Mnaomfananishaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huwaga mnatumia nini kufikiri?

Mnaomfananishaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huwaga mnatumia nini kufikiri?

Kama hati triki , Ronaldo anayo since 2018 vs timu kubwa kuliko Messi.

Hata hivyo tumpongeze kwa kupata hati triki uzeeni tofauti na Ronaldo aliyeipata in his 33yrs.

Side Note: Mwaka huu pia inyeshe liwake jua, tunambebesha ndoo
 
He's not Humanbieng Jana namsikia commentator anasema Leo anafanya mpira wa miguu uonekane ni kitu rahisi kukicheza


Anachukua mpira kuanzia kati ya uwanja anaipandisha team na hapo hapo anapiga mabao matakatifu Anafanya kile ambacho alichokuwa anakifanya akiwa akiwa na miaka 22 wakati huu ambao ana miaka 39 huyu mtu sio kiumbe wakawaida kabisa

He's more than a genius, Mashabiki tunao penda mpira mzuri hatuna deni kwake kabisa yaani Jamaa anajua kuzisuuza nyoyo zetu, Na hapo ndio Cr7 alikuwa anasema Messi anacheza kwenye league nyepesi lakini moto anauwasha utadhani bado yupo kwenye league ya Spain huyu kiumbe sio mtu he's more than a monster 🙌🙌

Wanatumia Bange
 
Nakuheshimu and sikuwahi kuamini kuwa unajadili hoja Kwa hisia pia except for fact
Mkuu ulivyoanzisha huu mjadala bila shaka ulikuwa unatambua hutawaliwa na hoja gani.

Hoja pinzani sio tu zile ambazo zitakufurahisha, hata zile ambazo zitakuchukiza nazo zitakuwa sehemu ya mjadala as long as sio matusi.

Ni mashabiki wa Messi ndio waliompa Ronaldo jina la Penaldo kwasababu ya penalti.

Lakini nyinyi tukizungumza zile penati alizokuwa anapewa karibia kila mechi kwenye World cup ya 2022 mnaanza kuchukia.

Hamtaki kabisa kuzungumzia upendeleo anaopata Messi kutoka FIFA, mnajisahaulisha hamtaki kujadili red card ambayo alistahili kabisa lakini kwakua ni wafuasi wake mmekaa kimya.

2022 aliwahi kushika mpira lakini hakuna faulo iliyoamuliwa. Matukio kama haya kwanini nisimuone Messi kama FIFA Princess?
 
Ronaldo yeye ameshindwa nini kupewa? Messi apewe world cup yeye ni nani?.. Mbona 2014 alicheza fainali na hawakumpa? yeye Ronaldo anashindwa ata kufika fainali kwa sababu gani au mpaka apewe?.. tuwe wakweli Performance ya Ronaldo world cup ipo low sana ndo maana anazidiwa magoli mpaka na akina Mbappe .
Kwasababu utakuwa umevuruga aim ya mashindano na kuua maana halisi ya ushindani.

Sababu ya kutopewa 2014 haifanyi ashindwe kupewa 2022.

Tunasema anapewa kwa kuangalia mfululizo wa matukio ya mbeleko.

Hatusemi anabebwa eti kwakua kafika kwenye fainali.
 
Kama hati triki , Ronaldo anayo since 2018 vs timu kubwa kuliko Messi.

Hata hivyo tumpongeze kwa kupata hati triki uzeeni tofauti na Ronaldo aliyeipata in his 33yrs.

Side Note: Mwaka huu pia inyeshe liwake jua, tunambebesha ndoo
Hawa wengi ni vijana wa Barcelona waliokuwa wamefichwa na matokeo ya Spain

Sasa leo GOAT wao wa kafunga hattrick eti wameanzisha na uzi kwa ajili ya kumsimamga Ronaldo.

Ronaldo anahusikaje kwenye ushindi wa Argentina?

Halafu humu humu ukianza kusoma post zao utawakuta wengi wakisema "ooh usimfananishe Messi na Ronaldo"

Lakini wao ndio wamekuwa wa kwanza kuanzisha uzi kumlinganisha na Ronaldo.
 
Nachojua mimi argentina havuki makundi, na mesi hafungi goli zaidi ya hizo tatu, lazima aishie hapohapo algeria hamna kipa mule

Scars
Greatest Of All Time
Ronaldo alifunga hattrick dhidi ya Spain ambayo kwenye rank za FIFA ni number 2

Huyu Messi kawafunga majirani zetu ambao kwenye FIFA ni wa 28 halafu watu wanaanzisha mjadala kumsifia.
 
