Mnaojiweza au mliowahi kujiweza kiuchumi mkiwa chini ya miaka 30, nje ya ajira, utajiri wa familia, n.k mliwezaje?

Mnaojiweza au mliowahi kujiweza kiuchumi mkiwa chini ya miaka 30, nje ya ajira, utajiri wa familia, n.k mliwezaje?

We si juzi tu hapa ulikuwa unaomba afu tatu uungwe bando na wifi 😹
Nyumba umejengea nini? 🤣
Yoh stop that shit, sitaki kuzungumzia suala la yule dada coz ana jua ukweli wa mambo.

Isi toshe yule ni mama wa watoto, pengine kwa Sasa ni mchumba wa mtu.

I don't wanna make myself big, kwa ku demolish image ya mwingine.
(Ramadhani hii).
 
You should be ashamed of yourself for this kind of comment, Dude. The guy has seriously asked a question which need an answer or perhaps some advice but you've decided to write nonsense in your second paragraph or if I may ask, How did you manage to build your first house before before you were 21?.
Mkuu bahati nzuri au mbaya mimi sija wahi kwenda shule, ila mbona jibu nime liweka hapo mstari wa kwanza.

"Kuzungukwa na kutafuta watu na taarifa sahihi ndio mtaji wangu wa kwanza"

Nakupa mfano nime anza kuongozana mjomba angu kupeleka bidhaa fulani soko fulani la kongo na Rwanda nikiwa na miaka 17.

kilicho nisaidia mimi ni lugha(kiingereza), uwezo wa kushawishi na kupatana Bei na mteja that's why I was recruited most of the time.

Moja ya makubaliano niliyo fanya na mjomba ni kila ongezeko la shilingi kwenye bidhaa nita pata percentage, uki acha malipo yangu ya siku zote.
yaani Kama bidhaa ni 40000, iki fika 45 Nina sehemu ya hiyo 5.

Kingine nili kataa kulipwa nika Anza kuomba niwekewe bidhaa Kama malipo yangu, hapa sita pasahau mpaka kesho.
Mropoka Hovyo, Dr am 4 real PhD, Lamomy
 
Huyo anachangamsha kijiwe, kwenye safari za mamba kenge hawakosi..!! 😹

Miaka 21 nyumba aitoe wapi labda ya urithi..!
Mimi siyo kazi yangu kulazimisha uelewe hilo, ila kuhusu nyumba za urithi tunazo alhamdulilahi nashukuru mzee wangu kwa hilo.

Maana ame fariki nikiwa na miaka 21, katuacha na nyumba kazaa na kwetu tuko 2, sito zungumzia mengine yasiyo husu mada.
 
Umkumbushe kuwa bado unaye mzee wako wa kijitonyama ajifanyaye daktari
 
🤣🤣🤣🤣Hatari sana, hadi namba nne nayo ni mafanikio
Mimi nilianzia namba nne nikawa napanda juu mwisho namba nne ikaninyang'anya kila kitu ,nipo najinywea ulanzi nasubiri kila mwisho wa mwezi hutu tu six digit twa mama tusime huku nikijiongelesha english uchwara ati ONE DAY YES😭
 
ko una sema yule mzee sio daktari?, mbona ana jua dawa nyingi na matibabu?
Hizo ni katika harakati zake tu ,nitakupa kisa kimoja tukiwa kiwanja kimoja kinaitwa westgate huko sumbawanga ,kumbe mzee pale ana kimada cha siku nyingi .
Sasa huku na kule demu kachukuliwa na muhuni mwingine sina hili wala lile mzee kapaniki mpaka kuongea hawezi ,saa ngapi asipige simu sijui wapi huko ,zikaja pila mbili na landcruiser moja eti wanadai kuna wakimbizi wamefichwa pale tulikula mibuti mingi na mwisho nikajua anayetafutwa ni muhuni sio sisi .

Finally eti na mzee wakambeba eti wana mahojiano naye 🤣🤣 wakati linapiga simu nilisikia .

