Mnaokula Kitimoto, Kuleni "Kwa Raha Zenu," Yesu Ameruhusu

Kati ya mudi boy na yesu ni nani aliye alalisha ulaji wa kitimoto ? Kama ukiniuliza mimi ili swali basi jibu langu lingekuwa ni Muhammad....yesu akualamisha chakula chochote wala kualalisha chakula chochote ...kama unatumia akili utagundua hekima iliyo nyuma ya yale maneno ya yesu kuwa kimwingiacho mtu akiwezi kumtia unajisi bali kimtokacho nafsini ...hapa pana siri kubwa sana maana ya yesu ni kwamba hata ukila ugali na maharage unaweza kuwa najisi ikiwa moyoni mwako kumeshuhudia uovu mfano ukila kwa ulafi ...ukila kwa choyo...ukila kwa kumuasi mungu hapo dhamili yako ndiyo ikutiayo dhambi ...hivyo ukisoma kwa kutumia akili utagundua Yesu akuhalalisha kula nguruwe au kutokumla
Sasa Muhammad alihalalisha lini kula nguruwe
 
Alipo waambia waislamu kuwa wakiwa na dhiki ya njaa wanaweza kula nguruwe ...katika torati nguruwe kaharamishwa kabisa aijalishi unakufa kwa njaa au la
 
Yote hayo yana thibitisha ninacho sema....sema wewe ujaelewa tu...sasa wacha nikupe akili ...turudi hadi bustani ya aden aliyo kuwako Adam na Eva nenda kajifunze pale ndiyo utagundua hekima ya hayo maneno ya yesu...maana pale pia kuna kisa cha kula tunda ...sasa tumia akili yako vizuri.
Biblia unaisoma kama gazeti.
Haya maneno waliambiwa kina nani kama sio Adam na Eva.
Mwanzo 9:3:
"Kila kitu kiendacho kilicho hai kitakuwa chakula chenu; kama nilivyowapa mboga za majani, kadhalika nawapeni hivi vyote." (Mwanzo 9:3, SUV)
Sheria ya kutokula nguruwe ilikuja kuwekwa baadaye. Na Yesu alipokuja akaitengua sheria hiyo. Yesu ndiye Mtunga sheria, hivyo ana mamlaka ya kuweka sheria na kubadili. Funguka macho!
 
Alipo waambia waislamu kuwa wakiwa na dhiki ya njaa wanaweza kula nguruwe ...katika torati nguruwe kaharamishwa kabisa aijalishi unakufa kwa njaa au la
Acha uongo, soma jibu langu
 
Acha uongo, soma jibu langu
Hata adamu na hawa siyo lile tunda lililo ingia tumboni bali ni lileneno la mungu kuwa msile tunda...siku waliyo hamua kula ni lazima dhamila mbaya kutoka moyoni mwao ndiyo iliyo wakosesha
 
Kuna mambo kadhaa yaliyoandikwa katika Agano la Kale ambayo Yesu mwenyewe ameya-ammend katika Agano Jipya.

Kwa mfano, Agano la Kale mtu akikupiga na wewe ulikuwa unaruhusiwa kumchapa. Kutoka 21:24 (SRUV) jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu

Katika Agano Jipya Yesu ame-ammend sheria hiyo. Sasa hivi ukipigwa, huruhusiwi kujibu mapigo; badala yake Yesu anasema katika Mathayo 5:38-39 SRUV
Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino; Lakini mimi nawaambia, Msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kulia, mgeuzie na la pili.

Kwahiyo ni kweli ilikatazwa kula nguruwe wakati wa Agano la Kale. Lakini Yesu alipokuja ali-ammend sheria hiyo. Sasa hivi nguruwe ni ruksa kuitafuna. Ila marufuku kuishushia na pombe.
Kwahiyo kwakuwa kiingiacho siyo najisi bali kitokacho nyinyi hata mbwa, panya , paka, vyira na nyoka mnakula ?!
Faida ya agano la kale ni nini?
kwanini waandishi wa biblia wasiache kuchapisha agano la kale?
Kwa kuchapisha agano la kale si ni kupoteza pesa za bure kuchapisha kitabu ambacho hakina faida kwa wasomaji?!
 
