Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Bro upo sahihi kabisa Ila bado hujaelezea mwenye Uzi ameuliza, yeye hamuelew anajitahid lakin anakataa kabisa kuingia ndio akauliza wanaomkubali wamueleweshe wanachokikubali, na zaidi je anauwezo wa kuimba au la!
 
Kweli kuna watu wanaona tunamuone

Ok anamiez 7, katoa ngoma ngapi mpaka sasa? Ana hata hit song moja pamoja na kubandika bandua nyimbo?
Labda uelezee maana ya hit song maana naona wa2 unawachanganya
 
Bro upo sahihi kabisa Ila bado hujaelezea mwenye Uzi ameuliza, yeye hamuelew anajitahid lakin anakataa kabisa kuingia ndio akauliza wanaomkubali wamueleweshe wanachokikubali, na zaidi je anauwezo wa kuimba au la!

nilikuwa najibu comment tu na sio mada mkuu.
Nishawahi kuongelea pia tu kama WCB ilimfanya harmonize kuwa star mkubwa wakati kipaji kilikuwa hafifu itakuwa kwa Zuchu ambaye at least ana kipaji na family name
 
Zuchu alifaa kuimba mimi simuelewi kama vile amesha chakaa yaani hanivutii nyimbo zake zimepooza 😂
 

Lady jay dee ni yesterday story, Hayupo relevant kiasi kikubwa kwa kizazi cha sasa ambacho kinafuatilia muziki kwa sasa. Pia anaandika nyimbo zake ilhali industry ishabadilika. Ila bado tunamuheshimu maana yupo anapush mziki wake kwa zaidi ya miaka 20 kitu ambacho wachache wanaweza

Kingine mkuu, WCB ni WCB tu. Utaongelea media WAPO, social media WAMEITAWALA, Showbiz WAMEITAWALA, record label yao imekuwa kama gate way ya East Africa kimuziki. Hivyo WCB ipo kila sehemu kiasi kwamba huwezi kuipuuzia in any way na yoyote anaejiweka karibu yao ni lazma awe BRAND KUBWA

Sasa imagine power kama hiyo iwe invested kwa msanii mmoja !!!!..

Huwezi kupuuza kuwa mafanikio ya ZUCHU NI MAFANIKIO YA WCB, SIO MAFANIKIO YAKE BINAFSI. Watu wanaiona WCB kabla ya kumuona Zuchu kitu anachotakiwa kupambana nacho ili apate mafanikio halisi mkuu
 
So she's overrated?
 
So she's getting more recognition than she deserves??
 
So she's getting more recognition than she deserves??

I can agree on that, unajua the recognition or attention amepata ni ya mtu revolutionary. Someone who has come with something new enough to stop the traffic just like how Vee money did

But remove the WCB brand behind her, watch and listen to her music. Do you think she could possibly reach the heights or enjoy the amount of success she has right now with just that !!...
 
Huyu zuchu ni kama diamond tu..wote hawana kipaji kikubwa cha usanii ila wamebahatika kupita kwenye mikono ya watu wanaojua vzr soko na promo za muziki wa bongo.
 
Zuchu anfaa kuomba taarabu mimi simuelewi kama vile amesha chakaa yaani hanivutii nyombo zake zimepooza 😂
Exactly...na hata nyimbo zake zinamahadhi ya taarabu huenda wcb wanataka wahamie kwenye taarab
 
Huyu zuchu ni kama diamond tu..wote hawana kipaji kikubwa cha usanii ila wamebahatika kupita kwenye mikono ya watu wanaojua vzr soko na promo za muziki wa bongo.
Ebu rudia comment vizuri may be wakati unaandika ulikuwa umepiga moja Moto moja baridi
 
Probably true, lakini nadhani ndio maana ya kuwa na recording label.kwahy yeye anahitaji jitihada zaidi ili kumaintain hiki ki2 hasa ukizingatia yupo kwenye label kubwa Kama WCB yenye mashabiki wengi East Africa
 
Nipo shuleni kwa dogo hapa, kuna event wenyewe wanaita graduation mass..ni ibada. Full ung'eng'e yaani sielewi..nimeamua kusogeza muda na jf
Kale kabinti ketu kazuri kazuri ndio kana graduate mwaka huu eeeeeh.

Mwambie Daddy anampenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…