mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,155
- 2,704
Wanajua yote yanayoendelea mradi wa Mwendokasi kua;
- Emirate wamewekwa kama bortion lakini nyuma ya pazia yupo Mwanae
- Wanajua kua anae endesha mradi wa mwendokasi wasasa hivi anakula na baadhi ya viongozi ndio maana kufanya maboresho imekua shida sana na hakuna kitu wanaweza mfanya
- Wanajua kua mnagawana familia miradi na tender kubwa kubwa zote na ikitokea kapata mtu tofauti atasumbuliwa sana malipo yake