Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa suluhu ya kero zako.Watanzania wengi wamedumaa akili mkuu unafikiri wanachanganua hivi vitu kazi kusifu visivyosifika
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
ChawaBot v1.0.0Kumbe ni chawa Bot
Ukitaka upendwe na kila mtu usiwe kiongozi badala yake uza ice-cream [emoji509][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Rais ashawahi pendwa Kwan[emoji38]
Ndo nashangaa,wanalazimisha mama apendwe wakati ni kiongozUkitaka upendwe na kila mtu usiwe kiongozi badala yake uza ice-cream [emoji509][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23]
Vyuma vilikaza lakini maendeleo tuliyaona alibana majeti aliwazibiti mafisadi.Huyu mama ako anaachia goli wazi kila mtu afunge.Hakuna atayependwa na wote wala atayechukiwa na wote,
Mwacheni mama apige kazi matunda mutayaona tu musiwe na haraka,
Vyuma vilikaza hapa miaka sita kimyaaaaa,
Leo miezi sita tu keleleeeeee
Kwanza kama huoni mama ana tatizo basi vijana ni WA hovyo kabisa na Tanzania tusahau kuendelea.Moja kwa moja kwenye mada.
Muna point kweli au ndio munafuata mkumbo tu, kwa sababu naona wengi wanasema eti maisha ni magumu ndio maana wanalaumu. Kwani lini yaliwahi kuwa mazuri?
Tuanzie hapo kwanza.
Hii ndio ilikuwa point yangu,Issue hapa sio ugumu wa maisha, maana hakuna siku maisha yamewahi kuwa marahisi.
JF bahna. Hata Waziri anaweza kuambiwa anaishi kwa shemeji yake😆😆. Mimi mfumo wa maisha yangu haupo embedded na regime inayojuwepo hovyo haujawahi kuathiriwa na regime yoyote tangu Mwinyi hadi sasa. Yes, JPM hakuwahi kuwa responsible na majanga na hata corona hakuwa responsible. He did nothing to show his responsibility to combat corona; only nature because of uninformed world about corona rescued him. Otherwise, mambo yangekuwa majanga.Kaka unaakili kweli wewe au ndio wale majobless unaishi kwa shemeji ako ukiamka asubuhi kitandani unaenda tena kulala sebuleni kwenye sofa utazame tamthilia za Azam tv, kwamba Corona halikuwa janga? Kwa hii EA umejaribu kuangalia nchi zingine bei ya mafuta ipoje? Au unalopokwa tu? Kama kwetu ipo juu ni kwanini? Unazijua sababu zinazofanya mafuta yawe juu?
Kwenye mahindi haki ya Mungu kamt*mbe mama ako la sivyo ufute kauli JPM asingeruhusu yatoke nje yangekuwepo ya kutosha na bei zingebaki vile vile
Ukweli ni kwamba maisha yamekuwa magumu mali tatu ilivyokuwa kwa JPM nyie mnaoishi kwa ndugu zenu mnaona kawaida shemeji yako anaemt*mba dada ako ww ukiwa umelala sebuleni hawezi kukuambia hana hela na ww utaendelea kuishi kwa shemeji siku zote coz huambiwi
Kalime wewe ndio ujue gharama zikoje sio unashinda mtandaoni ukipmjiu
wanaovukisha mahiñdi mipaka sio wakulima wewe babu ebu amka wacha kulalaKalime wewe ndio ujue gharama zikoje sio unashinda mtandaoni ukipangia watu masoko
Hawa mbwa ndiyo wanao mpenda mjambiani mpumbavuNi washenzi tuu hao na chuki binafsi..
Unaweza kudhani huko kwa Mwendazake kulikuwa Neema kumbe walikuwa wanachezewa kama watoto na kufukarishwa tuu nothing else..
Mwendazake anawalisha maneno na kuharibia maisha huku wao Wakitanua.
Shida Rais anatumia lugha ya Mama upole,saizi alitakiwa awachane live kama Mseven kwamba Yeye hakuanzisha vita na Wala Tanzania haina visima vya mafuta.
Unakumbuka Bungeni Makamba alisema ambae anaweza leta mafuta Kwa bei ndogo aende Ofisini apewe kibali hadi leo hii kimya Kwa wale wenye midomo.
Mama awatolee uvivu kwa kuwachana live,wanataka atoe Kodi kwenye mafuta Ili avurige bajeti na miradi ikwame wapate pa kusemea.
Samia Kazi hivyo hivyo,usije toa Kodi kwenye mafuta Road fund ya Pesa za TanRoada na Tarura wanategemea hapo Rea wanategmea hapo,Reli wanategemea hapo,hakuna kutoa hata mia.
Nchi karibu zote mafuta yako juu na wanakomaa.
Kila mwenyekamba huvutia kwake hufahamu kuwa gharama za pembejeo zimepanda Sana na Hali ya uvivu imepanda Sana hamtaki kulima mnataka mkae mijini tu vijijini mashamba mengi hayalimwi NASEMA HIVI MAHINDI YPANDE MPKA 50000 DEBE ILI MUACHE KUUZA SURATofauti ya Mwendazake na Mama zipo kibao sana
Mfano; Mwendazake:"Nakuagiza kufikia tarehe 8 mwezi huu hili jambo waziri (fulani) liwe limekamilika
Mama: "Mh. Wazili (Fulani) naomba hili nalo ukalifanyie kazi"
Ingekuwa ni kipindi cha JPM sasa hii hakuna sehemu mahindi yangeuzwa elfu 20 kwa ndoo (kilo ya unga Tsh 1800/-, bei ya mafuta isinge paa hivi ilivyo sasa pamoja na vita ya Urusi, ile pesa iliyotumika kwenye loyotua ingefanya jambo la kuonekana tena la maana tu na watalii wangekuja kwa wingi ule ule
Machinga wangeendelea kupiga pesa kama kawaida, tofauti na sasa kumiliki biashara ni mpaka uwe na pesa ndefu pango tu linagharimu sio chini ya laki 5
Kiukweli mimi namchukia mama na nina sababu R.I.P JPM
Fanya utafiti kisha urudi hapa useme anaefaidika hapa ni mkulima wa nafaka au mfanyabiashara wa nafaka?Kila mwenyekamba huvutia kwake hufahamu kuwa gharama za pembejeo zimepanda Sana na Hali ya uvivu imepanda Sana hamtaki kulima mnataka mkae mijini tu vijijini mashamba mengi hayalimwi NASEMA HIVI MAHINDI YPANDE MPKA 50000 DEBE ILI MUACHE KUUZA SURA