Biblia unaisoma kama gazeti.
Haya maneno waliambiwa kina nani kama sio Adam na Eva.
Mwanzo 9:3:
"Kila kitu kiendacho kilicho hai kitakuwa chakula chenu; kama nilivyowapa mboga za majani, kadhalika nawapeni hivi vyote." (Mwanzo 9:3, SUV)
Sheria ya kutokula nguruwe ilikuja kuwekwa baadaye. Na Yesu alipokuja akaitengua sheria hiyo. Yesu ndiye Mtunga sheria, hivyo ana mamlaka ya kuweka sheria na kubadili. Funguka macho!
TATIZO LAKO NI AKILI YAKO NDOGO NDIYO MAANA UNIELEWI MFANO NIKIKUULIZA SWALI JE SADAKA ZINAZO TOLEWA KWA MUNGU WA KWELI ZOTE NI HALALI WEWE KWA KUKOSA AKILI UTASEMA NI HALALI BALI MIMI NITAKUJIBU KUWA UHALALI WA SADAKA UNAPIMWA NDANI YA NYOYO ZAIDI SADAKA YA KAINI ILIKATALIWA KWA SABABU DHAMILA YAKE HAIKUWA NJEMA KUHUSU HIYO SADAKA ..KUNAMTU ALIKUFA YEYE NA MKEWE KWA KUTOA SADAKA NUSU YA FEDHA YA NYUMBA YAO WALIYO UZA KILICHO WAUA HAO WATU SIYO SADAKA NDOGO BALI WALIKUWA NA DHAMILA MBAYA MIOYONI MWAO....HIVYO HAYO MAFUNDISHO YA YESU YANA MAANISHA KUWA UHALALI AU UHARAMU WA CHAKULA CHOCHOTE UNATEGEMEA DHAMILA ILIYOPO MOYONI MWAKE MTU ...mfano je kula nyama ya binadamu ni halali kwa hoja yako hivyo tule nyama za wanadamu ?
 
Biblia unaisoma kama gazeti.
Haya maneno waliambiwa kina nani kama sio Adam na Eva.
Mwanzo 9:3:
"Kila kitu kiendacho kilicho hai kitakuwa chakula chenu; kama nilivyowapa mboga za majani, kadhalika nawapeni hivi vyote." (Mwanzo 9:3, SUV)
Sheria ya kutokula nguruwe ilikuja kuwekwa baadaye. Na Yesu alipokuja akaitengua sheria hiyo. Yesu ndiye Mtunga sheria, hivyo ana mamlaka ya kuweka sheria na kubadili. Funguka macho!
TATIZO LAKO NI AKILI YAKO NDOGO NDIYO MAANA UNIELEWI MFANO NIKIKUULIZA SWALI JE SADAKA ZINAZO TOLEWA KWA MUNGU WA KWELI ZOTE NI HALALI WEWE KWA KUKOSA AKILI UTASEMA NI HALALI BALI MIMI NITAKUJIBU KUWA UHALALI WA SADAKA UNAPIMWA NDANI YA NYOYO ZAIDI SADAKA YA KAINI ILIKATALIWA KWA SABABU DHAMILA YAKE HAIKUWA NJEMA KUHUSU HIYO SADAKA ..KUNAMTU ALIKUFA YEYE NA MKEWE KWA KUTOA SADAKA NUSU YA FEDHA YA NYUMBA YAO WALIYO UZA KILICHO WAUA HAO WATU SIYO SADAKA NDOGO BALI WALIKUWA NA DHAMILA MBAYA MIOYONI MWAO....HIVYO HAYO MAFUNDISHO YA YESU YANA MAANISHA KUWA UHALALI AU UHARAMU WA CHAKULA CHOCHOTE UNATEGEMEA DHAMILA ILIYOPO MOYONI MWAKE MTU ...mfano je kula nyama ya binadamu ni halali kwa hoja yako hivyo tule nyama za wanadamu ?
 
Alipo waambia waislamu kuwa wakiwa na dhiki ya njaa wanaweza kula nguruwe ...katika torati nguruwe kaharamishwa kabisa aijalishi unakufa kwa njaa au la
Hapo hajahalalisha ulaji wa nguruwe katika mazingira ya kawaida ila pale ukiwa na njaa ya kupelekea kufa na hakuna chakula kingine ila nguruwe lakini katika hali ya kawaida ni haramu kula.
 
