Mnaonaje Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035?

Acha mambo ya ajabu wewe! Akae madarakani sababu wewe unakula per Diem za Uchawa?!
 
Katiba za Zambia na Afrika Kusini ndizo zina tafsiri nzuri zinasema "CARETAKER PRESIDENT" nafikiri na sisi tungefuata tafsiri hii, ili Makamu akichukuwa Urais asiitwe rais bali aitwe CARETAKER PRESIDENT ili 2025 agombee kama FRESH PRESIDENT ili astahili two terms.
 
Naona umechagua kutokuelewa tu na kinachokupa ugumu wa kuelewa ni dhamira yako na unachotaka kitokee. Ila katiba imeshaweka hapo maelezo wazi.

Samia alikuwa makamo na sahii ni Kaimu Raisi hadi hadi 2025 atakapoingia tena kugombea na akifanikiwa kupita atakuwa raisi kamili ila kulingana na masharti ya katiba anatakiwa kugombea mara moja tu yaani hiyo 2025 hatoruhusiwa zaidi kutokana na maelekezo yaliyopo katika vifungu husika.

Wewe unachofanya ni kulazimisha mawazo yako kwa kutafutiza vifungu visivyo husika na kuvitumia mahala ambapo sio pake.


Kwanza hapo unachokisema unakosea, Samia na magufuri hawakupitishwa na tume ?!
 
Kweli wewe Mbingunikwetu,
Umenishawishi kwa 75%.
Tafsiri yako ina mashiko.
 
Kwani nani kasema Samia ni raisi kamili, ni nyie CCM na mapambio yenu kucha kutwa kumsifu mkimwita raisi mara mama mara bibi.

Huyu ni Mheshimiwa Kaimu Rais wa awamu ya tano. Ila nyie kwasababu za uchama na sifa mnamwita rais wa awamu ya sita, kwa uchaguzi gani?!
 
Kweli wewe Mbingunikwetu,
Umenishawishi kwa 75%.
Tafsiri yako ina mashiko.
Amekuelekeza vema kabisa. Usipomuelewa vema utakuwa na shida.... Alichokisema ndicho kipo kwenye katiba. Wewe unapindisha maelekezo sijaelewa kwann!
 
Mkuu, Tz siyo Comoros inayoongoza duniani kwa mapinduzi 20 (baridi na moto) tangu just 1975. Ombea taifa mkuu.
We must pray for this nation. And we must pray against all tyrannical minds and elements. Our duty is not to stage revolutions but to raise our voices and curse all evil minds that aim at tramping and disobeying constitution. If our prayers will lead to their demise, so let it be
 
Hata ungrandika kigiriki bado ni trash.
Hata kwenyr mapenzi mwanzo hua mtamu utasema wa milele na majina yoote ila yanapo geuka ndio kipimo cha udhabiti wa MTU.

Rais ndo kwanza miezi sits anayoyanena kinyume na anayotenda au kutendeka wewe unaimba nyimbo ka Toto dogo.

Waafrika tukubali zama zimebadilika hatuwezi ongozwa kwakutegemea MTU anayebadilika au kujua mwisho wa pumzi yake.

Tunahitaji taasisi imara itakayowajibisha ideas na ideology za kiongozi katika maendeleo ya kweli na si porojo. Ila kwakua wajinga wengi nchini mnajisemea na Mimi zamu yangu itafika Nile ndo mana mnamsifia kila ajae kwamba ni bora zaidi ya aliyetangulia. Huu ni unafiki.
 
Kweli wewe Mbingunikwetu,
Umenishawishi kwa 75%.
Tafsiri yako ina mashiko.
Mkuu, hauko sahihi kusema eti SSH ni Kaimu Rais, kwa Katiba ipi? Kwenye hati ya kiapo chake hatukusikia akiapa kwamba "Nitakuwa Kaimu Rais wa JMT, badala yake aliapa kuwa Rais kamili wa JMT Autonomus President of URT" nimeweka rekodi vizuri tu hapo.
 
Mkuu tupe reference mahala popote duniani ambapo Kaimu Rais ana mamlaka ya kuunda serikali.
 
Amekuelekeza vema kabisa. Usipomuelewa vema utakuwa na shida.... Alichokisema ndicho kipo kwenye katiba. Wewe unapindisha maelekezo sijaelewa kwann!
Ndiyo maana nilisisitiza kuwa tupate tafsiri nzuri, sasa yeye kaja na tafsiri nzuri na nimekiri waziwazi bila kutafuna maneno kuwa nimemuelewa vzr, ila nina shaka kama anaweza kukubaliana na tafsiri yako ya SSH kuapa kama Kaimu Rais ambayo haiko kwenye katiba. Katiba inasema Kaimu Rais atakuwepo pale ambapo Rais yu hai, tena yuko nje ya nchi kwa zaidi ya saa 24. Akiwapo ndani ya nchi lakini nje ya makao makuu ya nchi bado nafasi yake haitakaimiwa. JPM kukaa Chato ilikuwa ni sahihi kikatiba japo upande wa pili wa siasa ulipotosha sana.
 
Umejichanganya tena kwa kuuliza eti "kwa uchaguzi upi" wakati huohuo umekubali tafsiri ya mbingunikwetu kuwa "SSH aliishachaguliwa pamoja na JPM kama Running Mate" hivyo ni rais aliyechaguliwa kwa uchaguzi halali.
 
Mercy! Mercy! Mercy upon them for God is God of #Mercy.
 
kujikomba ndo wabongo tunajua zaidi
 
Xi Jinping, Vladimir Putin na Paul Kagame hawajui mwisho wa pumzi zao? Mbona mataifa yao yako vizuri sana kimaendeleo? Wameondokana na gharama na vuta nikuvute za demokrasia ya chaguzi.
 
Xi Jinping, Vladimir Putin na Paul Kagame hawajui mwisho wa pumzi zao? Mbona mataifa yao yako vizuri sana kimaendeleo? Wameondokana na gharama na vuta nikuvute za demokrasia ya chaguzi.
Kagame hafanyi uchaguzi???
Korea utalinganisha na ufisi wa ccm?

Huyu anaye teua usiku anatumbua alfajiri??
Hata chanjo hajui inachanjwa Mara ngap?
Usimlinganishe na vichwa vinavyohangaika na namna dunia inavyoenda
 
kujikomba ndo wabongo tunajua zaidi
“You don’t have to be a Communist to see that China has a lot to teach us in development. The fact that they have a different political system than ours has nothing to do with it.”

Julius Kambarage Nyerere, as quoted in Donald Robinson’s The 100Most Important People in the World Today, New York 1970. -


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…