Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

Nyote ni walewale hata kwako mnashindia uji! Ulishindwa nini hata kumpigia mamsapu akutumie hata buku 5 ukawanunulie kilo mbili za mchele?
 
Kama hauna pesa ya kumsaidia mtoto masikini, basi mkumbuke hata wakati wa sala au swala.
Sasa ulichokiona wewe ni trela tena umepewa trela fupi ukipewa movie nzima si utazima kabisa?

Watu life limekaba pabaya sio poa wao wanachojua kuitana Dodoma kuwashikisha chochote mkononi km kifunga mdomo na kuwalazimisha watu kupiga kura sio kwa hiari ila kwa lazima na hakuna kupiga tofauti uliemuona yaan unawekewa jina 1 unaambiwa sema ndio au hapana

Mnakufa njaa poleni sana ndugu zangu kuna watu wanakula wanasaza mpaka kumwaga na kulisha mifugo chakula ambacho kuna mtu somewhere anakitafuta kwa njaa kali kuna sehemu mifugo imepikiwa msosi heavy na hio ni budget ya kila siku

Nilifika Kinondoni hio kuuule Ubalozini kuna Mzee mmoja wa kihindi anafuga ile mimbwa isiyo na akili inayokula msosi heavy usiku hua anaifungulia sasa omba usikutane nayo ila asubuhi hua inarudi ndani yenyewe

Poleni sana
 
Jamaa mna mwandama buree..Ali maanisha kwa siku ya Jana alipo enda temeke alikua na fixed budget kiasi kwamba asinge weza kutoa jero ingine ya ziada.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£

Nimemuelewa mtoa thread 🧡
Mkuu, hawa watoto wa 2,000 walioivamia JF, utawaweza basi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…