😀😀ndio hoja yako hii blaza? Wewe ni team Ronaldo bila shakaWewe na hao jamaq zako ndiyo mna mahangaiko ya kutafuta mifanano.Haiwezekani hiyo.Kwanza mmoja mfupi mwingine "tolo"!Hawafanani.
CR7 anakitu...ila hamzidi Messi kwa chochoteCr7 ataendelea kuwa mchezaji anayeimbwa sana kwenye dunia ya soka sababu wengi wanapomsifia Messi lazima watake kuonyesha CR7 si kitu.
Na historia itaendelea kuimba jina lake as long as la Messi linaimbwa kama hivi ulivyofanya.CR7 anakitu...ila hamzidi Messi kwa chochote
Sahihi kabisa...ataendelea kushika nafasi ya pili at their eraNa historia itaendelea kuimba jina lake as long as la Messi linaimbwa kama hivi ulivyofanya.
Kuna huyo dogo wa kuitwa Mbappe,nafikiri atamaliza hii WC akiwa top scorer of all timeSijaangalia mechi ila Kitendo cha kufunga hat trick maana yake amefikia rekodi ya Klose,hivyo bado goli moja tu aweke rekodi yake. Ni dalili nzuri. Kila la heri kwake!
Kuhusu "chochote" huo ni uongo dhahiri shahiri!😛😛😛CR7 anakitu...ila hamzidi Messi kwa chochote
Naunga mkono hojaCr7 ataendelea kuwa mchezaji anayeimbwa sana kwenye dunia ya soka sababu wengi wanapomsifia Messi lazima watake kuonyesha CR7 si kitu.
bal on dor inapatikanaje kama sio kwa kuwalinganisha wachezajiHaiwezekani kufananisha mtu mmoja dhidi ya mtu mwingine.Kila mmoja ni wa kipekee duniani.
Mkuu upo clubhouse? Hii I'd yako naifananisha na jamaa mmoja wa CH🤔bal on dor inapatikanaje kama sio kwa kuwalinganisha wachezaji
Ukiendelea na hii tabia utakufa na presha na kisukari kwa pamojaKaotea, ana siku tu za kubahatisha, the man is so talented yes, but not that special for this kind of compliments.
CH ni nini boss, ni wapi hukoMkuu upo clubhouse? Hii I'd yako naifananisha na jamaa mmoja wa CH🤔
Wakilinganishwa na kuonesha hawqlingani ndiyo maana anapatikana mshindi na wanaofuata.bal on dor inapatikanaje kama sio kwa kuwalinganisha wachezaji
ni maneno tofauti yenye mtiririko unaofuatana. Tunalinganisha ili tushindanishe.Wakilinganishwa na kuonesha hawqlingani ndiyo maana anapatikana mshindi na wanaofuata.
NB:Kwani neno KULINGANISHA ni sawa na KUSHINDANISHA?
oohh sawa. mm huko sipajuiClub house
Basi , nimefananisha tuCH ni nini boss, ni wapi huko