Mnaomchukia Rais Samia mna hoja au ni chuki tu?

Ukiandika vitu vya hovyo utajibiwa hovyo tu mkuu.

Unalipwa salary inayokatwa kodi(paye), salary yako inaingizwa bank, ukitaka kuchomoa sehemu ya mshahara wako hapo crdb unakatwa service charge za bank then unapigwa TOZO, ukienda kutuma pesa kwa mama yako na ile sehemu ya mshahara unakatwa makato na TOZO, ukiweka wese kwenye mkebe wako kwa sehemu ya mshahara wako unakatwa kodi na TOZO.

UTAKUWA MZIMA KWELI KUSAPOTI HUO UPUMBAVU?
Huyo ni mpumbavu haswaa wala si kidogo.

Hizo tozo wangeweka kwenye bia na sigara huko sio kwenye vitu vya kugusa maisha ya mtu kama mafuta na mbolea vinavyoleta after effects kwa
raia.

Halafu utashangaa wanamdiss Magufuli ooh
alikwapua hela za matajiri sijui kwenye kodi za arrears. Sasa mtu alikuwa ana malimbikizo ya kodi kwanini asilipe? Waliuponda huo mfumo ila na wao wameanza kuutumia mbaya zaidi na matozo juu yake. Hili la tozo linatosha ku justify kuwa uporaji wa hela umehamishiwa kwa maskini.
 
Mkuu kwani wew upo abroad?
Nikupe hongera kwa kufurahia haya yanayofanyika, mimi maza na Madelu sioni kitu wanafanya kwa uchumi wa nchi

Maza hana authority, hanaaa!!
Hau!Tulipofikia ni uchumi wa dunia kuyumba.Tukianza kulaumiana hatufiki.Ni wakati wa kifunga mikaja.Kama huna mkaja funga hata mkwiju au mkanda.
 
Ingekuwa ni kipindi cha JPM sasa hii hakuna sehemu mahindi yangeuzwa elfu 20 kwa ndoo (kilo ya unga Tsh 1800/-, bei ya mafuta isinge paa hivi ilivyo sasa pamoja na vita ya Urusi, ile pesa iliyotumika kwenye loyotua ingefanya jambo la kuonekana tena la maana tu na watalii wangekuja kwa wingi ule ule
Hapa kwenye mafuta na mahindi umeandika ujinga. Yangepanda zaidi ya hivi na wananchi mngenunua kwa kushangilia na yule ambaye angelalamikia mafuta angeambiwa ajaze mkojo wake kwenye gari lake aendeshe. Wapi JPM alikuwa responsible kwa majanga?
 
Dah!Kila nikikumbuka watani zangu wa Katerero(Wa'aya) walivyodhulumiwa haki/hela yao ya tetemeko nakosa furaha.Yooooh...bhooojhoo!
 
Ni washenzi tuu hao na chuki binafsi..

Unaweza kudhani huko kwa Mwendazake kulikuwa Neema kumbe walikuwa wanachezewa kama watoto na kufukarishwa tuu nothing else..

Mwendazake anawalisha maneno na kuharibia maisha huku wao Wakitanua.

Shida Rais anatumia lugha ya Mama upole,saizi alitakiwa awachane live kama Mseven kwamba Yeye hakuanzisha vita na Wala Tanzania haina visima vya mafuta.

Unakumbuka Bungeni Makamba alisema ambae anaweza leta mafuta Kwa bei ndogo aende Ofisini apewe kibali hadi leo hii kimya Kwa wale wenye midomo.

Mama awatolee uvivu kwa kuwachana live,wanataka atoe Kodi kwenye mafuta Ili avurige bajeti na miradi ikwame wapate pa kusemea.

Samia Kazi hivyo hivyo,usije toa Kodi kwenye mafuta Road fund ya Pesa za TanRoada na Tarura wanategemea hapo Rea wanategmea hapo,Reli wanategemea hapo,hakuna kutoa hata mia.

Nchi karibu zote mafuta yako juu na wanakomaa.
We kenge usijibu Kwa hisia huyo mother hakuna kitu hapo.

Nyie watoto wa kinda garden ndo mnamtetea. Hatumpendi Ka nini.

Juzi nimeota DR mpango kaapishwa kuwa Raisi ngoja nisubiri.

Mnaompenda mpende kivyenu.msitulazimishe kushabikia ujinga.
Matizo ni.mengi zaidiya bei ya mafuta.
Mat
 
Ingekuwa ni kipindi cha JPM sasa hii hakuna sehemu mahindi yangeuzwa elfu 20 kwa ndoo (kilo ya unga Tsh 1800/-, bei ya mafuta isinge paa hivi ilivyo sasa pamoja na vita ya Urusi, ile pesa iliyotumika kwenye loyotua ingefanya jambo la kuonekana tena la maana tu na watalii wangekuja kwa wingi ule ule

Machinga wangeendelea kupiga pesa kama kawaida, tofauti na sasa kumiliki biashara ni mpaka uwe na pesa ndefu pango tu linagharimu sio chini ya laki 5
Hayo unayozungumza ya 'ingekuwa....' ni ya kusadikika
 
Ni washenzi tuu hao na chuki binafsi..

Unaweza kudhani huko kwa Mwendazake kulikuwa Neema kumbe walikuwa wanachezewa kama watoto na kufukarishwa tuu nothing else..

Mwendazake anawalisha maneno na kuharibia maisha huku wao Wakitanua.

Shida Rais anatumia lugha ya Mama upole,saizi alitakiwa awachane live kama Mseven kwamba Yeye hakuanzisha vita na Wala Tanzania haina visima vya mafuta.

Unakumbuka Bungeni Makamba alisema ambae anaweza leta mafuta Kwa bei ndogo aende Ofisini apewe kibali hadi leo hii kimya Kwa wale wenye midomo.

Mama awatolee uvivu kwa kuwachana live,wanataka atoe Kodi kwenye mafuta Ili avurige bajeti na miradi ikwame wapate pa kusemea.

Samia Kazi hivyo hivyo,usije toa Kodi kwenye mafuta Road fund ya Pesa za TanRoada na Tarura wanategemea hapo Rea wanategmea hapo,Reli wanategemea hapo,hakuna kutoa hata mia.

Nchi karibu zote mafuta yako juu na wanakomaa.
Hivi mnakuwaga na maslahi gani?maana unakuta mtu unashupaa kama kimba la makande oooh mama sijui nini Mama alikunyonyesha lini?Ukweli ni kwamba maisha ni magumu na yanazidi kuwa magumu sàsa kinachokufurahisha boya wewe sijui unapata raha gani watanzania wakipata shida Chawa mkubwa wewe
 
Hamia ambako maisha ni rahisi,nani aje akufanyie Kazi? In Magu's voice
 
Back
Top Bottom