Mnaomtetea Magufuli mitandaoni wengi wenu hamumjui vizuri, mnamfahamu juu juu tu

Kuna mahandaki kama vietnam, barabara ya banana - kitunda ipo nyuma tu ya airport lakini fedheha kuipita. halafu inakuja kima moja yenye njaa inaandika ujinga kuwa Samia kaleta maendeleo, maendeleo gani?
😒😒 Daa! Hii barabara mtu akipiga picha akatuma huwezi amini kama ipo jiji la Dar es Salaam. Tena nyuma ya International Airport. Huyo mbunge wao sijui hata kama alishapita hiyo barabara tangu achaguliwe.
 
Sasa ndugu unataka ukitumwa kitu chenji ubaki nayo bila ruhusa ya mwenye pesa ?

Sasa hapa si unakua umetafuta ugomvi kwa lazima ?


Anyway natamani kusoma mengi kuhushu hii issue kutoka kwako
Usikute alitaka kupiga mamilioni ya pesa ya umma akabanwa anazuga kwa kusema ni chenji ya buku.
 
Unahitajiaka kua midiocre, hoehae kua Kipenzi cha Magufuli.

Binafsi nilitamani adumu miaka yake 10, Ili mwishowe aje ajue hakuna alichoacha chq maana na mambo yatarudi kama alivo pokea.

Unaendeshaje nji kwa man one show kama shule? Kwamba utaishi milele? kwamba usipo sema ww mambo yasiende?

Fans wa magufuli wanajulikana Boda boda, mama ntilie, Wakulima watu ambao hawajui TRA nn wala VAT ni nini, Hata neno Uchumi kwao halina definition pana.
 
Mleta bandiko kwani wewe ndiye yule mjane wake marehemu(mama janeth)...........au ule mchepuko ulioachiwa pale kebbys??
 
Mkuu kwa hio wewe ulitaka utumwe dukani kisha ubane ganji,unadhani pesa zinaokotwa? Hakuna kiongozi mwenye roho nzuri,basi tu wamezidiana viwango vya maigizo
 
Kama Mwanae tu alijiua kwa kunywa sumu tukadanganywa ni malaria.

Mama janet alishawahi kuchezea kipondo kisa tu mafundi walimwaga mchanga sehemu siyo sahihi.

Watu hawamjui JIWE vizuri ,jamaa likuwa BANDIDU.
 
Sasa mwajuma ndara ndefu ukimuambia hii story anaona unamdanganya.

Anakuletea za kwake sijui walimu walikua wanafundisha vzuri, mara manesi walikua wanachoma sindano vzuri
 
Binafsi sitoacha kumtetea Kwa sababu ndani ya utawala wake nimeweza kupata Mali yangu ambayo nilipokonywa mwaka 1996 na aliyewahi kuwa mbunge wa Jimbo X na kesi ikaenda mahakamani lkn Mfumo Ulikuwa dhulumishi hivyo kupelekea kudhulimiwa licha ya kupeleka kesi mahakamani.

Haya kaja WA msoga nijaribu kukata rufaa ila bado Mfumo ulinitoa nje na tena niliambiwa kabisa hii kesi wewe ndio Mwenye haki ila ukitoa Kiasi falani (ambacho kilikuwa NI kikubwa na sijawahi kukishika) nashinda.

Alivyoingia magufuli wenyewe watumishi WA mahakama X waliniambia kata rufaa tena this time unashinda mchana kweupe tena hutatoa hata thumniii..kweli nikafanya within one month kitu chumaaaaa Hadi Leo nipo na Mali zangu na Tena Kwa Maandishi Yule Mzee kaandika wosia Kwa wanawe wasidiriki kuendeleza kesi kwani yeye alikuwa anafanya dhulma na Mimi kanipa nakala ya huo wosia wakeπŸ“Œ
 
Acha ujinga ujinga. Tutajuaje kama huyo dereva mmempanga. Mi Dkt Magufuli namfahamu personally, ni mtu aliyependa utani ila kwenye kazi hakuwaga na utani. Alikuwa kiongozi mwenye huruma na mwenye maono ya kila alichopewa kukifanya. Alijiongeza na kufanya kazi zake zionekane. Ni yeye pekee vetting ilivyopita kuhusu kumkabidhi waziri ambaye ni muadilifu kwenye wizara ya ujenzi na hatimaye tukaona mitandao ya ujenzi wa barabara umeenea nchi nzima maana waliokuweo walikuwa rushwa tu. Ni yeye Dkt Magufuli alipenda sana story na watu na alipenda kujifunza kwa wengine. Dkt Magufuli alichukia sana wezi, wazembe na wala rushwa. Hivyo hakuna sababu kabisa ya kumsema vibaya. Dkt Magufuli watanzania bado Tunamlilia 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭. Yeyote anayemsema vibaya anajiweka kwenye laana.
 
Hongera sana kiongozi kwa kusema ukweli. Ni hakika Dkt Magufuli hakuwa mtu wa kuonea. Alikuwa mpenda haki sana, hakuwa na makuu, alikuwa mcheshi sana. Ila wewe kama rafiki yake hebu mpelekee dili la wizi yaani na utafiki utakoma siku hiyo hiyo na unakuwa adui yake! Dkt Magufuli alikuwa mtu wa pekee sana. Dkt Magufuli hata ofisini kwake kipindi akiwa waziri aliweza kutoka hata ofisini ili kusikiliza wananchi waliojipanga ofisini kwake, na aliweza kusikiliza mmoja baada ya mwingine na kutafuta ufumbuzi. Hakika Dkt Magufuli alikuwa kiongozi wa watu! Na ndiyo maana wakazi wa Ikulu maeneo ya Chamwino mpaka leo wanamlilia, yaani aliyabadili maisha ya pale kila mtu akawa na neema!
 
Hakika πŸ“Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…