Sio Kibu Denis hata loose Nut alipunguza Mabange na kuanza kufanya mazoezi answapiga Algeria hattrick vizuri tu
Mbuzi wenu huyo🤣
Screenshot_2026-06-17_132518.jpg
 
Kwasababu utakuwa umevuruga aim ya mashindano na kuua maana halisi ya ushindani.

Sababu ya kutopewa 2014 haifanyi ashindwe kupewa 2022.

Tunasema anapewa kwa kuangalia mfululizo wa matukio ya mbeleko.

Hatusemi anabebwa eti kwakua kafika kwenye fainali.
Mkuu ni moments gani zilifanyika ambazo zilizofanyika zikawa wamempa Messi Kombe? Na Ronaldo yeye alipewa unfair treatment gani mpaka akashindwa kupata kombe la dunia?

Maana kwa upande wa Messi last time Robo fainali amekutana na Netherlands akampasua kwenye penalty fairly kabisa baada ya extra time kuisha 2-2.. Na kumbuka Argentina alimtangulia Kumpasua Netherlands goli mbili nill alifanya tu kuzirudisha...

Argentina ameenda nusu fainali akampasua Croatia goal 3 nill clear kabisa... Ameenda fainali amekuta na France aka-draw nae na akaenda kumpasua kwenye matuta.. Na kumbuka kwenye dakika tisini France alitangulia kupasuliwa yeye ndo alifanya ku-level score results.. Sasa huyu aliyetaka kumbeba Messi ame-risk kiasi hicho mpaka watu wanaenda kwenye Penalty...

Ronaldo mwenyewe miaka yote timu yake haina performance yoyote ya maana, hata kufika nusu fainali hawezi.. 2014 hakuvuka hata makundi, mpaka USA akamaliza juu yake na akafuzu.. 2018 kwenye 16 aligongwa na Uruguay ya akina Suares.. Nakumbuka Edson aliwagonga Portugal kamba mbili za maana wakaishia hapo.. 2022 hao Portugal waligongwa mpaka na Morocco mpaka wakaanza maringo kwamba wao sio Waafrika

Mimi ningependa ungeniwekea specific Moments walizompa Messi Kombe na moments walizomnyima kombe Ronaldo wakati alistahili kulipata...
 
Cr7 ataendelea kuwa mchezaji anayeimbwa sana kwenye dunia ya soka sababu wengi wanapomsifia Messi lazima watake kuonyesha CR7 si kitu.
Ronaldo na Kibu Denis wote wawili hawana kombe la dunia... Acha kumfananisha Messi na vitu vya kijinga.
 
Ronaldo na Kibu Denis wote wawili hawana kombe la dunia... Acha kumfananisha Messi na vitu vya kijinga.
Umri wa kumsifia Messi huku napigana na mafanikio ya CR7 nimeshauvuka. Kila mtu anajua Messi alichofanya kwenye soka na alichofanya CR7 kinajulikana, si lazima tubishane ili kuappreciate historia ya mmoja wapo.
 
Mkuu ni moments gani zilifanyika ambazo zilizofanyika zikawa wamempa Messi Kombe? Na Ronaldo yeye alipewa unfair treatment gani mpaka akashindwa kupata kombe la dunia?

Maana kwa upande wa Messi last time Robo fainali amekutana na Netherlands akampasua kwenye penalty fairly kabisa baada ya extra time kuisha 2-2.. Na kumbuka Argentina alimtangulia Kumpasua Netherlands goli mbili nill alifanya tu kuzirudisha...

Argentina ameenda nusu fainali akampasua Croatia goal 3 nill clear kabisa... Ameenda fainali amekuta na France aka-draw nae na akaenda kumpasua kwenye matuta.. Na kumbuka kwenye dakika tisini France alitangulia kupasuliwa yeye ndo alifanya ku-level score results.. Sasa huyu aliyetaka kumbeba Messi ame-risk kiasi hicho mpaka watu wanaenda kwenye Penalty...

Ronaldo mwenyewe miaka yote timu yake haina performance yoyote ya maana, hata kufika nusu fainali hawezi.. 2014 hakuvuka hata makundi, mpaka USA akamaliza juu yake na akafuzu.. 2018 kwenye 16 aligongwa na Uruguay ya akina Suares.. Nakumbuka Edson aliwagonga Portugal kamba mbili za maana wakaishia hapo.. 2022 hao Portugal waligongwa mpaka na Morocco mpaka wakaanza maringo kwamba wao sio Waafrika

Mimi ningependa ungeniwekea specific Moments walizompa Messi Kombe na moments walizomnyima kombe Ronaldo wakati alistahili kulipata...
Bwana weee ni wivu tu 😁😁

Yaani una hoja nzito lakini nasubiri kuona hoja zako zitakavyo jibiwa kiushabiki shabiki 😁
 
Back
Top Bottom