[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana nikakuita wewe kichaa!Kwa hiyo ukisoma alichoandika mtu tu unajua ni kichaa au mumeo?Psychological tortures mzipatazo mnakoma nazo.Kumuumiza mtu siyo lazima umuone wala kumfahamu.Aliyeleta tozo anakufahamu?Mbona unalialia?
Naona unakkumbuka sana jinsi alivyokuwa anakubutuaHatupangiani la kuanza au kuishia.Mjomba wenu "maliyemu" alikuwa jingajinga.
Kichaa ni weye unayemtetea kichaa mwenzio.[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana nikakuita wewe kichaa!
Inaonekana tozo zimekuchafua huo ubongo kabisa
Ambutue nani?Kabutuliwa yeye.Siku hizi anaishi shimoni.Kulaaalekiii!ππππNaona unakkumbuka sana jinsi alivyokuwa anakubutua
Lisu alisema hata Mbowe achunguzwe
Ungeanza kwanza kudai haya..
1. Aliemsambaratisha mwangosi kwa bomu pale nyororo iringa
2. Alietupa bomu na kuua watu zaidi 5 kwenye mkutano wa chadema pale soweto arusha
3. Alimtesa ulimboka
4. Jambazi wakiomuua dr mvungi
Ni hayo tu kwa uchache, na ungedai kabla ya kurukia ya Magufuli.
Kwanza hao uliowataja ni kina nani kila siku mnalia lia humu,? Kama ni kuuawa wao ndio wa kwanza?
Japo sikuwahi kumoenda magufuli lakini muacheni apumzikeMnaoimba uzuri wa M
agufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama umeuwa watu wako wote?
Je kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio?
Tukikuchunguza vizuri wewe tunakukuta hata familia huna au imekushinda, nchi za Afrika hizi nazo eti unauliza CCTV, chizi kweli weweMnaoimba uzuri wa M
agufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama umeuwa watu wako wote?
Je kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio?
Na yeye katiwa vidole hadi kaburini.JPM aliwatia vidole sana hamuwezi kumsahau
Hivi haya mambo yataisha lini kila siku?.Familia ya magufuli imesikitika kumpoteza mpendwa wao bora wao wanaona hata kaburi je familia ya Ben na Azory hazihitaji kujua majaliwa ya baba zao?
Nawashangaa mnao shangilia kufa magu kama magu alipata adhabu kali sana baada ya kufa yani mtu amekufa na miaka 61 ukaonage kama kafa kwa maombi yenu.Hivyo vidole vingemuokoa na kifo basi!
Sababu zangu ni hizi na nikikujibu zipinge kwa hoja.Hivi haya mambo yataisha lini kila siku?.
Wewe unahisi John P alihusika vipi na vifo vya hao ulio wataja?.
Ukinipa sababu tano za John P kuhusika na vifo hivyo itakuwa vyema sana,usijenge chuki mkuu.
πππππNawashangaa mnao shangilia kufa magu kama magu alipata adhabu kali sana baada ya kufa yani mtu amekufa na miaka 61 ukaonage kama kafa kwa maombi yenu.
Anyway mimi nikifika hata miaka 50 ndaweka bonge la sherehe aise
Magu miaka 61 aliishi sana.