DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Kwenye michuano ya kombe la dunia inayoendelea Messi ni bora zaidi kuliko wachezaji wote... Kama hutaki kafie Mbele
Avatar yako na jina linanitisha mpaka naogopa kukutongoza 😆Mimi ni DEMU.
Punguza hisiaNachojua mimi argentina havuki makundi, na mesi hafungi goli zaidi ya hizo tatu, lazima aishie hapohapo algeria hamna kipa mule
Scars
Greatest Of All Time
Utofaauti wa Goat na huyu mtoto ni kwamba GoAt anakufanya uamini kwamba kwenye mpira hakuna kitu kisichowezekana na unapoona kugumu yeye anafaulu na haumfanyi chochoteHe's not Humanbieng Jana namsikia commentator anasema Leo anafanya mpira wa miguu uonekane ni kitu rahisi kukicheza
Anachukua mpira kuanzia kati ya uwanja anaipandisha team na hapo hapo anapiga mabao matakatifu Anafanya kile ambacho alichokuwa anakifanya akiwa akiwa na miaka 22 wakati huu ambao ana miaka 39 huyu mtu sio kiumbe wakawaida kabisa
He's more than a genius, Mashabiki tunao penda mpira mzuri hatuna deni kwake kabisa yaani Jamaa anajua kuzisuuza nyoyo zetu, Na hapo ndio Cr7 alikuwa anasema Messi anacheza kwenye league nyepesi lakini moto anauwasha utadhani bado yupo kwenye league ya Spain huyu kiumbe sio mtu he's more than a monster 🙌🙌
Mechi ijayo Mbappe anapigwa kadi nyekundu.Nipo na Mbappe mpaka avunje hiyo rekodi amzidi Messi
Kipaji pekeake hakitoshi kukufanya uwe mtu exceptional, goat kwangu ni mtu special anakipaji halafu ana bidii sanaHe's not Humanbieng Jana namsikia commentator anasema Leo anafanya mpira wa miguu uonekane ni kitu rahisi kukicheza
Anachukua mpira kuanzia kati ya uwanja anaipandisha team na hapo hapo anapiga mabao matakatifu Anafanya kile ambacho alichokuwa anakifanya akiwa akiwa na miaka 22 wakati huu ambao ana miaka 39 huyu mtu sio kiumbe wakawaida kabisa
He's more than a genius, Mashabiki tunao penda mpira mzuri hatuna deni kwake kabisa yaani Jamaa anajua kuzisuuza nyoyo zetu, Na hapo ndio Cr7 alikuwa anasema Messi anacheza kwenye league nyepesi lakini moto anauwasha utadhani bado yupo kwenye league ya Spain huyu kiumbe sio mtu he's more than a monster 🙌🙌
📌🔨Bichwa Komwe ni kinyeo, kinyeo ni Bichwa Komwe.
Huyu anahati miliki ya makende. Anajinsia mbili.Duh ! secretarybird ione hii , halafu nasikia Bichwa ni wa Kiume taarifa za kijasusi zinasemaje ?
❤️Inawezekana mkuu.
Kwanza nikupongeze kwa kuweka hoja.Mkuu ni moments gani zilifanyika ambazo zilizofanyika zikawa wamempa Messi Kombe? Na Ronaldo yeye alipewa unfair treatment gani mpaka akashindwa kupata kombe la dunia?
Maana kwa upande wa Messi last time Robo fainali amekutana na Netherlands akampasua kwenye penalty fairly kabisa baada ya extra time kuisha 2-2.. Na kumbuka Argentina alimtangulia Kumpasua Netherlands goli mbili nill alifanya tu kuzirudisha...
Argentina ameenda nusu fainali akampasua Croatia goal 3 nill clear kabisa... Ameenda fainali amekuta na France aka-draw nae na akaenda kumpasua kwenye matuta.. Na kumbuka kwenye dakika tisini France alitangulia kupasuliwa yeye ndo alifanya ku-level score results.. Sasa huyu aliyetaka kumbeba Messi ame-risk kiasi hicho mpaka watu wanaenda kwenye Penalty...
Ronaldo mwenyewe miaka yote timu yake haina performance yoyote ya maana, hata kufika nusu fainali hawezi.. 2014 hakuvuka hata makundi, mpaka USA akamaliza juu yake na akafuzu.. 2018 kwenye 16 aligongwa na Uruguay ya akina Suares.. Nakumbuka Edson aliwagonga Portugal kamba mbili za maana wakaishia hapo.. 2022 hao Portugal waligongwa mpaka na Morocco mpaka wakaanza maringo kwamba wao sio Waafrika
Mimi ningependa ungeniwekea specific Moments walizompa Messi Kombe na moments walizomnyima kombe Ronaldo wakati alistahili kulipata...
