Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Yoh stop that shit, sitaki kuzungumzia suala la yule dada coz ana jua ukweli wa mambo.We si juzi tu hapa ulikuwa unaomba afu tatu uungwe bando na wifi 😹
Nyumba umejengea nini? 🤣
Kumbe Picha unge niambia hata hati za umiliki mzee.Oya mwanangu bizz weka pichaaa 😅😅😅
Ko huna imani na raisi wa Chama Cha ma jobless pro max?, sisi sote ni majobless mkuu.Ety Hana kazi humu umuamni mtu utakufa njaa 😂😂
Mkuu bahati nzuri au mbaya mimi sija wahi kwenda shule, ila mbona jibu nime liweka hapo mstari wa kwanza.You should be ashamed of yourself for this kind of comment, Dude. The guy has seriously asked a question which need an answer or perhaps some advice but you've decided to write nonsense in your second paragraph or if I may ask, How did you manage to build your first house before before you were 21?.
Mimi siyo kazi yangu kulazimisha uelewe hilo, ila kuhusu nyumba za urithi tunazo alhamdulilahi nashukuru mzee wangu kwa hilo.Huyo anachangamsha kijiwe, kwenye safari za mamba kenge hawakosi..!! 😹
Miaka 21 nyumba aitoe wapi labda ya urithi..!
Hahahaha we jamaa sawa chairKo huna imani na raisi wa Chama Cha ma jobless pro max?, sisi sote ni majobless mkuu.
Haya sLeo nimekumata wazi wazi makutupora Monetary doctor dosho12 oya mchizi sio jobless mwenzetu anatusnich tu
Tulia hutokufa masikini wa jamiifairumsDah wakuu mtaniua kwa pressure nipo 30 kamili, na sina hata kijiko. Sinahakika kama mwakani nitaiona.
Una jua una nichekesha Sana, hapo nime zungumzia nyumba.Namjua huyo anachangamsha kijiwe, nyumba mchezo 😹😹
Umkumbushe kuwa bado unaye mzee wako wa kijitonyama ajifanyaye daktariMimi siyo kazi yangu kulazimisha uelewe hilo, ila kuhusu nyumba za urithi tunazo alhamdulilahi nashukuru mzee wangu kwa hilo.
Maana ame fariki nikiwa na miaka 21, katuacha na nyumba kazaa na kwetu tuko 2, sito zungumzia mengine yasiyo husu mada.
ko una sema yule mzee sio daktari?, mbona ana jua dawa nyingi na matibabu?Umkumbushe kuwa bado unaye mzee wako wa kijitonyama ajifanyaye daktari
Mimi nilianzia namba nne nikawa napanda juu mwisho namba nne ikaninyang'anya kila kitu ,nipo najinywea ulanzi nasubiri kila mwisho wa mwezi hutu tu six digit twa mama tusime huku nikijiongelesha english uchwara ati ONE DAY YESðŸ˜ðŸ¤£ðŸ¤£ðŸ¤£ðŸ¤£Hatari sana, hadi namba nne nayo ni mafanikio
Hizo ni katika harakati zake tu ,nitakupa kisa kimoja tukiwa kiwanja kimoja kinaitwa westgate huko sumbawanga ,kumbe mzee pale ana kimada cha siku nyingi .ko una sema yule mzee sio daktari?, mbona ana jua dawa nyingi na matibabu?
Zee ni ngese like Eti wakimbizi wana tafutwa🤣😂, kumbe bandidu yule Alisha niambia siku uki sumbuliwa niambie nije na mkuu wa polisi siku muamini!Sasa huku na kule demu kachukuliwa na muhuni mwingine sina hili wala lile mzee kapaniki mpaka kuongea hawezi ,saa ngapi asipige simu sijui wapi huko ,zikaja pila mbili na landcruiser moja eti wanadai kuna wakimbizi wamefichwa pale tulikula mibuti mingi na mwisho nikajua anayetafutwa ni muhuni sio sisi .
Finally eti na mzee wakambeba eti wana mahojiano naye 🤣🤣 wakati linapiga simu nilisikia .
Usimtrust yule mzee
Kaka chama kita wampambania msijali wazeeEty Hana kazi humu umuamni mtu utakufa njaa 😂😂
Hiyo namba nne ni chuma ulete mkuu 😂😂😂😂Mimi nilianzia namba nne nikawa napanda juu mwisho namba nne ikaninyang'anya kila kitu ,nipo najinywea ulanzi nasubiri kila mwisho wa mwezi hutu tu six digit twa mama tusime huku nikijiongelesha english uchwara ati ONE DAY YESðŸ˜
Hatanii kaka .Zee ni ngese like Eti wakimbizi wana tafutwa🤣😂, kumbe bandidu yule Alisha niambia siku uki sumbuliwa niambie nije na mkuu wa polisi siku muamini!
Ita kuwa hiyo issue yako uli zingua kweli kweli, so ikabidi atumie nguvu kubwa kukutoa.yake nikawa sina likadai nitafute hata kibarua nifanye nimlipe hela yake kabla hajajiondoa kwangu nikaswekwa tena ndani nikawa naogopa sana.
Nikakopa kiasi kwa jamaa nikamlipa alafy likanipa nusu ya hiyo hela tena na kusema sasa hivi hataki shobo hivyo akitaka tutoke viwanja pamoja atanicheki yeye 🤔
Hivyo kaka hata unavyoona nachelea kumcheki naliogopa lilivyonichimba biti eti halitaki shobo na mimi
Ewaaa point kubwa sana.Hakikisha unakua na akili za kiutu uzima mapema yaani uwe mbele ya muda. Hii itakuwezesha kuingia kwenye mtandao sahihi ambao huwa ni watu wazima kukuzidi na hapo ndipo michongo ilipo. Sheria za huko ni uwe mchapakazi kupindukia,muaminifu 100%,nidhamu isiyotia shaka hata kidogo,siri za mambo ya kazi na uwe result oriented person sio mtu wa kusukumwasukumwa katika michongo!
Umenena kitu kikubwa nakumbuka when I was 17 babu yangu aliniambia jitahidi akili iwe kama ya mtu wa miaka 27! By then I was 17 cha kushangaza 5 years later mother angu kafariki kwa ugonjwa uliomsumbua muda mrefu Nilipokuwa 2023 tu Sasa hapo mimi na watu wenye 30 tulikuwa same sameHakikisha unakua na akili za kiutu uzima mapema yaani uwe mbele ya muda. Hii itakuwezesha kuingia kwenye mtandao sahihi ambao huwa ni watu wazima kukuzidi na hapo ndipo michongo ilipo. Sheria za huko ni uwe mchapakazi kupindukia,muaminifu 100%,nidhamu isiyotia shaka hata kidogo,siri za mambo ya kazi na uwe result oriented person sio mtu wa kusukumwasukumwa katika michongo!