Mnaomchukia Rais Samia mna hoja au ni chuki tu?

Mnaomchukia Rais Samia mna hoja au ni chuki tu?

Hakuna anaye mchukia rais Samia ila ukweli lazima uwe wazi kabisa pasi kuacha shaka kwamba raisi Samia ana uwezo mdogo mbona hili hata Prof Assad kasha wahi sema

"60% ya viongozi waliopo serikalini Wana uwezo mdogo"Prof Mussa
...Hakuna anayemchukia, ila Mama ana Uwezo mdogo. Ndio maana Kuteua na Kutengua imebaki kuwa ndio Kazi yake kubwa aonekane anafanya kitu!
 
Wakati wa Jiwe
  • Mchele kilo 900
  • Mafuta ya kula 3500/lita
  • Diesel 2800/lita

Wakati wa mpiga mwingi
  • Mchele 2300/kilo
  • Mafuta ya kula 7000/lita
  • Diesel 3400/lita

Linganisha afu jipe jibu
 
Mwambie apunguze sana kufanya Vikao na Majenerali na Mabrigedia wa Jeshi kwani Kuongoza Tanzania hii yenye Watu wengi Wasomi na Werevu ni zaidi ya Kuonana nao kila mara.

au nchi ipo Vitani kwa sasa? Awe mvumilivu tu kwa Spana zetu kwani zinamsaidia kuyajua yale asiyoyajua na hata Kujirekebisha pia kuliko Wewe ( Nyie ) Wanafiki na Chawa ( Sycophants ) ambao mnajifanya Kumpenda na kuona anapatia huku Mioyoni mwenu mkiwa mnamcheka na Kumnanga.
Naona anajiwekea shield kwa makamanda maana anajua mtaani hakuna kila kitu amefanya kinaeleweka
 
Kama sio udini, ukabila, ukanda au jinsia vinginevyo hakuna sababu yenye mashiko hata moja,
Hakuna rais angezuia mafuta yasipande bei,au azuie njaa hakuna,
Kama unakumbuka tukio la kagera tu wale waliochangiwa baada ya kimbunga walijibiwa nini?
Walipodai haki yao
Tukio la kagera linahusiana vipi na kupanda kwa bei ya bidhaa..?
 
Hakuna atayependwa na wote wala atayechukiwa na wote,
Mwacheni mama apige kazi matunda mutayaona tu musiwe na haraka,
Vyuma vilikaza hapa miaka sita kimyaaaaa,
Leo miezi sita tu keleleeeeee
Miaka 6 iliyopita maisha yalikua nafuu mno, penye ukweli tuseme
 
Back
Top Bottom