BlackPantherKwanza nikupongeze kwa kuweka hoja.
Pili nitajibu kwa kuanzia mwishoni ulivyomaliza.
Umetaja timu zilizomfunga Portugal na ku undermine uwezo wa Cristiano.
Hii kwangu naiona kama iko biased hususan pale tukiangalia Qatar walimpiga Argentina.
Na tukianza kupima hizo timu zilizomfunga Portugal katika rank za FIFA ni kubwa kuliko Qatar.
Lakini huko kote tusifike.
Kwanini watu wengi tunafikiria kuwa 2022 FIFA walimzawadia Messi kombe.
Umeitaja mechi dhidi ya Netherlands na mimi hapo ndio nitapoanzia.
Parefes alitakiwa kutolewa kwa kadi nyekundu kwa kile kitendo chake cha kuwapigia mpira benchi la ufundi la Netherlands lakini haikuwa hivyo.
CEO wa World cup Nasser Al-Khate alisema kuwa anataka Messi achukue ubingwa wa kombe la dunia.
Messi ana mkataba na shirika moja la usafirishaji la Qatar na wakati huo anachezea PSG ambayo wamiliki wao ni Qatar, na ana mkataba na Pepsi na Pepsi hao ndio wadhamini wa WC.
Actually ingeweza kuonekana kawaida lakini pale tunapoona fome favors fulani fulani lazima tuweke doubts, mfano katika mechi 7, Argentina walicheza mechi zao 5 kwenye kiwanja kimoja ikiwemo final.
Hii ni mbinu ya kumpa urahisi mtu wa kukizoea kiwanja.
Argentina kwenye mechi 7 alikuwa na penalty 6 na kuna nyingine walikosa, hii kufanya iwe ndio timu ya kwanza kuwa na penalty nyingi kwenye single tournament.
Kuna faulo kadhaa ambazo zilikuwa committed na wachezaji wa Argentina hazikuchukuliwa maamuzi yanayostahili au kupotezewa kabisa.
kuwadhalilisha wachezaji kabla ya penalti, kuingia kwenye boksi la penalti wakati wa mkwaju wa penalti
View attachment 3610028
kushika mpira kwa mkono bila kuadhibiwa
View attachment 3610030
Kutoa ishara za kejeli
View attachment 3610031
Faulo aliyocheza leo ni sawa na ile ya 2022 aliyochezewa mchezaji wa France akinyimwa nafasi ya kufunga goli, hakuna faulo, hakuna penati, hakuna kadi ilitolewa kufuatia kitendo hiki
View attachment 3610033
Hii haikuwa penati wala kadi nyekundu kwa Ortamendi licha ya kwamba alikuwa ni mtu wa mwisho
View attachment 3610035
Nawaelewa baadhi ya watu wanaosema hii ilikuwa ni soft sana hivyo haikustahili kuwa penati
Lakini vipi kuhusu hii ya Di Maria?
View attachment 3610038
Game ya Argentina na Mexico V.A.R iliruhusu goli hili
View attachment 3610050
Ufaransa wakiwa wanafanya counter attack refa alisimamisha mpira kwa sekunde 30. Refa baada ya mechi alikiri kufanya makosa mengi ya kiuamuzi kwenye hiyo mechi
View attachment 3610053
Messi alipaswa kupewa kadi nyekundu katika robo fainali, na Martinez alipaswa kupewa kadi ya njano katika fainali
Mwaka 2016 kuna refa msaidizi ambaye alifungiwa wiki 2 kwa kosa la kuipendelea Barcelona kwenye mechi za Derby ya El Classico
View attachment 3610024
Refa huyo msaidizi ndio aliyechezesha mechi ya Quater final Argentina vs Netherland. Hapo unaweza kupima zile controversial ambazo ziliifanyika na namna maamuzi yalivyoamuliwa.
Wewe upo wapi bro CR au LAPULGA ?Naunga mkono hoja
Anachukua mpira kuanzia kati ya uwanja anaipandisha team na hapo hapo anapiga mabao matakatifu Anafanya kile ambacho alichokuwa anakifanya akiwa akiwa na miaka 22 wakati huu ambao ana miaka 39 huyu mtu sio kiumbe wakawaida kabisa