Mnaomfananishaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo huwaga mnatumia nini kufikiri?


Sijui huwa wanafikiria nini!
 
Hiyo record haitokaa muda mrefu Mbappe anakuja kuweka mpya
Mbape ndio nani??? Hata akifunga magoli 1000 ila Messi atabakia kuwa messi. Mtu anatengewa anafunga ataachaje kufunga magoli mengi πŸ˜„ mkiwa mnamzungumzia wachezaji wenu ronaldo na mbape tafadhali Messi msimhusishe kabisa, messi ni wakipekee na hafananishwi na mchezaji yeyote duniani tokea mpira uanze.

Mkiwa
 
Tel them πŸ“Œ
 
Mkuu me nimeongela record
 
Hua nacheka wakati cr7 akifanya mazoezi na malaya messi huwaita

WANAE....wakiume watatu na mbwa mmoja mweusi wanachukua mpira uwanjani kazikazi

Wakati cr7 anawaza pilot wake awashe jeti yake impeleke France kula mbususu , akitoka hapo Singapore kula mbususu ,akitoka hapo ureno kula mbususu

matokeo ndohayo tema mate dakika 96 kilamechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…