Mnaomtetea Magufuli mitandaoni wengi wenu hamumjui vizuri, mnamfahamu juu juu tu

Tatizo wote hakuna hata mmoja anayekubali kwamba anamchukia, ila cha ajabu mkiona mtu kamsifia Magufuli kwa lolote hata kidogo tu basi
lazima utie doa kwa kupinga hizo sifa au kueleza mabaya Magufuli kwa maana hamtaki kuona Magufuli anaelezwa tofauti na ispokuwa aelezewe mabaya yake tu na kuna wengine wanafikia kusema hadi Magufuli hana jema hata moja.

Sasa kama hiyo sio chuki bali ni kukosoa basi sijui chuki inafanabaje kwa kweli.
 
Tanganyika tunaimba wimbo wa mitano Tena😂
 

Attachments

  • IMG-20250103-WA0026.jpg
    94.6 KB · Views: 1
 
Wewe Mtoa Post ni KILAZA MKUBWA, Chapisho Lefu limejaa Ujinga Ujinga Tu, Mwisho wa Siku Unaitimisha Chapisho Lako ilo la kishoga Kwa kumchafua Magufuri, Eti Akikutuma Dukani, Ukibaki na Chenji yake Anakudahi, Mimi sikujua kama humu Jamii forum Kuna Vilaza kama Wewe, Nenda FB Kwa Watoto Wenzio KILAZA MKUBWA weeee
 
Nimecheki kwanza kama Raraa Reree ka-like hii comment yako 😄
 
Kuna mahandaki kama vietnam, barabara ya banana - kitunda ipo nyuma tu ya airport lakini fedheha kuipita. halafu inakuja kima moja yenye njaa inaandika ujinga kuwa Samia kaleta maendeleo, maendeleo gani?
Hali ilikuwa vipi kipindi cha Magufuli?
 
Sehemu kubwa ya watu wenye roho za chuki na husuda ndiyo walio/ wanaofurahia ukatili wa yule mzee.
Alipotangaza kuwa matajiri wataishi kama shetani wafuasi wake walifanya sherehe, maana wanaamini kuwa umasikini wao umesababishwa na utajiri wa matajiri.
 
Pamoja na yule aliyekuwa Mkurugenzi wa mashtaka.
Tatizo la watanzania wakisikia kiongozi furani kadhalilishwa hadharani wanaamini huo ndiyo uchapakazi.
Upuuzi mtupu.
 
Mumtafute dereva wake wa zamani akiwa waziri wa ujenzi kabla hajawa Rais mumuhoji politely huenda atafunguka. Yeye anaujua vizuri ukatili wa Magufuli.
Soma mauaji mengine ya Magufuli hapa chini.

UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA BIHARAMULO

👉Mnamo Mwaka 1985 Mwalimu wa Kemia shule ya sekondari Sengerema John Pombe Magufuli aligombea ubunge wa jimbo la Biharamulo akichuana na Mkulima Phares Kabuye. Kabuye alishinda na kutangazwa Mbunge, na Mwalimu Magufuli akarudi Sengerema kufundisha.

👉Mwaka 1990 Mwalimu Magufuli alichuana tena na Mkulima Kabuye kwa mara ya pili. Kabuye alimshinda tena Magufuli na kutetea kiti chake.

👉Mwaka 1995 wakati wa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, jimbo la Biharamulo liligawanywa na kupatikana majimbo mawili (Biharamulo Magharibi na Mashariki). Kabuye aligombea Magharibi akashinda. Magufuli nae akagombea Mashariki na kushinda kwa mara ya kwanza baada ya mpinzani wake wa muda mrefu kwenda magharibi.
Baadae jimbo la Biharamulo Mashariki lilibadilishwa na kuitwa Chato..
Miaka kadhaa baadaye Phares Kabuye alifariki kwa ajali Morogoro.
RIP Phares kabuye

"Bila kuigawa Biharamulo mara mbili nazani sasa hivi John pombe magufuli angekuwa mwalimu mstaafu"

Anayemtetea Magufuli ni mshenzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…