Mnaonaje Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035?

Mnaonaje Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,611
Nachokoza mada.

Wadau mnaonaje kama Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035? Kwa kuwa Rais Samia alichukuwa nafasi yake kufuatia mauti ya mtangulizi wake mwanzo wa safari na kwamba hakukuwa na utaratibu wa mila na desturi ya uchaguzi bali ilikuwa ni kutimiza matakwa ya katiba.

Kiuhalali na kwa haki kwake, anastahili kuwa wa pili nyuma ya Mwl Nyerere kwa kukaa ofisini kwa miaka 15 kwa maana ya miaka aliyopokea kijiti kwa sharti la katiba na ndipo sasa astahili utaratibu wa mila na desturi yetu ya uchaguzi ambapo anaruhusiwa awamu mbili 2025 – 2035?

Nini maarifa yako, tupe maoni kwa vigezo na ushahidi.
 
Mmeshaanza!.

Kasome katiba inasemaje juu ya Mridhi wa Rais wa JMT.

Kama ingelikuwa kwa chini ya miaka mitatu basi angeruhusiwa kugombea kwa vipindi viwili. Kama ni miaka mitatu na, basi ataruhusiwa kwa kipindi kimoja.

Hata hivyo, katiba haijasema kuwa rais bali 'kugombea' nafasi ya Urais wa JMT.
 
Nachokoza mada.

Wadau mnaonaje kama SSH akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035? Kwa kuwa SSH alichukuwa nafasi yake kufuatia mauti ya mtangulizi wake mwanzo wa safari na kwamba hakukuwa na utaratibu wa mila na desturi ya uchaguzi bali ilikuwa ni kutimiza matakwa ya katiba; kiuhalali na kwa haki kwake, anastahili kuwa wa pili nyuma ya Mwl Nyerere kwa kukaa ofisini kwa miaka 15 kwa maana ya miaka aliyopokea kijiti kwa sharti la katiba na ndipo sasa astahili utaratibu wa mila na desturi yetu ya uchaguzi ambapo anaruhusiwa awamu mbili 2025 – 2035? Nini maarifa yako, tupe maoni kwa vigezo na ushahidi.
Hamjajifunza tu kwa yaliyotokea mwezi March mwaka huu? Basi subirini vipigo vingine mpk mtakapojifunza ndiyo vipigo vitakoma.
 
Nachokoza mada.

Wadau mnaonaje kama Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035? Kwa kuwa Samia alichukuwa nafasi yake kufuatia mauti ya mtangulizi wake mwanzo wa safari na kwamba hakukuwa na utaratibu wa mila na desturi ya uchaguzi bali ilikuwa ni kutimiza matakwa ya katiba;

Kiuhalali na kwa haki kwake, anastahili kuwa wa pili nyuma ya Mwl Nyerere kwa kukaa ofisini kwa miaka 15 kwa maana ya miaka aliyopokea kijiti kwa sharti la katiba na ndipo sasa astahili utaratibu wa mila na desturi yetu ya uchaguzi ambapo anaruhusiwa awamu mbili 2025 – 2035?

Nini maarifa yako, tupe maoni kwa vigezo na ushahidi.
Itakuwa poa sana
 
Mmeshaanza!.

Kasome katiba inasemaje juu ya Mridhi wa Rais wa JMT.

Kama ingelikuwa kwa chini ya miaka mitatu basi angeruhusiwa kugombea kwa vipindi viwili. Kama ni miaka mitatu na, basi ataruhusiwa kwa kipindi kimoja.

Hata hivyo, katiba haijasema kuwa rais bali 'kugombea' nafasi ya Urais wa JMT.
Mkuu, ni miaka mitatu au awamu tatu? Kwa kuwa katiba ya JMT iko online, unaweza kurejelea ibara na vifungu?
 
Mkuu samahani nisamehe lakini naomba nikuulize swali ila usikasirike
mkuu unafanya kazi gani??
Mkuu nakuomba chondechonde unisamehe nisijibu hilo swali kuliko ninavyoweza kutangulia kukusamehe. Sababu ni kwamba hilo swali ni #NGUMUKUMEZA ndugu yangu.
 
Ndio maana GENTAMYCINE huwa anawaita wapumbavu.
Hamnaga shida mbona, kwasababu hata GENTAMICINE ilionekana peke yake siyo kamilifu ikatengenezewa mbadala Streptomycin kwamba udhaifu wake GENTAMICIN ukiwa dhahiri basi mbadala uweze kui-prove wrong. Tukiwa streptomycin tutakuwa siyo wapumbavu ila werevu. Streptomycin may be used as an alternative in gentamicin-resistant enterococcal endocarditis.
 
Mbona mapema sana? 😃😃

lakini anaweza kulichomeka hilo kwenye katiba mpya anayopanga kuifufua after 2025.
 
Back
Top Bottom