Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We simbilisi unadhan nimekurupuka kuandika huu uzi? Hebu fuatilia huu uzi utaelewaSio lazima wewe uielewe.Ukiona huelewi ujue wewe sio fun wake.
Pili jizungumzie wewe,usiseme hatumuelewi.Sema humuelewi wewe binafsi,wacha kufanya generalization ya vitu/watu.
Wewe umekuwa msemaji wa watu wote?Simbilisi mmoja!
Na me nakuuliza kwanini Ruby kapotezewa na watanzania?Kwa sababu ameshatengenezewa mazingira ya kupendwa/Kumuelewa, Brand aliyopo ni kubwa na ina attention. Angekua Chini ya uongozi mwengine asingekua na attention, watu wangepotezea baada ya kuujua ukweli.
Na me nakuuliza kwanini Ruby kapotezewa na watanzania?
Mkaruka Sio tu Nisamehe ana ngoma nyingi Kali Kuna kupendwa Raha, Cheche,litawachoma,Wana, Ashua n.k kafuatilie Sana hizi nyimbo huyo sio kwamba anabebwa pia na yeye anabebekaNgoma yake ya Nisamehe ni kali.
Ila kwa promo tu na sifa, imekuwa too much sasa
Kashaulo Vitu vizuri ndio vinapendwa mbona Alikiba alifanyiwa promo kubwa na clouds kuanzia Asubuhi mpaka usiku kwenye ngoma yake ya "Mvumo wa radi" lakini ngoma ikabuma?Watanzania wengi ni kama wewe hivyo, fuata upepo tu kwa kadri ya hype bin promo... kama walivyompotezea yule mwingine!
talentboy Hadi patoranking ameonesha kukubali kipaji chake alafu mtu huna ujuzi wowote kwenye mziki unaanza kuhoji kipaji Cha mtuMkuu ulitaka awe na talent gani zaidi ya hapo hasa kwa uchanga wake? Kama kuimba anaimba vizuri tu na anaeleweka anachokiimba..na hata kuandika mashairi anaandika mwenyewe wala haandikiwi na mtu... Ila anyway kila mtu na ladha zake ktk music na ndo maana kuna genries tofuati tofuati huwenda miondoko yake haikupendezi ila sie watu wa pwani/visiwani tunamuelewa saana
Kwanza musiomuelewa mupo wachache mno, so ukisema yupo overrated unakosea...hata Burna Boy alimkubali Zuchu japo ni mnaijeria.
Pengine hukumuelewa katika angle aliyo maanishaKuna dogo aliwahi kuja na uzi hapa eti Zuchu ni mkali Jaydee asubiri[emoji3] wewe endelea tu kumfuatilia labda utamuelewa.
Ishu sio u-Special tu, ishu ni u-special katika factor ganiUkishaona msanii anaongelewa basi ujue ana kitu special.
Wewe uliemwongelea na aliyefungua uzi kusoma wote mna interest ya kufahamu kuhusu Zuchu.
Hiyo ni kubwa sana kwa msanii.
Alaah kumbe ndo huyu!Huyu ndio zuchu, anamkimbiza hadi Alikiba kwenye digital platforms.
We dhani streams zote hizi million 4 ni za machizi.View attachment 1571921
Nyie kama hamumuelewi ni kivyenu ila anawafuasi zaidi ya milioni moja kwenye akaunti yake ya instagram katika kipindi kifupi tangu atambulishwe kwenye game.
Sidhani kama hata wewe uko sahihi kwa maana kwamba unafungwa na comment yako kwa personal attacks unajikuta nawewe unaingia kwenye hilo kundi la hao "wanaoshika uchawi na kuwaroga wengine"Watu kama nyie bado mnahitajika sana ili wengine wazidi kufanikiwa,ila ubaya ni kwamba huwa mnaishia kushika uchawi na kuwaroga wale walioshindikana
Huku tutaenda sawaKuna dogo aliwahi kuja na uzi hapa eti Zuchu ni mkali Jaydee asubiri[emoji3] wewe endelea tu kumfuatilia labda utamuelewa.
Kama kawaida yako[emoji23][emoji23][emoji23]Ana sura nzito sijui kwann
Alikiba na clouds ni ma-losers wale saizi wanakomaa na kondeboy baada ya kuona wanaembeba mgongoni ananye.a na kuwakoj.oleaKashaulo Vitu vizuri ndio vinapendwa mbona Alikiba alifanyiwa promo kubwa na clouds kuanzia Asubuhi mpaka usiku kwenye ngoma yake ya "Mvumo wa radi" lakini ngoma ikabuma?
Mi sijawahi sikiliza nyimbo zake na sijui anaimbaje, nimemjua sahizi humu baada ya mdau kuweka picha yake.Mkuu ulitaka awe na talent gani zaidi ya hapo hasa kwa uchanga wake? Kama kuimba anaimba vizuri tu na anaeleweka anachokiimba..na hata kuandika mashairi anaandika mwenyewe wala haandikiwi na mtu... Ila anyway kila mtu na ladha zake ktk music na ndo maana kuna genries tofuati tofuati huwenda miondoko yake haikupendezi ila sie watu wa pwani/visiwani tunamuelewa saana
Kwanza musiomuelewa mupo wachache mno, so ukisema yupo overrated unakosea...hata Burna Boy alimkubali Zuchu japo ni mnaijeria.
Ma-losers kwenye kuimba au kimaisha?Alikiba na clouds ni ma-losers wale saizi wanakomaa na kondeboy baada ya kuona wanaembeba mgongoni ananye.a na kuwakoj.olea
Anabebwa na jina la WasafiHuyu ndio zuchu, anamkimbiza hadi Alikiba kwenye digital platforms.
We dhani streams zote hizi million 4 ni za machizi.View attachment 1571921
Nyie kama hamumuelewi ni kivyenu ila anawafuasi zaidi ya milioni moja kwenye akaunti yake ya instagram katika kipindi kifupi tangu atambulishwe kwenye game.
Namimi ndo siwezagi kuwa trend followers ni mpaka nijiridhishe kitu kinaubora unaostahili... ndo maana kwa zuchu bado najaribu kuunga dots zinagomaAlaah kumbe ndo huyu!
Halafu Kuwa na wafuasi milioni moja haiondoi maana ya mleta mada kua dada anaimba nyimbo mbovu
Hakuna kitu kibaya kama kua mashabiki wa kufata trend.