayo ni mafanikioTanzania ili uonekane umefanikiwa
1.umiliki nyumba yenye thamani ya kuanzia 50M
2.umiliki usafiri
3.uende Dubai or china
4.umiliki mwanamke mwenye mshimbombo aka mzigidi
Hatari, sema hakuna chenye kinakuja kwa urahisi mkuu, kusacrifice ni lazimaDah nime cheka Sana, but I say sio rahisi it costed me sometimes.
Kuto kupata usingizi, over work, emotion damage uki haribu au kuzingua. Kwenye maamuzi au hustle ziki stuck.
Basi acha pombe, hata club nime enda nikiwa mkubwa.Sijawahi kuvuta bangi ila Pombe nimekunywa
Hili dogo ni mpumbavu tu. Bado denti form six linafeli mitihani mara kwa mara. Yani linakera kupita maelezo. Limesababisha ID yangu pendwa toka 2014 kuondolewa special features. Yani niko nalo humu siliachii maamaee.The Mongolian Savage ona hii nyau de adriz
I once cried kwa kuzingua kwenye maamuzi fulani, but life goes on.Hatari, sema hakuna chenye kinakuja kwa urahisi mkuu, kusacrifice ni lazima
Usiamini watu humu jukwaani mzee, utakuta mtu analia jobless ana kazi, KATAA NDOA ni mume wa mtu, sjui hivi mara vile so poa kabisaLeo nimekumata wazi wazi makutupora Monetary doctor dosho12 oya mchizi sio jobless mwenzetu anatusnich tu
Kaka sina kazi au mke, itoshe kusema mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro maxUsiamini watu humu jukwaani mzee, utakuta mtu analia jobless ana kazi, KATAA NDOA ni mume wa mtu, sjui hivi mara vile so poa kabisa
I hate club ... Sipendi kelele kabisaBasi acha pombe, hata club nime enda nikiwa mkubwa.
Nime wahi kwenda nika ishia kunywa maji na juisi za Ceres😂🤣I hate club ... Sipendi kelele kabisa
Je unatamani kwenda Tena?Nime wahi kwenda nika ishia kunywa maji na juisi za Ceres😂🤣
Dah club labda washkaji waki enda ndo Wana nishtua, mi mzee wa kukaa ndani hapa penyewe niko nacheki movie tu.Je unatamani kwenda Tena?
Mimi kwa umri wangu huu ... Kwa kweli hapana 😂