Duh, hongera sana, mkuu. Kama hii kazi ni wewe unaifanya, basi nakutunukia PhD ya Kuchoma Kiti Moto. Please, waambie hao wakuu wa JF waongeze title yako mpya kwenye jina lako. Jina lisomeke Mshana Jr (PhD).
Hata kama asingeruhusu hii kitu unaachaje?duniani kuna vitu viwili vitamu K na kitimoto
 
Mungu ameruhusu tule nyama yoyote ya wanyama aliowaumba. Yesu ni Mungu, alipokuja hapa duniani aliidhinisha tule hata kitimoto🐖(nyama ya nguruwe).

Alitoa ruhusa hiyo katika Marko 7:14-23(BHN). Imeandikwa hivi:
Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni nyote, mkaelewe. Hakuna kitu kinachoingia ndani ya mtu kutoka nje kinachoweza kumtia mtu unajisi. Lakini kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia mtu unajisi.” Mwenye masikio na asikie!

Alipouacha umati wa watu na kuingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza maana ya huo mfano. Naye akawaambia, “Je, hata nyinyi hamwelewi? Je, hamwelewi kwamba kitu kinachomwingia mtu kutoka nje, hakiwezi kumtia unajisi, kwa maana hakimwingii moyoni, ila tumboni, na baadaye hutolewa nje chooni?” (Kwa kusema hivyo, Yesu alihalalisha vyakula vyote.)

Akaendelea kusema, “Kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia unajisi. Maana kutoka ndani, moyoni mwa mtu, hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji, uzinzi, uchoyo, uovu, udanganyifu, ufisadi, wivu, kashfa, kiburi na upumbavu. Maovu hayo yote yatoka ndani ya mtu, nayo humtia mtu unajisi.

Ila kama kwa kula kwako nyama unamkwaza ndugu yako, acha mara moja.

Warumi 14:21 (NEN)
Ni afadhali kutokula nyama wala kunywa divai au kufanya jambo lingine lolote litakalomsababisha ndugu yako ajikwae.
Hakuna kitu kama hicho kasome mambo ya walawi 11 anzia mstari wa kwanza na kuendelea wanyama,ndege pamoja na viumbe viishivyo baharini kaongelea pale vyote.
Ngurue sungura ngamia popo bundi sijui kiruka njia ni ndege yupi ila hao wopte kakataa hadi mzoga wao kugusa.
Acha uongopea umma mi mkristo ila nafsi wakatiwingine inanisutaga
 
Hapo hajahalalisha ulaji wa nguruwe katika mazingira ya kawaida ila pale ukiwa na njaa ya kupelekea kufa na hakuna chakula kingine ila nguruwe lakini katika hali ya kawaida ni haramu kula.
Sasa sindiyo kuhalalisha huko..mimi nikisema kula nyama ya ngombe ni ijumaa tu ndiyo nime halalisha kwa hiyo ijumaa ...je ni halali kuzini na mama yako mzazi kwa sababu una nyege na hakuna mwanamke kwa kipindi icho?
 
Kwa kiasi kikubwa wanyama wote ambao ni haramu katika uislamu ni haramu vilevile katika dini na desturi za jamii zilizotuzunguka isipokuwa nguruwe.
Kwa mfano kati ya wanyama walioharamishwa katika uislamu ni pamoja na nguruwe, punda (donkey sio zebra, zebra ni halali) mbwa, paka, panya na wanyama wote wanaowinda na kula nyama isipokuwa fisi ( Fisi ni halali kuliwa na waislamu japo najua wengi hawalijui na watanipinga sana) ndege pia wenye kucha ndefu na wanaowinda kwa kutumia kucha hizo kama mwewe , tai na kipanga ni haramu.
Sasa ukiangalia hao wanyama walioharamishwa na uislamu baadhi ya watanzania wameanza kumla punda siku za karibuni ( japo kuna kabila fulani mkoani Singida ambao wanatuhumiwa kuwa punda ni mboga yao ya siku nyingi tu), hasa baada ya ujio wa wachina ambao nasikia huko Shinyanga wamejenga kiwanda cha kusindika nyama ya punda.
Mbwa tunasikia huko Iringa wahehe wanakula na panya ni mboga ya baadhi ya jamii za mkoani Mtwara!.
Tukiachana na hizo jamii chache wanaokula punda , mbwa na panya wanyama wote walioharamishwa na uislamu ni haramu pia katika dini na makabila yaliyotuzunguka kwa hapa Tanzania isipokuwa nguruwe ndiye analiwa hadharani na makabila yote isipokuwa waislamu (kama Kuna waislamu wachache wanaokula nguruwe wanakula kwa siri sana na hawawezi kuisifia nguruwe hadharani kama wanavyofanya wakristo.
 
