Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Huyu dada katoa ngoma nyingi ila hata moja sijaielewa, nikajua anatubip tu kuna vitu vinakuja...cha kushangaza muda unavyozidi kwenda ndio kama anazidi kutusisitiza hivyo alivyo ndivyo alivyo na tumkubali hivyo hivyo. Naamini hata waliompokea kwa nguvu zote wanakua dissapointed sasa maana ngoma mpya na Mondi nikajua ndo wamemaliza kumbe ndo wanakazia mulemule alimopitia kwenye nyimbo za mwanzo ambazo hata hujui ipi ni ipi zote mulemule na makelele mengi.

Nilianza kupata imani kwenue ngoma ya Karantini ambayo alifanya vizuri japo aliefunika mule ni Queen Darleen na ile verse 'Karantini yangu mi na machizi ni kuparty na usingizi.

Ila tuache utani WCB kama pamoja na kumpika zuchu na tena kumpa collabo na mondi ndio mmetoa project mbovu hivi naanza kuamini sasa hampo serious aisee, nyie hatujawazoea kulipualipua kazi.
Sio lazima wewe uielewe.Ukiona huelewi ujue wewe sio fun wake.

Pili jizungumzie wewe,usiseme hatumuelewi.Sema humuelewi wewe binafsi,wacha kufanya generalization ya vitu/watu.

Wewe umekuwa msemaji wa watu wote?Simbilisi mmoja!
 
Kama uwaelewi watu kama Zuchu mshukuru Mungu mkuu, maana amekuepusha na joka ibilisi na mambo yake.
 
Sio lazima wewe uielewe.Ukiona huelewi ujue wewe sio fun wake.

Pili jizungumzie wewe,usiseme hatumuelewi.Sema humuelewi wewe binafsi,wacha kufanya generalization ya vitu/watu.

Wewe umekuwa msemaji wa watu wote?Simbilisi mmoja!
Jamaa ana wivu wa kijinga
 
Ndo vile watanzania wako na huruma sana. Huyu dada yuko overrated, sema acha ale mema ya ujana wake ila kwenye talent atasubiri sana.
 
Ndo vile watanzania wako na huruma sana. Huyu dada yuko overrated, sema acha ale mema ya ujana wake ila kwenye talent atasubiri sana.
Lakini ndio hivo kashatoa teyali Kama wewe umuelewi haimaanishi wengine hawamuelewi.Kwenye mziki sio lazima upendwe na watu wote.
 
Huyu dada katoa ngoma nyingi ila hata moja sijaielewa, nikajua anatubip tu kuna vitu vinakuja...cha kushangaza muda unavyozidi kwenda ndio kama anazidi kutusisitiza hivyo alivyo ndivyo alivyo na tumkubali hivyo hivyo. Naamini hata waliompokea kwa nguvu zote wanakua dissapointed sasa maana ngoma mpya na Mondi nikajua ndo wamemaliza kumbe ndo wanakazia mulemule alimopitia kwenye nyimbo za mwanzo ambazo hata hujui ipi ni ipi zote mulemule na makelele mengi.

Nilianza kupata imani kwenue ngoma ya Karantini ambayo alifanya vizuri japo aliefunika mule ni Queen Darleen na ile verse 'Karantini yangu mi na machizi ni kuparty na usingizi.

Ila tuache utani WCB kama pamoja na kumpika zuchu na tena kumpa collabo na mondi ndio mmetoa project mbovu hivi naanza kuamini sasa hampo serious aisee, nyie hatujawazoea kulipualipua kazi.
Watu kama nyie bado mnahitajika sana ili wengine wazidi kufanikiwa,ila ubaya ni kwamba huwa mnaishia kushika uchawi na kuwaroga wale walioshindikana
 
Heeeh nikajua nipo peke angu, nisie muelewa huyu kidampa lol.
Yaan ktk wasanii waliofail mapema ni huyu, afu eti wanamfananisha na jay dee, vee money khaaaah, hovyoooooh.
Kakushinda kila kitu,polee[emoji23][emoji23]
 
Uko sahihi kabisa kiongozi, nisipomuelewa mimi wapo wataomuelewa, ila haifichi ukweli kuwa yuko overrated.
Utasemaje yupo overrated wakati wanaomuelewa Ni wengi hiv umeonaja mapokezi aliyopata kahama? na show yake ilivyojaza watu wengi.
 
Utasemaje yupo overrated wakati wanaomuelewa Ni wengi hiv umeonaja mapokezi aliyopata kahama na njoo yake ilivyojaza watu wengi.

Kwa sababu ameshatengenezewa mazingira ya kupendwa/Kumuelewa, Brand aliyopo ni kubwa na ina attention. Angekua Chini ya uongozi mwengine asingekua na attention, watu wangepotezea baada ya kuujua ukweli.
 
Zuchu ni chakula ya Mondi (zamu yake), and all the hype... nothing else!
 
Huyu ndio zuchu, anamkimbiza hadi Alikiba kwenye digital platforms.
We dhani streams zote hizi million 4 ni za machizi.View attachment 1571921

Nyie kama hamumuelewi ni kivyenu ila anawafuasi zaidi ya milioni moja kwenye akaunti yake ya instagram katika kipindi kifupi tangu atambulishwe kwenye game.
Alikiba sio wakumuongelea...hatuongeleagi watu wasiojielewa
 
Ndo vile watanzania wako na huruma sana. Huyu dada yuko overrated, sema acha ale mema ya ujana wake ila kwenye talent atasubiri sana.
Mkuu ulitaka awe na talent gani zaidi ya hapo hasa kwa uchanga wake? Kama kuimba anaimba vizuri tu na anaeleweka anachokiimba..na hata kuandika mashairi anaandika mwenyewe wala haandikiwi na mtu... Ila anyway kila mtu na ladha zake ktk music na ndo maana kuna genries tofuati tofuati huwenda miondoko yake haikupendezi ila sie watu wa pwani/visiwani tunamuelewa saana

Kwanza musiomuelewa mupo wachache mno, so ukisema yupo overrated unakosea...hata Burna Boy alimkubali Zuchu japo ni mnaijeria.
 
Back
Top Bottom