Mnaolalamika na kubeza Mbowe kwenda kuonana na Rais, Mlitaka afanye nini?

Washabiki mandazi nyie hovyooo...Wewe na Rais nani wa Mhimu?? Mwenzio asote jela kisa uanachama wako wa mandazi kaa nao huko...
 
Wewe akili huna.

Rais aliekufunga na kudhalilisha na kukufanyia kila baya halafu unaona kukutana nae ni nafasi adimu?

Unatumia kichwa kufikiri ama makalio?
Kisasi ni cha Mungu tuu. Leo waweza kudhani una tumia kichwa kufikiri, na kesho waweza kujikuta kumbe ulitumia makalio kufikiri na hata kutamka.
Hatushindanishi matumizi ya akili za makalio wala za vichwa, bali tunajionyesha namna tu natumia akili vibaya.
 
Utaungana naye katika haya mapambano?
 
Wewe mungu umewahi kumuona akilipa kisasi?

Loserd ndio wanamuachia kila kitu mungu ambae hata hivyo hayupo.
 
Huo utu huo waupate wapi,kama waliweza waweka ndani mashehe wa uhamsho na wazee wa uhamsho bila ushahidi just kuwakomoa tu sababu Hakuna nguvu za kuwawajibisha kipi washindwe.
Uliona wapi kesi mashahidi wote ni police na police hao wote ni wakaazi wa dar na wengine wamekuwepo kwenye magenge ya wasiojulikana.
 
Naona kuna siku Samia atamshukia huyo mwehu aliyemuingiza chaka kuwa kuna watu walishafungwa jela kwa kesi hii ya mchongo hadi akajiabisha kwenye ile interview ya BBC.
Tulijua tangu mwanzo hamna kesi hapo.Huwezi kumkamata mtu ukitegemea ushahidi wa kubumba ni lzm uaibike.
Unamkamata mtu kwa mbwembe ukisema ushahidi upo then unamuachia
 
Wewe mungu umewahi kumuona akilipa kisasi?

Loserd ndio wanamuachia kila kitu mungu ambae hata hivyo hayupo.
Naamini Losers wa dunia hii wewe ndiyo kiongozi wao.
Kama umeweza kuamini Mungu hayupo utaamini matendo ya binadamu?
Kwa huu muda mfupi umethibisha kutumia makalio kufikiri na kutamka.
Ubaririkiwe Sana
 
Hata ingekuwa nani hakuna mtu ambaye angeweza kukataa nafasi ile ya kukutana na mkuu wa nchi ambaye ame play role kuachiwa kwake báada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Lisu nchini Begium.Ijulikane kwamba hii case ya Mbowe kwa tz ambayo waamuzi ni wateule wa Rais bila intervation yake unapotezwa hivi hivi unajiona kiubinadamu kama anakuita mionane nani akatae.
 
Na utaonekana ni Gaidi Kweli.
 
Mbaya zaidi wanaolalamika hawajawahi kukaa gerezani hata mwezi mmoja. Halfu akatae ili iweje? wakati mnapozungumza ndo mnaweza kuelewana.Hata huko Russia na Ukraine wanapigana ila wanataka wazungumze ili kufikia muafaka.
 
Angefanya kama alicho fanya huyu bwana...Nelson Mandela

View attachment 2140471
Hakuna alichofanya zaidi ya kubadili sura za viongozi kuwa weusi ila wenye kula nchi wakabaki makaburu na hao weusi wakawa makaburu weusi halafu watu weusi wenye maisha magumu wakiwashangilia makaburu weusi na kuwachezea ngoma
 
Kuna clip zake huko Twitter!!..
 
Wakati mwengine kukaa kimya ni busara zaidi!!...Unajua ametoka Mahabusu saa ngapi?!!..Akiwa Nyumbani kwakwe hukumuona Mwalimu?!!..Hukumuona Sugu?!!..Kuna clip zake zipo huko Twitter
 
Kwahiyo mheshimiwa Mbowe nae ana Ganga njaa?!!....Wewe umemjua Mbowe kwasababu ya case ya Mchongo?!!.. Wakati mwengine uwe Una uliza hata historia!!..JPM alizuia billions of Mbowe family money!!..Au hili nalo hukusikia na hujui?!!...
 
Kajiangalia yeye binafsi acha aendelee kwa mchaga haishangazi Sacco's ataingalia kwa ukaribu Chadema ni Utopolo kama utopolo mwingine
Tanzania ina vyama zaidi 10 vya upinzani, kwanini CDM mnateseka nayo kuliko vyama vingine?! Kama unaona Mbowe is not your choice opt kwingine. Hata ACT -wazalendo.
 
Wanachama wa CDM hajalalamika hata kidogo, cha ajabu MATAGA na chawa wa CCM mmechachamaa na wakali kama pilipili. Nini kinauma namna hii? Huruma hii Kwa wanaCDM mnatoa wapi wakati furaha yenu ilikuwa ni kuona Tiganga akimfunga Mbowe kwa gharama yoyote ile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…