Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Haupo peke yako hata mimi simuelewi,
Yupo overrated sana,
Yaani tangu Harmonize aondoke Wasafi nuru ya Mond imepotea sana, na siku akiondoka Rayvanny basi Mond atapata ugonjwa wa kichaa.
Looser kwenye ubora wake
 
Nilichogundua huu Uzi umekaa kiteam kabisa, ungekuwa na lengo la kueleweshwa ungekaa kitako ueleweshwe. alafu kwenye mziki Kuna aina mbali mbali za mziki sa inawezekana we hupendi style yake ya uimbaji Ila Kama kipaji kipo fuatilia shindano la Tecno ownstage nadhani utapata majibu Kama kweli unajua mziki,lakini pia nikukumbushe tu zuchu sio msanii wa kwanza kukutana na haya Mambo Kama unakumbuka kipindi nandy anaanza kutoka Kuna wa2 walimponda hivi hivi Tena wakimlinganisha na Ruby na kusema nandy kinachombeba Ni promo za clouds.kuhusu swala la promo nadhani promo Ni basic issue kwa msanii hasa kwenye mziki we2 wa bongo ndio maana Kuna wasanii wengi wazuri tu wamekosa promo na wamepotea mfano hai Ni Ruby, kwahy me naona shida yako Ni haupendi style na maadhi ya mziki anaoimba Ila sio kwamba hajui kuimba. last but not least "sio lazima kina nandy,ruby, mausama and the like wawe wadogo ili zuchu awe mkubwa" wanaweza wote kuwa wasanii bora.
USIPONIELEWA HAPA ACHANA NA ZUCHU KUNA WASANII WENGI MNOO!!
 
Haupo peke yako hata mimi simuelewi,
Yupo overrated sana,
Yaani tangu Harmonize aondoke Wasafi nuru ya Mond imepotea sana, na siku akiondoka Rayvanny basi Mond atapata ugonjwa wa kichaa.
Unajua siwaelewi inshu ni hajui kuimba au overrated? Two different things.
 
Namimi ndo siwezagi kuwa trend followers ni mpaka nijiridhishe kitu kinaubora unaostahili... ndo maana kwa zuchu bado najaribu kuunga dots zinagoma
We lengo lako ueleweshwe ili umuelewe au unataka na wa2 wengine wasimuelewe kama ambavyo humuelewi??
 
Heeeh nikajua nipo peke angu, nisie muelewa huyu kidampa lol.
Yaan ktk wasanii waliofail mapema ni huyu, afu eti wanamfananisha na jay dee, vee money khaaaah, hovyoooooh.
We usipomkubali msanii furani haimaanishi atafeli, unaweza kutompenda na bado akafanya vzr.kwa mfano mm konde boy simkubali Ila jamaa hajafail anazidi kufanya vi2 vzr tu
 
Kwa sababu ameshatengenezewa mazingira ya kupendwa/Kumuelewa, Brand aliyopo ni kubwa na ina attention. Angekua Chini ya uongozi mwengine asingekua na attention, watu wangepotezea baada ya kuujua ukweli.
Ni kweli, hiyo ipo kwa msanii yeyote hata angekuwa Beyonce.
 
Namimi ndo siwezagi kuwa trend followers ni mpaka nijiridhishe kitu kinaubora unaostahili... ndo maana kwa zuchu bado najaribu kuunga dots zinagoma
Kwann unalazimisha umuelewe wakati imeshindikana? Mwenye tatizo Ni ww sio zuchu
 
Jambo ambalo halipingiki ni kwamba WCB ni brand kubwa, hata demu anayetoka na msafi akiwa mjanja anatoboa

Ndio sababu vidampa kama Zuchu wanatelezea tu
Hakuna mwanamuziki mle
Unamaanisha hajui kuimba au sio shabiki wa mziki wake?
 
Kwa mtazamo wangu lavalava yuko talented kuliko hicho kidemu
Unazungumzia kufanya vizuri, mimi nafikiri alifanya vizuri wakati wake mbona nyimbo zililia sana mtaani
Hata isingekuwa hivyo Zuchu ni vile bosi ameamua kutumia nguvu kubwa kumpandisha sababu ndio mgeni, msanii yoyote tu Bosi akiamua kuweka nguvu huko atawika

Mimi sina shida na wasafi, ila hako kadogo hata kukajadili naona nakapaisha tu na nyinyi chawa ndio mnatuponzaga
Shida yako Ni label kutumia nguvu nyingi au kipaji.napata mashaka naww hauna tofauti na tanasha[emoji848]
 
Kama kazi inaongea kwanini uwe na kazi ya ziada kuitetea?

Huoni kwamba kuitetea kwako pia ni kuiongelea?

Na kwasababu umeiongelea huoni pia hiyo inatoa tafsiri kwamba kazi haiongei na ndio maana bila promo unayoipigia kuna uwezekano isifanye vizuri endapo utaiacha isimame yenyewe kama yenyewe?

Harmonize kuanzia anapojiunga hadi anakuja kuondoka wcb sijawahi kusikikiza nyimbo zake na kum-rate kwa mapana ambayo nyinyi mmekua mkimuongolea

Halafu kingine cha ziada unachopaswa kujua ni kutotumia kipimo cha views kupima ubora wa mashairi alafu kiwango cha views utachopata ndio kiwe hitimisho kujua umahiri wa msanii
Kwann asitetee wakati huu Ni mjadala?
 
Pili hata hapa kuna kosa umelifanya ambalo ukiulizwa huwezi kulitolea majibu

Ni indicators gani zimekufanya uhisi namuongelea mtu ambaye simjui?

Hii pia inatosha kuthibitisha kwamba hujui kuzingatia unachosoma

Mi sijawahi sikiliza nyimbo zake na sijui anaimbaje, nimemjua sahizi humu baada ya mdau kuweka picha yake.

Lakini huyu dada sio siri lets be honest ametrend ghafla sana hususani humu mitandaoni, mwanzo nilijua atakua yuko katika system za kisiasa
Kuwa hater sio kazi ndogo 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom