Mnaomfananishaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huwaga mnatumia nini kufikiri?

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
54,381
Reaction score
80,393
He's not Humanbieng Jana namsikia commentator anasema Leo anafanya mpira wa miguu uonekane ni kitu rahisi kukicheza

1781684253347.png

Anachukua mpira kuanzia kati ya uwanja anaipandisha team na hapo hapo anapiga mabao matakatifu Anafanya kile ambacho alichokuwa anakifanya akiwa akiwa na miaka 22 wakati huu ambao ana miaka 39 huyu mtu sio kiumbe wakawaida kabisa

He's more than a genius, Mashabiki tunao penda mpira mzuri hatuna deni kwake kabisa yaani Jamaa anajua kuzisuuza nyoyo zetu, Na hapo ndio Cr7 alikuwa anasema Messi anacheza kwenye league nyepesi lakini moto anauwasha utadhani bado yupo kwenye league ya Spain huyu kiumbe sio mtu he's more than a monster 🙌🙌

1781684269630.png
 
🙌

View attachment 3609542
Haiwezekani kufananisha mtu mmoja dhidi ya mtu mwingine.Kila mmoja ni wa kipekee duniani.
 
Ulicho kisema ni kweli kabisa Mkuu.

Lakini hao ni wachezaji wakubwa sana Duniani na wana Pesa Nyingi sana.

Sisi huku Dunia ya Tatu ndio wapumbavu kutumia Muda Mwingi kuwajadili kuwafananisha na Kuwashindanisha.

NCHI ZETU NI WIMBI LA MATATIZO
 
Ni fahari nimemshuhudia huyu magician!!!
Ngumu sana kuja kutokea talented na gifted kama huyu kiumbe..... football ⚽️ haimdai chochote tena .......

🐐 🐐 🐐
Kabisa kaka fahari Tena kubwa sana yaani mtu ana miaka 38 lakini the way alivyo nanjaa ya ushindi utadhani ndio kwanza ana umri kama wa lamine yamal
 
Ulicho kisema ni kweli kabisa Mkuu.

Lakini hao ni wachezaji wakubwa sana Duniani na wana Pesa Nyingi sana.

Sisi huku Dunia ya Tatu ndio wapumbavu kutumia Muda Mwingi kuwajadili kuwafananisha na Kuwashindanisha.

NCHI ZETU NI WIMBI LA MATATIZO
Dah 😭
 
Back
Top Bottom