Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Mnaomuelewa Zuchu mtueleweshe

Ila tuache utani WCB kama pamoja na kumpika zuchu na tena kumpa collabo na mondi ndio mmetoa project mbovu hivi naanza kuamini sasa hampo serious aisee, nyie hatujawazoea kulipualipua kazi
mawazo yako yanaheshimiwa,asante sana kwa kufungua thread
 
Kuwa hater sio kazi ndogo 😂😂😂😂😂
Ukiwa na ubongo mdogo wa kupambanua mambo kila challenge utayo i-face utaiona kama ni hate

Kwa akili hizi hata majaji ambao wanawakosoa wasanii ambao hawa perfom vizuri pale bss utawaita haters
 
Haupo peke yako hata mimi simuelewi,
Yupo overrated sana,
Yaani tangu Harmonize aondoke Wasafi nuru ya Mond imepotea sana, na siku akiondoka Rayvanny basi Mond atapata ugonjwa wa kichaa.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
We usipomkubali msanii furani haimaanishi atafeli, unaweza kutompenda na bado akafanya vzr.kwa mfano mm konde boy simkubali Ila jamaa hajafail anazidi kufanya vi2 vzr tu
Huyu kidampa kafail mapema kabisaa, huo ndio ukweli.
 
Nilichogundua huu Uzi umekaa kiteam kabisa, ungekuwa na lengo la kueleweshwa ungekaa kitako ueleweshwe. alafu kwenye mziki Kuna aina mbali mbali za mziki sa inawezekana we hupendi style yake ya uimbaji Ila Kama kipaji kipo fuatilia shindano la Tecno ownstage nadhani utapata majibu Kama kweli unajua mziki,lakini pia nikukumbushe tu zuchu sio msanii wa kwanza kukutana na haya Mambo Kama unakumbuka kipindi nandy anaanza kutoka Kuna wa2 walimponda hivi hivi Tena wakimlinganisha na Ruby na kusema nandy kinachombeba Ni promo za clouds.kuhusu swala la promo nadhani promo Ni basic issue kwa msanii hasa kwenye mziki we2 wa bongo ndio maana Kuna wasanii wengi wazuri tu wamekosa promo na wamepotea mfano hai Ni Ruby, kwahy me naona shida yako Ni haupendi style na maadhi ya mziki anaoimba Ila sio kwamba hajui kuimba. last but not least "sio lazima kina nandy,ruby, mausama and the like wawe wadogo ili zuchu awe mkubwa" wanaweza wote kuwa wasanii bora.
USIPONIELEWA HAPA ACHANA NA ZUCHU KUNA WASANII WENGI MNOO!!
Kama Nandy umeanza kumjua kipindi kafika Clouds wewe Muziki hauufuatilii.
 
Nuru ya mond imepoteaje?? Hvi harmonize ndo aliyempaisha Mond au Mond ndo alimpaisha harmonize? Mond ni icon , Zuchu amefika hapo Kwa influence ya Mond tena harmonize akiwa hayupo, ...WCB hata wakiondoka wote na wakaja wapya bado watakimbiza tuu cha msingi Mond awe anapumua ........

Kumpata Zuchu ni mill 20, wakat ibrah sjui laki mbili , na lolote atakalolifanya harmonize mpaka anakufa jina la Diamond litatajwa .... No Diamond no harmonize, No harmonize there's Diamond Platnumz....

Pengine Una point nzuri labda utueleze nuru Ya diamond imepoteaje baada ya kuondoka harmonize , au ulikuwa unaropoka tuu....
Kaka chai umekunywa lakini maana sio kwa essay hii, hahahahaha

TANGU JESHII ATOKE WASAFI NURU YA MONDI INAZIDI KUFIFIA YAAN KAFUBAA HANA RAHA KABISA, KAJAZA WAIMBA TAARABU BASI KICHWA KINAZIDI KUMUUMA.

cocastic niongeze sauti au inatosha babe, lol [emoji1]
 
Dea una nini wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napenda sana team wasafi wanavyopanic yaan wanatamani hata wavue boxer wavae vichwani hahaha nikiwa bored hua naenda kuwachokoza youtube channels zao weeee halafu wanaitana basi wanatiririka hapooo me nacheka tu, wakitulia nawapa lingine wanaanza upyaaa, very fun. [emoji23]
 
Huyu dada katoa ngoma nyingi ila hata moja sijaielewa, nikajua anatubip tu kuna vitu vinakuja...cha kushangaza muda unavyozidi kwenda ndio kama anazidi kutusisitiza hivyo alivyo ndivyo alivyo na tumkubali hivyo hivyo. Naamini hata waliompokea kwa nguvu zote wanakua dissapointed sasa maana ngoma mpya na Mondi nikajua ndo wamemaliza kumbe ndo wanakazia mulemule alimopitia kwenye nyimbo za mwanzo ambazo hata hujui ipi ni ipi zote mulemule na makelele mengi.

Nilianza kupata imani kwenue ngoma ya Karantini ambayo alifanya vizuri japo aliefunika mule ni Queen Darleen na ile verse 'Karantini yangu mi na machizi ni kuparty na usingizi.

Ila tuache utani WCB kama pamoja na kumpika zuchu na tena kumpa collabo na mondi ndio mmetoa project mbovu hivi naanza kuamini sasa hampo serious aisee, nyie hatujawazoea kulipualipua kazi.
Uchafu ule
 
Napenda sana team wasafi wanavyopanic yaan wanatamani hata wavue boxer wavae vichwani hahaha nikiwa bored hua naenda kuwachokoza youtube channels zao weeee halafu wanaitana basi wanatiririka hapooo me nacheka tu, wakitulia nawapa lingine wanaanza upyaaa, very fun. [emoji23]
Culture Me,wewe ni ME au KE?,....Ni kweli LGBT member?Nina maswali ,nikuulize?
 
Back
Top Bottom