Ni washenzi tuu hao na chuki binafsi..
Unaweza kudhani huko kwa Mwendazake kulikuwa Neema kumbe walikuwa wanachezewa kama watoto na kufukarishwa tuu nothing else..
Mwendazake anawalisha maneno na kuharibia maisha huku wao Wakitanua.
Shida Rais anatumia lugha ya Mama upole,saizi alitakiwa awachane live kama Mseven kwamba Yeye hakuanzisha vita na Wala Tanzania haina visima vya mafuta.
Unakumbuka Bungeni Makamba alisema ambae anaweza leta mafuta Kwa bei ndogo aende Ofisini apewe kibali hadi leo hii kimya Kwa wale wenye midomo.
Mama awatolee uvivu kwa kuwachana live,wanataka atoe Kodi kwenye mafuta Ili avurige bajeti na miradi ikwame wapate pa kusemea.
Samia Kazi hivyo hivyo,usije toa Kodi kwenye mafuta Road fund ya Pesa za TanRoada na Tarura wanategemea hapo Rea wanategmea hapo,Reli wanategemea hapo,hakuna kutoa hata mia.
Nchi karibu zote mafuta yako juu na wanakomaa.