bado mbichi kabisa hii.Mna uhakika hii topic iendelee?
Tresor Mandala Lumumba yupo huko World Cup..?Yule shabiki mkongo maarufu kama lumumba ambaye anasimama ananyoosha mkono leo sijamuona kabisa au hawajampa airtime
He's not Humanbieng Jana namsikia commentator anasema Leo anafanya mpira wa miguu uonekane ni kitu rahisi kukicheza
Anachukua mpira kuanzia kati ya uwanja anaipandisha team na hapo hapo anapiga mabao matakatifu Anafanya kile ambacho alichokuwa anakifanya akiwa akiwa na miaka 22 wakati huu ambao ana miaka 39 huyu mtu sio kiumbe wakawaida kabisa
He's more than a genius, Mashabiki tunao penda mpira mzuri hatuna deni kwake kabisa yaani Jamaa anajua kuzisuuza nyoyo zetu, Na hapo ndio Cr7 alikuwa anasema Messi anacheza kwenye league nyepesi lakini moto anauwasha utadhani bado yupo kwenye league ya Spain huyu kiumbe sio mtu he's more than a monster 🙌🙌
Mbape ndio nani??? Hata akifunga magoli 1000 ila Messi atabakia kuwa messi. Mtu anatengewa anafunga ataachaje kufunga magoli mengi 😄 mkiwa mnamzungumzia wachezaji wenu ronaldo na mbape tafadhali Messi msimhusishe kabisa, messi ni wakipekee na hafananishwi na mchezaji yeyote duniani tokea mpira uanze.Hiyo record haitokaa muda mrefu Mbappe anakuja kuweka mpya
Tel them 📌Mbape ndio nani??? Hata akifunga magoli 1000 ila Messi atabakia kuwa messi. Mtu anatengewa anafunga ataachaje kufunga magoli mengi 😄 mkiwa mnamzungumzia wachezaji wenu ronaldo na mbape tafadhali Messi msimhusishe kabisa, messi ni wakipekee na hafananishwi na mchezaji yeyote duniani tokea mpira uanze.
Mkiwa
Mkuu me nimeongela recordMbape ndio nani??? Hata akifunga magoli 1000 ila Messi atabakia kuwa messi. Mtu anatengewa anafunga ataachaje kufunga magoli mengi 😄 mkiwa mnamzungumzia wachezaji wenu ronaldo na mbape tafadhali Messi msimhusishe kabisa, messi ni wakipekee na hafananishwi na mchezaji yeyote duniani tokea mpira uanze.
Mkiwa
Poa kamandaMkuu me nimeongela record