Usimtrust yule mzee
 
Zee ni ngese like Eti wakimbizi wana tafutwa🤣😂, kumbe bandidu yule Alisha niambia siku uki sumbuliwa niambie nije na mkuu wa polisi siku muamini!
 
Mimi nilianzia namba nne nikawa napanda juu mwisho namba nne ikaninyang'anya kila kitu ,nipo najinywea ulanzi nasubiri kila mwisho wa mwezi hutu tu six digit twa mama tusime huku nikijiongelesha english uchwara ati ONE DAY YES😭
Hiyo namba nne ni chuma ulete mkuu 😂😂😂😂
 
Zee ni ngese like Eti wakimbizi wana tafutwa🤣😂, kumbe bandidu yule Alisha niambia siku uki sumbuliwa niambie nije na mkuu wa polisi siku muamini!
Hatanii kaka .
Nilipowekwa selo kwa kesi fulani ,alikuwa anakuja kunicheki ananipa sabuni na kiasi cha hela fulani alafu alivyo mwehu ananiambia hii hela si zawadi ni deni kwahivyo nikikupa naandika ukitoka nitakudai wakati huo hukumu ishalia na kutoka si leo .

Ila likawa linasema humu utachomoka si muda ili uje ulipe hela yangu ,kweli sikuelewa ilikuwa vipi mara huku mara kule nikachomoka ,day one likanidai hela yake nikawa sina likadai nitafute hata kibarua nifanye nimlipe hela yake kabla hajajiondoa kwangu nikaswekwa tena ndani nikawa naogopa sana.

Nikakopa kiasi kwa jamaa nikamlipa alafy likanipa nusu ya hiyo hela tena na kusema sasa hivi hataki shobo hivyo akitaka tutoke viwanja pamoja atanicheki yeye 🤔

Hivyo kaka hata unavyoona nachelea kumcheki naliogopa lilivyonichimba biti eti halitaki shobo na mimi
 
Hakikisha unakua na akili za kiutu uzima mapema yaani uwe mbele ya muda. Hii itakuwezesha kuingia kwenye mtandao sahihi ambao huwa ni watu wazima kukuzidi na hapo ndipo michongo ilipo. Sheria za huko ni uwe mchapakazi kupindukia,muaminifu 100%,nidhamu isiyotia shaka hata kidogo,siri za mambo ya kazi na uwe result oriented person sio mtu wa kusukumwasukumwa katika michongo!
 
yake nikawa sina likadai nitafute hata kibarua nifanye nimlipe hela yake kabla hajajiondoa kwangu nikaswekwa tena ndani nikawa naogopa sana.

Nikakopa kiasi kwa jamaa nikamlipa alafy likanipa nusu ya hiyo hela tena na kusema sasa hivi hataki shobo hivyo akitaka tutoke viwanja pamoja atanicheki yeye 🤔

Hivyo kaka hata unavyoona nachelea kumcheki naliogopa lilivyonichimba biti eti halitaki shobo na mimi
Ita kuwa hiyo issue yako uli zingua kweli kweli, so ikabidi atumie nguvu kubwa kukutoa.

mcheki bana si una jua zee lile Lina zeeka, halafu afya yake haisomeki kivile!
 
Hakikisha unakua na akili za kiutu uzima mapema yaani uwe mbele ya muda. Hii itakuwezesha kuingia kwenye mtandao sahihi ambao huwa ni watu wazima kukuzidi na hapo ndipo michongo ilipo. Sheria za huko ni uwe mchapakazi kupindukia,muaminifu 100%,nidhamu isiyotia shaka hata kidogo,siri za mambo ya kazi na uwe result oriented person sio mtu wa kusukumwasukumwa katika michongo!
Ewaaa point kubwa sana.
 
Umenena kitu kikubwa nakumbuka when I was 17 babu yangu aliniambia jitahidi akili iwe kama ya mtu wa miaka 27! By then I was 17 cha kushangaza 5 years later mother angu kafariki kwa ugonjwa uliomsumbua muda mrefu Nilipokuwa 2023 tu Sasa hapo mimi na watu wenye 30 tulikuwa same same
 
Back
Top Bottom