Mnaomtetea Hayati Magufuli nionesheni kaburi la Ben Saanane, Azory Gwanda na CCTV footage ya shambulio la Lissu

Mnaomtetea Hayati Magufuli nionesheni kaburi la Ben Saanane, Azory Gwanda na CCTV footage ya shambulio la Lissu

Mnaoimba uzuri wa Magufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama anadaiwa kuua watu?

J, kuna haja ya kumpongeza baba aliejengea watoto wake nyumba huku amewakata shingo mikono miguu na masikio?

Familia ya Magufuli imesikitika kumpoteza mpendwa wao bora wao wanaona hata kaburi je familia ya Ben na Azory hazihitaji kujua majaliwa ya baba zao?

Why usiwaulize majaliwa au mama Samia au IGP?
 
Kamuulize Ziro hujui alipo??

Kama Yuko mbali muulize aliyekuwa Makamo wake!!!

Kwann uoneshwe makaburi na wanaokumbuka MAZURI ya Magu?

Sisi tunamkumbuka Kwa mengi MAZURI alifanya baaas. Mabaya yake atamalizana na Muumba wake.

Yaani ntasahau vp petrol iliwahi uzwa 1800 ktk utawala wake!!!
Iliuzwa 1500 pia
 
Back
Top Bottom