Mnaomtetea Hayati Magufuli nionesheni kaburi la Ben Saanane, Azory Gwanda na CCTV footage ya shambulio la Lissu

Mnaomtetea Hayati Magufuli nionesheni kaburi la Ben Saanane, Azory Gwanda na CCTV footage ya shambulio la Lissu

Kwa hiyo ukisoma alichoandika mtu tu unajua ni kichaa au mumeo?Psychological tortures mzipatazo mnakoma nazo.Kumuumiza mtu siyo lazima umuone wala kumfahamu.Aliyeleta tozo anakufahamu?Mbona unalialia?
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana nikakuita wewe kichaa!

Inaonekana tozo zimekuchafua huo ubongo kabisa
 
Kama mtoto unamwelekeza tufanye hivi yeye anapinga kila mkakati wako wa kimaendeleo inabidi uondoe hicho kikwazo ili mambo yende sawa
 
Hivi kwani bado Magufuli ni Rais??

Mbona kila siku tunamjadili yeye kuliko hata viongozi wa sasa.

Ndio kusema hawa waliopo wamepwaya au inakuwaje??

Au wanaiba sana hivyo wanatafuta kichaka cha kujifichia??
 
Usinipangie cha kuandika fungua uzi wako andika hayo uyatakayo.
Ungeanza kwanza kudai haya..

1. Aliemsambaratisha mwangosi kwa bomu pale nyororo iringa
2. Alietupa bomu na kuua watu zaidi 5 kwenye mkutano wa chadema pale soweto arusha
3. Alimtesa ulimboka
4. Jambazi wakiomuua dr mvungi

Ni hayo tu kwa uchache, na ungedai kabla ya kurukia ya Magufuli.

Kwanza hao uliowataja ni kina nani kila siku mnalia lia humu,? Kama ni kuuawa wao ndio wa kwanza?
 
Mnaoimba uzuri wa M
agufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama umeuwa watu wako wote?

Je kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio?
Japo sikuwahi kumoenda magufuli lakini muacheni apumzike
 
Mnaoimba uzuri wa M
agufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama umeuwa watu wako wote?

Je kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio?
Tukikuchunguza vizuri wewe tunakukuta hata familia huna au imekushinda, nchi za Afrika hizi nazo eti unauliza CCTV, chizi kweli wewe
 
Mimi sielewi lolote mnaloongea hapa ila najua moja tu, jiwe limeshavuta siku nyungi. Amani imetamalaki
 
na wewe nionyeshe kaburi la yesu ukinionyesha na wewe watakuonyesha la ben saatisa
 
Familia ya magufuli imesikitika kumpoteza mpendwa wao bora wao wanaona hata kaburi je familia ya Ben na Azory hazihitaji kujua majaliwa ya baba zao?
Hivi haya mambo yataisha lini kila siku?.
Wewe unahisi John P alihusika vipi na vifo vya hao ulio wataja?.

Ukinipa sababu tano za John P kuhusika na vifo hivyo itakuwa vyema sana,usijenge chuki mkuu.
 
Tatizo la CHADEMERY wana tanguliza chuki kisha hoja zao zinakuwa nyuma na fupi kama mkia wa [emoji241].
Kabla ya uchaguzi 2015 kabla ya yule mzee aliezaliwa Agost 26 1953 kujiunga na hao wanaojifanya wanajua haki kwenye kampeni zao walikuwa wana imba ya kuwa CCM mafisadi wakimtolea mfano prime minister huyo,ila baada ya kujiunga kwenye chama chao wakawa wanamsifia huyo huku ukiangalia kwenye hiko chama chao kuna wasomi wazuri tu na kuna wajenga hoja wazuri tu ila wamejengwa na chuki.

Pamoja na akili zao kuonekana zipo vizuri angalia kinachoendelea hamna maendeleo yoyote,miaka yote ofisi ukiangalia makao makuu yake utachoka japo kuwa wanachama wake wapo vizuri mfano Mh mbowe,sugu,mdee ni mfano tu,wanashindwa hata kuweka ofisi ya kisasa.
Msijenge chuki yapasa wenyewe mjichunguze pengine mzimu upo humo humo kwenye kibanda chenu cha kinondoni bila hivyo haki vile uongozi mtausikia bombani.
 
Hivyo vidole vingemuokoa na kifo basi!
Nawashangaa mnao shangilia kufa magu kama magu alipata adhabu kali sana baada ya kufa yani mtu amekufa na miaka 61 ukaonage kama kafa kwa maombi yenu.

Anyway mimi nikifika hata miaka 50 ndaweka bonge la sherehe aise
Magu miaka 61 aliishi sana.
 
Hivi haya mambo yataisha lini kila siku?.
Wewe unahisi John P alihusika vipi na vifo vya hao ulio wataja?.

Ukinipa sababu tano za John P kuhusika na vifo hivyo itakuwa vyema sana,usijenge chuki mkuu.
Sababu zangu ni hizi na nikikujibu zipinge kwa hoja.
1. Kauli yake nusu saa kabla ya shambulio itamhukumu milele.Alimwambia ndugai bungeni Wana kinga watoe nje nitadili nao aaa moja baadae Lisu anakula chuma.
2. Kukataa uchunguzi huru kama yeye sio mhusika kwanini haruhuru wachunguzi huru?
3. Kufukuzwa ubunge kikatili na kunyimwa stahiki zake na matibabu.
4. Nani mwenye uwezo wa kubadili police wa zamu za ulinzi kwenye makao ya viongozi? Hivi police wakiondolewa kwa makusudi kwenye lindo bank halafu bank ikaibiwa utasemaje?
 
Nawashangaa mnao shangilia kufa magu kama magu alipata adhabu kali sana baada ya kufa yani mtu amekufa na miaka 61 ukaonage kama kafa kwa maombi yenu.

Anyway mimi nikifika hata miaka 50 ndaweka bonge la sherehe aise
Magu miaka 61 aliishi sana.
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom