Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Nipo shuleni kwa dogo hapa, kuna event wenyewe wanaita graduation mass..ni ibada. Full ung'eng'e yaani sielewi..nimeamua kusogeza muda na jf
Una roho mbaya๐Ÿ˜....nakumbuka nimewahi sema usinisahau...!paper si Nov? Wamewahi...au ndo zile graduu za dini...ndo ungeenda na dictionary kbs๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€...lala kidg..๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€uamke muda wa msosi
 
Una roho mbaya๐Ÿ˜....nakumbuka nimewahi sema usinisahau...!paper si Nov? Wamewahi...au ndo zile graduu za dini...ndo ungeenda na dictionary kbs๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€...lala kidg..๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€uamke muda wa msosi
Leo ni misa ya shukrani, graduation yenyewe ni kesho..hivi uliniambia?? ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Sijakumbuka..bangi hizi. Ungekuja? Paper November.
Nisamehe best
 
Leo ni misa ya shukrani, graduation yenyewe ni kesho..hivi uliniambia?? ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Sijakumbuka..bangi hizi. Ungekuja? Paper November.
Nisamehe best
Nilikuambia kbs...Tena zaidi ya Mara 2!..na last tym nilikua kakola nikakuambia nataman kuja huko.lakini itabidi iwe graduu ya mwanao...๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€bangi za siku hizi nadhan Zina madhara makubwa zaidi .hivi utajiskiaje siku mwanao anajua mom anasmoke weed๐Ÿ˜!..
Basi mpe hongera mtoto...mwambie aniambie anataka zawadi gani..(ataje mwenyewe) sio wewe๐Ÿ˜€
 
Akijua najua hataona issu Sana..atanielewa, Ni maisha yangu ati sio yake ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Sivuti tena kuanzia Leo. Niitakupigia baadae uongee nae ataje mwenyewe.
 
Akijua najua hataona issu Sana..atanielewa, Ni maisha yangu ati sio yake ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Sivuti tena kuanzia Leo. Niitakupigia baadae uongee nae ataje mwenyewe.
Acha bwana...hazina faida Wala
Anza mdogo mdogo inawezekana..haya mpendwa..ukiona sipatikani usimind..Niko safarini!.halotel ndo inapotea mazima...!
 
unajua kuna muda kweli utasema jambo lakini ukweli utaonekana hevi kwenye tuzo za afrimma napo kaingiaje kule maana ingekuwa tuzo za kill music awards tungesema kuwa amewekwa eehh na hapa je afrimma kawekwa na nani??

hata kama humpendi vipi dada anajitahdi sana amewapita hata walioanza jamani
 
Binafsi sijaona uzuri ama ubaya wa Zuchu

Ipo nyimbo yake moja naipenda
kwani zamani kule ulikuwa mtu hupendi nyimbo zote za msanii ila kuna moja mtu unaipenda sanaaaaaa..kama mm bnafsi KITOLONDO ya mondi khaaa ntazikwa nayo ile
 
She is so overrated.

A hype job.
jamani hata zamani mtoto wa mwalimu akipata hesabati 70 basi ataimbwa darasa zima utadhani yeye wa kwanza lakini kuna mjuba amepata 80 na haaimbwi kama wanavomuimba mtoto wa mwalimu mkuu..ishu ni unasimamiwa na nani jamani???
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Jamani dah namuonea huruma, Mimi siku ikianza kuniletea madhara naacha fasta.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Hallucination babe ..hee kumbe hujaamua kuiacha bado๐Ÿ˜€! Haijambo yule wifi ako
 
Mtu akikuchukia mara nyingi huwa hana sababu.
Mara Dogo anabebwa na Diamond,Mara Diamond kashuka.Sasa msanii anayeshuka anawezaje kumbeba msanii mchanga.

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Msanii ndio kwanza ana miezi 7 ,kwani hata Harmonize humu JF kulikuwa na threads kibao za kumponda anafanana na Diamond na kuna watu humu humu walidai Harmo hato fika mbali,wakadai Mondi anapoteza hela yake lkn leo ndiye msanii wanaye mkubali.

Zuchu ana miezi saba impact yake inaiona kwamba anazidi kukua ila mwisho wa siku Number zitaongea tu,usichokipenda usikitie hila ukazani wote hawa kipendi kwani Number zinazidi kukuumbua.
 
Mkuu Kuna wanaomuelewa kimuziki tupo tunaomuelewa kwa kumtaka kimahaba,kimapenzi,kumlamla,kumfidodido..๐Ÿ˜œ
Toto yuko vizuri na anafaa kwa matumizi..๐Ÿ˜Ž
Naskia simba mla watu alimshamfidofido
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