Mnaomfananishaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huwaga mnatumia nini kufikiri?

Mnaomfananishaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huwaga mnatumia nini kufikiri?

Hoja ni ileile tu.Watu wawili hawawezi kufanana.Ni hivyo tu.
Hawawezi kufanana na ndio maana Kuna best alumni best workers and the likes

So kama wewe umezidiwa uwezo ni kweli watu hawawezi kufanana Ina kubidi ukubali tu kwamba Fulani kanizidi uwezo ,

Na ndio kutofanana kwenyewe Kunapo kuja hapo
 
Me ni team Messi mkuu naongea Reality mbappe ana magoli 14 sasa Messi ni 16
Sijapinga kuhusu Hilo that's nika kujibu kuwa Messi ana record nyingi Bora na kubwa zaidi ya hiyo

That's why unaona kwamba Dunia haikutaka kumsubiri Messi aweze kuongoza kwenye idadi ya hayo magoli ili ndio aweze kutambulika kuwa ni GOT ,
 
Hawawezi kufanana na ndio maana Kuna best alumni best workers and the likes

So kama wewe umezidiwa uwezo ni kweli watu hawawezi kufanana Ina kubidi ukubali tu kwamba Fulani kanizidi uwezo ,

Na ndio kutofanana kwenyewe Kunapo kuja hapo
Wewe na hao jamaq zako ndiyo mna mahangaiko ya kutafuta mifanano.Haiwezekani hiyo.Kwanza mmoja mfupi mwingine "tolo"!Hawafanani.
 
Back
Top Bottom