Mnaomchukia Rais Samia mna hoja au ni chuki tu?

Kwani magufuli alipendwa kabla ya umauti watanzania sisi ni wanafiki sana hakuna raisi aliyependwa akiwa madarakani.
 
Hawana hoja ni mifumo dume tu ndo inawatesa wengi hawakutegemea kuongozwa na mwanamke
 
Hakuna atayependwa na wote wala atayechukiwa na wote,
Mwacheni mama apige kazi matunda mutayaona tu musiwe na haraka,
Vyuma vilikaza hapa miaka sita kimyaaaaa,
Leo miezi sita tu keleleeeeee
Vyuma vilikaza lakini maendeleo tuliyaona alibana majeti aliwazibiti mafisadi.Huyu mama ako anaachia goli wazi kila mtu afunge.
 
Moja kwa moja kwenye mada.

Muna point kweli au ndio munafuata mkumbo tu, kwa sababu naona wengi wanasema eti maisha ni magumu ndio maana wanalaumu. Kwani lini yaliwahi kuwa mazuri?

Tuanzie hapo kwanza.
Kwanza kama huoni mama ana tatizo basi vijana ni WA hovyo kabisa na Tanzania tusahau kuendelea.

Issue hapa sio ugumu wa maisha, maana hakuna siku maisha yamewahi kuwa marahisi.

Mimi mama namchukia kabisa bila unafiki sio tu kisa vitu vimepanda. Ila anaiongoza nchi bila maono yaani mbele tunaona kuna Giza. Hakuna kitu anakifanya kwa lengo kwamba after this project kutakuwa hivi! Magufuli alikuwa na maono na roadmap ya nchi. Unaona kabisa tunaelekea wapi na baada ya muda Fulani tutakuwa hivi.

Mama yeye kwanza haamini kama TZ ipo siku inaweza kujenga miradi kwa pesa zake. Anachokifanya yeye ni kuilimbikizia nchi madeni na kuwatwisha wananchi mzigo wa kuyalipa hayo madeni.
 
JF bahna. Hata Waziri anaweza kuambiwa anaishi kwa shemeji yakeπŸ˜†πŸ˜†. Mimi mfumo wa maisha yangu haupo embedded na regime inayojuwepo hovyo haujawahi kuathiriwa na regime yoyote tangu Mwinyi hadi sasa. Yes, JPM hakuwahi kuwa responsible na majanga na hata corona hakuwa responsible. He did nothing to show his responsibility to combat corona; only nature because of uninformed world about corona rescued him. Otherwise, mambo yangekuwa majanga.
 
Wengi wao humu wamejaa chuki na ujinga tuu. Sasa kama haumpendi rais wako si uhame nchi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mnataka awafanyie nini ndo mumpende!!? Wengi wao humu hawana sababuwamejaa upuuzi mtupu na unakuta wengi ni waajiriwa wanaliowa na huyohuyo wanaemchukiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Bongo unafiki mwingi sanaaa!!!!
 
Hawa mbwa ndiyo wanao mpenda mjambiani mpumbavu
 
Kila mwenyekamba huvutia kwake hufahamu kuwa gharama za pembejeo zimepanda Sana na Hali ya uvivu imepanda Sana hamtaki kulima mnataka mkae mijini tu vijijini mashamba mengi hayalimwi NASEMA HIVI MAHINDI YPANDE MPKA 50000 DEBE ILI MUACHE KUUZA SURA
 
Kila mwenyekamba huvutia kwake hufahamu kuwa gharama za pembejeo zimepanda Sana na Hali ya uvivu imepanda Sana hamtaki kulima mnataka mkae mijini tu vijijini mashamba mengi hayalimwi NASEMA HIVI MAHINDI YPANDE MPKA 50000 DEBE ILI MUACHE KUUZA SURA
Fanya utafiti kisha urudi hapa useme anaefaidika hapa ni mkulima wa nafaka au mfanyabiashara wa nafaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…