Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Looser kwenye ubora wakeHaupo peke yako hata mimi simuelewi,
Yupo overrated sana,
Yaani tangu Harmonize aondoke Wasafi nuru ya Mond imepotea sana, na siku akiondoka Rayvanny basi Mond atapata ugonjwa wa kichaa.
Unajua siwaelewi inshu ni hajui kuimba au overrated? Two different things.Haupo peke yako hata mimi simuelewi,
Yupo overrated sana,
Yaani tangu Harmonize aondoke Wasafi nuru ya Mond imepotea sana, na siku akiondoka Rayvanny basi Mond atapata ugonjwa wa kichaa.
We lengo lako ueleweshwe ili umuelewe au unataka na wa2 wengine wasimuelewe kama ambavyo humuelewi??Namimi ndo siwezagi kuwa trend followers ni mpaka nijiridhishe kitu kinaubora unaostahili... ndo maana kwa zuchu bado najaribu kuunga dots zinagoma
We usipomkubali msanii furani haimaanishi atafeli, unaweza kutompenda na bado akafanya vzr.kwa mfano mm konde boy simkubali Ila jamaa hajafail anazidi kufanya vi2 vzr tuHeeeh nikajua nipo peke angu, nisie muelewa huyu kidampa lol.
Yaan ktk wasanii waliofail mapema ni huyu, afu eti wanamfananisha na jay dee, vee money khaaaah, hovyoooooh.
Unaweza kuwa kweli Ni overrated lakini tunachoongelea hapa je anajua kuimba au??She is so overrated.
A hype job.
Ni kweli, hiyo ipo kwa msanii yeyote hata angekuwa Beyonce.Kwa sababu ameshatengenezewa mazingira ya kupendwa/Kumuelewa, Brand aliyopo ni kubwa na ina attention. Angekua Chini ya uongozi mwengine asingekua na attention, watu wangepotezea baada ya kuujua ukweli.
Na ndio maana alichagua kwenda pale,Anabebwa na jina la Wasafi
Kwann unalazimisha umuelewe wakati imeshindikana? Mwenye tatizo Ni ww sio zuchuNamimi ndo siwezagi kuwa trend followers ni mpaka nijiridhishe kitu kinaubora unaostahili... ndo maana kwa zuchu bado najaribu kuunga dots zinagoma
Unamaanisha hajui kuimba au sio shabiki wa mziki wake?Jambo ambalo halipingiki ni kwamba WCB ni brand kubwa, hata demu anayetoka na msafi akiwa mjanja anatoboa
Ndio sababu vidampa kama Zuchu wanatelezea tu
Hakuna mwanamuziki mle
Kwahy zuchu anakipaji au Hana??Ruby dharau tu kwa wakubwa zake kwenye industry na si vinginevyo. Ukiwa na kipaji alafu dharau zikawa mbele basi kipaji si kitu tena.
Hasa na wasukumaShe is so overrated.
Shida yako Ni label kutumia nguvu nyingi au kipaji.napata mashaka naww hauna tofauti na tanasha[emoji848]Kwa mtazamo wangu lavalava yuko talented kuliko hicho kidemu
Unazungumzia kufanya vizuri, mimi nafikiri alifanya vizuri wakati wake mbona nyimbo zililia sana mtaani
Hata isingekuwa hivyo Zuchu ni vile bosi ameamua kutumia nguvu kubwa kumpandisha sababu ndio mgeni, msanii yoyote tu Bosi akiamua kuweka nguvu huko atawika
Mimi sina shida na wasafi, ila hako kadogo hata kukajadili naona nakapaisha tu na nyinyi chawa ndio mnatuponzaga
Kwann asitetee wakati huu Ni mjadala?Kama kazi inaongea kwanini uwe na kazi ya ziada kuitetea?
Huoni kwamba kuitetea kwako pia ni kuiongelea?
Na kwasababu umeiongelea huoni pia hiyo inatoa tafsiri kwamba kazi haiongei na ndio maana bila promo unayoipigia kuna uwezekano isifanye vizuri endapo utaiacha isimame yenyewe kama yenyewe?
Harmonize kuanzia anapojiunga hadi anakuja kuondoka wcb sijawahi kusikikiza nyimbo zake na kum-rate kwa mapana ambayo nyinyi mmekua mkimuongolea
Halafu kingine cha ziada unachopaswa kujua ni kutotumia kipimo cha views kupima ubora wa mashairi alafu kiwango cha views utachopata ndio kiwe hitimisho kujua umahiri wa msanii
Pili hata hapa kuna kosa umelifanya ambalo ukiulizwa huwezi kulitolea majibu
Ni indicators gani zimekufanya uhisi namuongelea mtu ambaye simjui?
Hii pia inatosha kuthibitisha kwamba hujui kuzingatia unachosoma
Kuwa hater sio kazi ndogo πππππMi sijawahi sikiliza nyimbo zake na sijui anaimbaje, nimemjua sahizi humu baada ya mdau kuweka picha yake.
Lakini huyu dada sio siri lets be honest ametrend ghafla sana hususani humu mitandaoni, mwanzo nilijua atakua yuko katika system za kisiasa
Mimi Kumjadili huyo dogo ni kumpaisha wacha nikausheShida yako Ni label kutumia nguvu nyingi au kipaji.napata mashaka naww hauna tofauti na tanasha[emoji848]
OMG, somebody is crying, kimbia kwa mama akupe pipi utulize uchungu,Looser kwenye ubora wake
Ishu ni vyote,Unajua siwaelewi inshu ni hajui kuimba au overrated? Two different things.