Mnaomfananishaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huwaga mnatumia nini kufikiri?

Mnaomfananishaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huwaga mnatumia nini kufikiri?

Sahihi kabisa...ataendelea kushika nafasi ya pili at their era
Vizazi vya mbele havijawaona hawa wakicheza, wenyewe watarithi historia sio nafasi, nafasi itabaki kuwa suala binafsi. Kama ambavyo umerithi historia ya Pele na Maradona. Unaweza sema Pele ni namba Moja na mwingine akasema Maradona ila wote ni part ya historia kubwa iliyowahi kutokea. Binafsi nampa Messi no.1
 
Unapuyanga 😁
Kama kwako Messi kuwa GOAT kunaathiriwa na Cr7 kuitwa GOAT na wengine basi wewe ndo unajitesa na kuteseka huko ni matokeo ya historia aliyoandika Cr7 kwenye soka.

Jifunze kufurahia mafanikio ya Messi bila kuumizwa na alichokifanya CR7.

Messi is GOAT. Mimi nimesema, wewe utasema, yule atasema.

Lakiniiii CR7 pia atatajwa kama GOAT na watu wengine and hutoweza kubadilisha hilo.
 
Mdau yeyote wa soka , hata shindwa kutambua hilo bwashee
 
Jambo lipo wazi, ukilikataa sasa hivi utakubaliana nalo umri ukisogea nguvu za kubishana zikiwa zimepungua.
Algeria hata kibu Denis aliifunga , japo mesii ni mbuzi 🐐
Screenshot_2026-06-17_115822.jpg
 
Cr7 ataendelea kuwa mchezaji anayeimbwa sana kwenye dunia ya soka sababu wengi wanapomsifia Messi lazima watake kuonyesha CR7 si kitu.
Wanaanzaga Cr7 then Messi wa mwisho hakuna anayemfananisha Messi na Ronaldo labda kwa wageni...mijadala mikubwa humhusu Ronaldo..utajionea leo atafunga utaona Dunia itakavyobadilika
 
FIFA wafanye fanye kama wambea wa 2022 ...wapike pike..wakutane tuyamalize😀😀..Kijamaa kwanza kimetokea World Cup 6..plus goals ...kinakera
 
He's not Humanbieng Jana namsikia commentator anasema Leo anafanya mpira wa miguu uonekane ni kitu rahisi kukicheza

Anachukua mpira kuanzia kati ya uwanja anaipandisha team na hapo hapo anapiga mabao matakatifu Anafanya kile ambacho alichokuwa anakifanya akiwa akiwa na miaka 22 wakati huu ambao ana miaka 39 huyu mtu sio kiumbe wakawaida kabisa

He's more than a genius, Mashabiki tunao penda mpira mzuri hatuna deni kwake kabisa yaani Jamaa anajua kuzisuuza nyoyo zetu, Na hapo ndio Cr7 alikuwa anasema Messi anacheza kwenye league nyepesi lakini moto anauwasha utadhani bado yupo kwenye league ya Spain huyu kiumbe sio mtu he's more than a monster 🙌🙌

La Pulga anaenda kuwa mfungaji bora wa mashindano na kuvunja rekodi ya magoli iliyopo kwenye hii michuano.

Scars
 
Back
Top Bottom