TokapaMimi ni CR7 fun lakin Leo hana mpinzani ukiweka hisia kando.
Sa hutaki, Messi mkali. Ronaldo tunampenda.Tokapa
Kwa ukali nakubaliSa hutaki, Messi mkali. Ronaldo tunampenda.
Sio Kibu Denis hata loose Nut alipunguza Mabange na kuanza kufanya mazoezi answapiga Algeria hattrick vizuri tuAlgeria hata kibu Denis aliifunga , japo mesii ni mbuzi 🐐
View attachment 3609745
CRistiano Ronaldo huwa anaibeba timu mabegani kwake Messi yeye anabebwa na timu Kama mechi ya jana ilivyokuwa kwa masia messi
Mimi ni DEMU.Duh ! secretarybird ione hii , halafu nasikia Bichwa ni wa Kiume taarifa za kijasusi zinasemaje ?
Kombe la dunia linapambaniwa sio unazawadiwa.Ronaldo ni kama mimi na wewe tu, wote hatuna kombe la dunia.
Una wivu wa kijinga sanaKombe la dunia linapambaniwa sio unazawadiwa.
Wote tunajua Messi alizawadiwa
And as things started it seems like we're going to have another scripted World Cup again.
Nakuheshimu and sikuwahi kuamini kuwa unajadili hoja Kwa hisia pia except for factKombe la dunia linapambaniwa sio unazawadiwa.
Wote tunajua Messi alizawadiwa
And as things started it seems like we're going to have another scripted World Cup again.
Uache, kwani wakoUna wivu wa kijinga sana
Ronaldo yeye ameshindwa nini kupewa? Messi apewe world cup yeye ni nani?.. Mbona 2014 alicheza fainali na hawakumpa? yeye Ronaldo anashindwa ata kufika fainali kwa sababu gani au mpaka apewe?.. tuwe wakweli Performance ya Ronaldo world cup ipo low sana ndo maana anazidiwa magoli mpaka na akina Mbappe .Kombe la dunia linapambaniwa sio unazawadiwa.
Wote tunajua Messi alizawadiwa
And as things started it seems like we're going to have another scripted World Cup again.