Mnaomchukia Rais Samia mna hoja au ni chuki tu?

Mnaomchukia Rais Samia mna hoja au ni chuki tu?

We kenge usijibu Kwa hisia huyo mother hakuna kitu hapo.

Nyie watoto wa kinda garden ndo mnamtetea. Hatumpendi Ka nini.

Juzi nimeota DR mpango kaapishwa kuwa Raisi ngoja nisubiri.

Mnaompenda mpende kivyenu.msitulazimishe kushabikia ujinga.
Matizo ni.mengi zaidiya bei ya mafuta.
Mat
Utaota hadi 2030 unless Afariki..Tena Huyo Mpango akiwa Rais ndio Maji mtaita mmaaa
 
Na mshahara atoe unaoendana na gharama anazotoza usiongee kama hayawani. Kila kitu bei juu halafu na mitozo kila kona unaona liko sawa sababu unagewa buku 7 za mapambio Lumumba?

Mtu analipwa laki 7 maisha yamefika million 1. Unataka asilalamike kwa nini!?
Toa ufala hapa,niliuliza unafanya miamala ya kiasi gani kwenye salary inayozodi ongezeko la salary? Nipe Jibu wewe kimba..

Rais kuendelea kuwakenulia watu kama nyie ndio emnaongea Sana ujinga,hapo tuu ndipo nilikuwa namkubali Mwendazake anakupa jibu dry na ukizingua unatekwa unachezea kichapo unakauka mazima,saizi si ana wachekea mnaongea upumbavu..

Tzn inazalisha mafuta? Kwa nini msihamie kwenye maisha rahisi.
 
🐒🐒🐒

Karibia zote mafuta yako juu!!
Vizuri tuanzie hapo na nchi zilizobaki ambazo mafuta yako chini
Kwann tusiwe nchi mojawapo ambazo mafuta yako chini?
Au vita inapiganwa Tanzania??
je ni sisi pekee ambayo vita imetuathiri??
kama jibu n hapana basi umeandika utoporo
Kama Nchi gani?
 
Toa ufala hapa,niliuliza unafanya miamala ya kiasi gani kwenye salary inayozodi ongezeko la salary? Nipe Jibu wewe kimba..

Rais kuendelea kuwakenulia watu kama nyie ndio emnaongea Sana ujinga,hapo tuu ndipo nilikuwa namkubali Mwendazake anakupa jibu dry na ukizingua unatekwa unachezea kichapo unakauka mazima,saizi si ana wachekea mnaongea upumbavu..

Tzn inazalisha mafuta? Kwa nini msihamie kwenye maisha rahisi.
We unazingua kmmmk
 
We chawa tu kmmmk af huna akili hata moja. Yani sawa na kopo la mkojo. Nchi yetu ina rasilimali kibao ambazo kwa kutumia robo yake tu tungeweza kubadili hali za maisha completely ila sababu wajinga wamejaza madarakani "Never underestimate the power of stupid people in groups"
 
Mnachekewa na kudeka kwa mama,Museven,Kagame na wengine around EAC hawakopeshi wanawachana live na mkizongua mnakula chuma..

Tanzania na Kenya ndio wanatoa ruzuku ya mafuta ,Kenya Kwa sababu ya Uchaguzi Tanzania kwa kudekeza watu.
Ruzuku gani mafuta 2,41O??? RUZUKU au kiini macho? Ruzuku ilitakiwa ikate bei ya wese by 5O%
 
Wanaharamu hao wasiojielewa. Mungu ampe maisha marefu na afya njema mama tumechelewa sana kumpata kiongozi bora kama Mama Samia.
 
Si bora hiyo bilion mia kila mwezi zijengwe barabara za kilomita mia mia,imagine kila mwezi tarura wanapewa 0 ya milion mia
Eeh hio billion 100 ya mchongo bora ijenge barabara tu waanze kutanua Kibaha hadi Tunduma nafikiri ndani ya mwaka tu itakuwa ishafika Tunduma
 
Eeh hio billion 100 ya mchongo bora ijenge barabara tu waanze kutanua Kibaha hadi Tunduma nafikiri ndani ya mwaka tu itakuwa ishafika Tunduma
Serikali haiwezi fuata mawazo ya wewe bogus,wenye mitambo wanaona uafadhari hata 100 ikitolewa sio wewe mwenye kirikuu.
 
Hapa kwenye mafuta na mahindi umeandika ujinga. Yangepanda zaidi ya hivi na wananchi mngenunua kwa kushangilia na yule ambaye angelalamikia mafuta angeambiwa ajaze mkojo wake kwenye gari lake aendeshe. Wapi JPM alikuwa responsible kwa majanga?
Jiwe alikua ana foresee mbali, ndiyo maana hata kabla ya nchi kupata upungufu wa chakula mapema kabisa alizui chakula kuuza nje, ndiyo maana bei za vyakula zilikuwa chini, kwa niliyosema ulitaka awe responsible kwa staili gani tena...?
 
Back
Top Bottom