Baba Ndumbwi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 447
- 712
Nozzle 4 za d4d ni milion 5+Hapo ndo utofauti unaonekana Mkuu. Hiyo 5M ni gari nyingine unapata ya kijapani mkuu...Hatari sana.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nozzle 4 za d4d ni milion 5+Hapo ndo utofauti unaonekana Mkuu. Hiyo 5M ni gari nyingine unapata ya kijapani mkuu...Hatari sana.
Kuna duka linaitwa morogoro spare lipo makutano ya barabara ya morogoro na jamhur Dsm, hapo utapata spare zote za magari ya German.
Mamaangu mdogo si ndiyo wewe....Anzisha na mama ako mdogo
Nimejaribu kupitia coment zote lakini sioni gereji wala duka linalouzwa spare parts za magari tajwa na kibaya zaidi binafsi nikienda gereji zetu mtaani nazikuta VW Polo (Nazipenda sana) zikiwa zimepaki kwa kukosa vipuri mmojawapo ilikuwa imepasua sample tu?
anyway je hatuna agent wa magari hayo ya ulaya pamoja na kwamba wakiwepo wanakuwa na bei ghali sana kuliko maduka ya watu binafsi mfano pale Kariakoo Toyota wana duka lao na wanauza vitu Genuine tu na nikatafuta Genuine hiyo hiyo kwa part number hiyo hiyo Kisutu nilikuja kushangaa jamaa wa Kisutu alikuwa anauza bei ya chini kuliko agent alivyokuwa anauza
Zipo nyingi tu, mojawapo ni hizi hapaView attachment 1540056View attachment 1540057
YeahNdanda ya Mtwara?
Anaitwa fundi temu tu.Good. Fundi wa umeme tu kwa Europe cars..
Anapatikanaje hapo Victoria, jina lake maarufu? ama jina la gereji yake?
Shukrani Mkuu. Nimekupata vizuri saivSema gari yangu ilienda kwenye mambo ya kampeni...
unaweza sana ukaweka hiyo ya ej20 au ej22 lakin hyo t3 yako iwe ni ile ya watercool na sio ya air. pil unaweza ukaweka engine ya toyota noah 3s. ukafanya modification kidogo ambapo ikashakaa sawa hutokaa usumbuke kama mm nilivyofanya.Ndugu nishauri jambo nkitaka kubadili engine ya VW T3 niweke engine ya Foresta unaweza nishauri vipi hapa na je engine gani naweza weka kwenye hii gari?
Moshi maeneo ya Mbuyuni ndio mafundi bora kabisa hapa TanzaniaKwa kuzingatia viwango vya safety, stability, comfortability, inaonekana wazi kabisa kuwa watu wengi wanatamani sana kumiliki magari ya Ulaya. Lakini wanaogopa kuyamiliki kwasababu kuu tatu:
- Uhaba wa mafundi/garage for European cars...
Moshi maeneo ya Mbuyuni ndio mafundi bora kabisa hapa Tanzania
unaweza sana ukaweka hiyo ya ej20 au ej22 lakin hyo t3 yako iwe ni ile ya watercool na sio ya air. pil unaweza ukaweka engine ya toyota noah 3s. ukafanya modification kidogo ambapo ikashakaa sawa hutokaa usumbuke kama mm nilivyofanya.