Mnaomtuhumu M/M/kiti CHADEMA - Tanganyika Mh John Heche; Rudini studio tena, mkarekodi upya filamu yenu. This one is very ridiculous...!

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
Na mkirudia tena, basi ingalau jaribuni kufuata mwongozo ufuatao mnapoandaa filamu yenu;

1. Kama kuna pesa za tonetone amepokea kupitia Bank Account yake binafsi, na kwa kuwa mna access na Bank Account binafsi ya mtu, basi filamu yenu ieleze na kuonesha waziwazi haya👇

✓Ni Bank Account Number ngapi?
✓Benki ipi kwa Jina?
✓Tarehe ngapi?
✓Ni kiasi gani cha pesa?
✓Kutoka kwa nani na nani?
✓Ni mahusiano gani yapo kati ya aliyeingiza pesa na Heche? Ya kibiashara? Marafiki? Mahaba tu, au..???
✓Baada ya hapo alizitoa kuzitumia kwa kazi gani

2. Filamu yenu pia, ioneshe response ya wale waliompa/ingiza pesa hizo kwa kutuambia kinagaubaga kuwa;

âś“ Hizo pesa (kama ni kweli) walimpa John Heche kwa ajili ya nini?
âś“ Ni mchango/msaada wao kwake binafsi au ni kwa ajili ya tonetone, kwa ajili ya shughuli za chama?
✓Kama ni za chama, kwanini waingize ktk Bank Account binafsi ya mtu?
✓Kama ni zawadi ya kumwezesha yeye binafsi kwa kutambua kazi kubwa anazofanya (ambalo pia ni jambo zuri), then nyie wengine kwanini kuingiwa na wivu kufuatilia mambo binafsi ya watu wengine?

3. Lakini pia Je, inawezekana watoa tuhuma wanazunguka tu ila wameshindwa tu kuifanya filamu yao ibebe maudhui waliyokusudia kuwa, CHADEMA kupitia viongozi wao hususani John Heche inapokea pesa haramu maarufu kama "utakatishaji pesa" au ", money laundering".

Kama ni hivi, basi ktk filamu yenu hakikisheni mnatoa vielelezo vya ushahidi kwa ukamilifu kuonesha;

âś“ Pesa hizo zinatoka wapi? Nchi au shirika fulani?
âś“ Zimeingizwa kwa njia gani?
âś“ Wahusika (senders & receivers) ni nani na nani?
âś“ Mtueleze pia, kama ni kweli, then ni kwanini mamlaka za kisheria zinazohusika na kwanza kudhibiti au kuchunguza, kukamata na kushitaki wahusika kama vile Polisi na kitengo chao cha Financial Intelligence Unit au Money laundering wako kimya lakini nyie mbwakoko msio na mbele wala nyuma ndio mnabweka kwa kutishwa na mvumo wa upepo tu..?
===============​
#Otherwise, kama upuuzi wenu hautaonesha ushahidi wowote kwa kuzingatia mwongozo huu, basi nyamazeni kimya maana mnaupigia makelele yasiyo na maana yoyote hapa
 
Social issues have no absolutism.
 
fisadi heche hasafishiki kwa porojo useless kama hizi gentleman :pedroP:
 
Majitu majinga kuwahi kuona ni haya yanayoendesha hii project ya Heche. Hizi mambo zinanifanya niamini kuwa Samia kichwani ni mweupe kabisa kama anaweza kuratibu mambo ya kipuuzi kama haya.
 
Na mkirudia tena, basi ingalau jaribuni kufuata mwongozo ufuatao mnapoandaa filamu yenu;

1. Kama kuna pesa za tonetone amepokea kupitia Bank Account yake binafsi, na kwa kuwa mna access na Bank Account binafsi ya mtu, basi filamu yenu ieleze na kuonesha waziwazi haya👇

✓Ni Bank Account Number ngapi?
✓Benki ipi kwa Jina?
✓Tarehe ngapi?
✓Ni kiasi gani cha pesa?
✓Kutoka kwa nani na nani?
✓Ni mahusiano gani yapo kati ya aliyeingiza pesa na Heche? Ya kibiashara? Marafiki? Mahaba tu, au..???
✓Baada ya hapo alizitoa kuzitumia kwa kazi gani

2. Filamu yenu pia, ioneshe response ya wale waliompa/ingiza pesa hizo kwa kutuambia kinagaubaga kuwa;

âś“ Hizo pesa (kama ni kweli) walimpa John Heche kwa ajili ya nini?
âś“ Ni mchango/msaada wao kwake binafsi au ni kwa ajili ya tonetone, kwa ajili ya shughuli za chama?
✓Kama ni za chama, kwanini waingize ktk Bank Account binafsi ya mtu?
✓Kama ni zawadi ya kumwezesha yeye binafsi kwa kutambua kazi kubwa anazofanya (ambalo pia ni jambo zuri), then nyie wengine kwanini kuingiwa na wivu kufuatilia mambo binafsi ya watu wengine?

3. Lakini pia Je, inawezekana watoa tuhuma wanazunguka tu ila wameshindwa tu kuifanya filamu yao ibebe maudhui waliyokusudia kuwa, CHADEMA kupitia viongozi wao hususani John Heche inapokea pesa haramu maarufu kama "utakatishaji pesa" au ", money laundering".

Kama ni hivi, basi ktk filamu yenu hakikisheni mnatoa vielelezo vya ushahidi kwa ukamilifu kuonesha;

âś“ Pesa hizo zinatoka wapi? Nchi au shirika fulani?
âś“ Zimeingizwa kwa njia gani?
âś“ Wahusika (senders & receivers) ni nani na nani?
âś“ Mtueleze pia, kama ni kweli, then ni kwanini mamlaka za kisheria zinazohusika na kwanza kudhibiti au kuchunguza, kukamata na kushitaki wahusika kama vile Polisi na kitengo chao cha Financial Intelligence Unit au Money laundering wako kimya lakini nyie mbwakoko msio na mbele wala nyuma ndio mnabweka kwa kutishwa na mvumo wa upepo tu..?
===============​
#Otherwise, kama upuuzi wenu hautaonesha ushahidi wowote kwa kuzingatia mwongozo huu, basi nyamazeni kimya maana mnaupigia makelele yasiyo na maana yoyote hapa
This👆🏾 post is top tier, you ate and left no crumbs.
👍🏾👍🏾
 
..tajiri wa kihindi, Nilesh, waliyedai kampa fedha John Heche, amekanusha tuhuma hizo.

..na Nilesh amekwenda mbali na kusema amemchangia Mama Abduli fedha taslim milioni 500.
Amemchangia mama Abdul kwa makubaliano gani? Kama ni baba wa kambo wa Abdul liwekwe wazi au kama kuna favors anazitafuta pia liwekwe wazi.
 
Back
Top Bottom