Mungu ameruhusu tule nyama yoyote ya wanyama aliowaumba. Yesu ni Mungu, alipokuja hapa duniani aliidhinisha tule hata kitimoto🐖(nyama ya nguruwe).

Alitoa ruhusa hiyo katika Marko 7:14-23(BHN). Imeandikwa hivi:
Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni nyote, mkaelewe. Hakuna kitu kinachoingia ndani ya mtu kutoka nje kinachoweza kumtia mtu unajisi. Lakini kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia mtu unajisi.” Mwenye masikio na asikie!

Alipouacha umati wa watu na kuingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza maana ya huo mfano. Naye akawaambia, “Je, hata nyinyi hamwelewi? Je, hamwelewi kwamba kitu kinachomwingia mtu kutoka nje, hakiwezi kumtia unajisi, kwa maana hakimwingii moyoni, ila tumboni, na baadaye hutolewa nje chooni?” (Kwa kusema hivyo, Yesu alihalalisha vyakula vyote.)

Akaendelea kusema, “Kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia unajisi. Maana kutoka ndani, moyoni mwa mtu, hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji, uzinzi, uchoyo, uovu, udanganyifu, ufisadi, wivu, kashfa, kiburi na upumbavu. Maovu hayo yote yatoka ndani ya mtu, nayo humtia mtu unajisi.

Ila kama kwa kula kwako nyama unamkwaza ndugu yako, acha mara moja.

Warumi 14:21 (NEN)
Ni afadhali kutokula nyama wala kunywa divai au kufanya jambo lingine lolote litakalomsababisha ndugu yako ajikwae.
Vitamins B6 and B12, also found abundantly in pork, are essential for blood cell formation and brain function. Pork is also an excellent source of iron — the heme-iron found in red meats is absorbed very easily by the human digestive system. The selenium in pork is essential for proper thyroid function.
 
Kuna mambo kadhaa yaliyoandikwa katika Agano la Kale ambayo Yesu mwenyewe ameya-ammend katika Agano Jipya.

Kwa mfano, Agano la Kale mtu akikupiga na wewe ulikuwa unaruhusiwa kumchapa. Kutoka 21:24 (SRUV) jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu

Katika Agano Jipya Yesu ame-ammend sheria hiyo. Sasa hivi ukipigwa, huruhusiwi kujibu mapigo; badala yake Yesu anasema katika Mathayo 5:38-39 SRUV
Mmesikia kwamba imenenwa, Jicho kwa jicho, na jino kwa jino; Lakini mimi nawaambia, Msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kulia, mgeuzie na la pili.

Kwahiyo ni kweli ilikatazwa kula nguruwe wakati wa Agano la Kale. Lakini Yesu alipokuja ali-ammend sheria hiyo. Sasa hivi nguruwe ni ruksa kuitafuna. Ila marufuku kuishushia na pombe.
Leta andiko lilitaja Nguruwe karuhusiwa akiwa katajwa nina lake kama jinsi alivyotajwa wakati anakarazwa
 
Sasa sindiyo kuhalalisha huko..mimi kikisema kula nyama ya ngombe ni ijumaa tu ndiyo nime halalisha kwa hiyo ijumaa ...je ni halali kuzini na mama yako mzazi kwa sababu una nyege na hakuna mwanamke kwa kipindi icho?
Sawa kahalalisha je hoja yako ni nini
 
Back
Top Bottom