Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Tuna uzoefu na id zinazofunguliwa hapa jukwaani wakati wa mtawala fulani ili kumpigia debe. Wote wanaofaidika na utawala huo utawaona wakimpamba kiongozi wao ili wapate ulaji. Kuna id za wakati wa JK, kwa sasa ziko kimya kabisa. Kuna id za wakati wa Magufuli, kwa sasa zinapambana na nyie watetezi wake kwa ajili ya maslahi yenu. I'd yako ni ya mwezi uliopita, ukiangalia hii id yako,na nyingine za hivi majuzi ni rasmi kwa ajili ya kumpigia debe mama wa kambo, simply nyie ni wafaidika wa utawala wa sasa fullstop.
iyo kweli mkuu, SINA MASLAHI NA MAMA zaidi ya kuwa kiongozi wangu na mimi raia wake.